Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
The wedding monster You can imagine the horror and shock on a mans face when he wakes up the night AFTER the wedding to find that the woman he once knew transformed over night into this lazy...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakubwa zangu Shikamooni! Peopleeeeeess!!!!! Jamani mwaka unaisha huu, sasa mwaka umekuwa sugu sana kwangu huu, hivo nikaona niperuzi kwenye elimu ya nyota ukute nyota imezima kabisaa mie sina...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Yapo complicated Atakuja kukuambia anakupenda lakini hayuko serious Atakuja kukuambia anakupenda yuko serious mh! Utawatofautishaje? mwingine kakubaliwa, anajitosa jumla mwisho wa siku...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakubwa shikamooni!!!!!!!! How do you do my Broders n Sisters from Another Mother!!!!!!!!! Mie mzima ila ndo mwaka wafikia mwisho hivooo, sasa pale kwa ofisi tumepewa PERFORMANCE EVALUATION...
0 Reactions
99 Replies
7K Views
habari wandugu, natumaini asubuhi inaenda poa,leo nimekumbuka wimbo flani wa kwaya niliousikia kwenye mnuso mmoja weekend iliyopita unaitwa "zunguka zunguka",kuna mahali wanaimba "shetani na mama...
5 Reactions
18 Replies
8K Views
James (si jina lake halisi) ana mshangaa mke wake ambaye baada ya kuzaa mtoto ambaye sasa ana miaka miwili amekuwa akikwepa kuvua nguo na kubaki uchi wakiwa pamoja chumbani wakati haikuwa kawaida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka takribani 6 iliyopita, kuna dada moja mtu mzima kidogo alinieleza. Mdogo wangu, chonde chonde usije oa mwanamke ambaye nywele zake zimeshuka sana kuja chini katika kipaji cha uso wake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna uzi ulianzishwa kuhusu 'athari za tiGO'...nami nikachangia kutokana na taaluma na experience yangu nikihudumia waginjwa mbali mbali. Nikiwa na nia ya kutoa ukweli na kuelimisha jamii, naamini...
22 Reactions
198 Replies
12K Views
Heshima mbele kwa wanabodi + wandugu wote popote pale JF mtandao mkubwa wa kijamimi unapo patikana Wana-jamii nimekuja mbeleyenu leo kwa nia ya kutaka mnipe ushahuri nifanye nini kwa majaribu...
2 Reactions
106 Replies
18K Views
Jana nilikuwa kwenye kikao cha wamama wa kanda ya ziwa,(wazanaki,wajaluo,wakurya,wajita) kufuatana na kundi letu. mimi sio wa kanda ya ziwa ila nimeolewa na mwanaume wa kanda ya ziwa hivyo...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Huyu dada ana umri wa miaka 42. " Ana watoto wa 5,mkubwa yuko form 5,kwa hiyo wanae wote wanasoma. " Dada huyu alifiwa na mumewe,baba wa wanae wote miaka 6 iliyopita. " Mumewe wa sasa...
0 Reactions
63 Replies
4K Views
jamani ivi what can a man do 2 please his woman...nimefanya so much for lakini bado hatosheki,we have dated for over a year,i'v olways been thre for her n i have yelled at her nor diss her lakini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu. Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima...
9 Reactions
130 Replies
8K Views
Kanishangaza sana huyu Dada wa saluni, nimemtuma mtoto aniitie tuongee mambo mengine kabisa yeye anarudisha jibu "Mwambie mi sitaki kuchezewa kabisaaa, kama anataka aje nimuelekeze waliko wazazi...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Natatizika sana na tabia hii ya wanawake kujiuza kingono bar/madangulo, why not men? au wanaume tu ndio hu enjoy.
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Inawezekana ikawa ni kwenye mtoko wa kwanza, kutokana na mazingira kuruhusu na kuwa muafaka kwenu mkajikuta tu jambo hilo limefanyia bila nyie kujijua, au inawezekana baada ya mitoko miwili...
5 Reactions
133 Replies
20K Views
Naomba Nieleweke Hivi, Cjaja hapa Jamvini Kuja Kuleta Story Za Uongo Au Kufurahisha GENGE, Nimekuja Hapa Kwasababu Najua Kuna Watu Wazima Ambao WanaAkili Timamu za kuweza kunipa Msaada Wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nauweka ukweli hadharani! Mwenzenu mwenye kucha ndefu na za rangi, macho mekundu na 'kifua cha haja' na 'usafiri' unaohanikizwa na mgongo wa kubinuka, hata ghorofa ntamjengea. Huwa...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Najua MODS wanaweza kudhani hii ni Chit Chat..lakini naomba wasiipeleke huko kabisa kwa sababu hii ni KWELI kabisa...na members wenzangu nilikuwa naomba kwa moyo wa Kitanzania kila mtu atambue...
23 Reactions
565 Replies
31K Views
Sio siri Tangu nianze kujihusisha na mambo haya ya Mapenzi najipongeza kwa kuwa na Kismati kweli, Yaani kila ninapokanyaga Demu WA KISHUA mwenzangu au Mfanyakazi Wa Benki au Mfanyabiashara, lakni...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom