Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hii maneno nimeidesa somewhere! Hebu endelea............. FEMALE GEOGRAPHY 1. Between 18 and 25 A woman is like Africa : Wild, naturally beautiful and full of mysterious,fertile deltas. 2...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
umeishi na boyfriend wako kwa miaka mi 3 sasa,ila miaka yote umemvumilia mateso yote,like kuku gombeza na kukuambia muachane ukikosea kidogo,alafu siku ya siku nawe ukachoka kabisa,mana kakuambia...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuacha: Kunauma kidogo Kuachana: Kunauma kiasi Kuachwa: Kunauma kupita kiasi Kuachishwa: Kunaumwa sana Ushauri: Acha kabla hujaachwa!
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Mambo zenu wadau, natumaini mpo poa, mimi napenda kuuliza, kuna demu mmoja ninamawasiliano nae, namba yake nilipewa na mshikaji wangu, katika kuchati yule demu akawa anajua kwamba mtu aliyenipa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Hii iPo kila sehemu Kwenye news yaani huyu mkaka mwafrika ( mtanzania )alikutana na mzUungu mjerumani kumbe huyu mama sex addict akamkaribisha kwake huyu kaka alijikuta analazimishwa Kitendo hicho...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Toka nilipoacha SEX, Najikuta tabia yangu inaenda inabadilika, hasa kimuonekano na tabia. Wakati sijajiwekea STOP kwenyes sex nilikuwa so charming, so loving and so sexy hadi mwenyewe nilikuwa...
3 Reactions
88 Replies
14K Views
Hallow wana JF Takriban wiki mbili tatu hivi nilipata fursa ya kuhudhuria harusi ma mama mmoja, walikuwa wanabariki ndoa washaishi kama mume na mke zaidi ya miaka 30 kwa maana kijana wao wakwanza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani, mume wangu yuko busy sana na laptop yake, mida yote anakorokocha, he is a software engineer. Hata ukimuandalia mazingira romantic, mtaenjoy nae kidogo, wakati wewe bado unamuhitaji...
4 Reactions
131 Replies
12K Views
Hii maneno nilikutana nayo wakati naishi Sinza. Jamaa alikuwa kijiweni wakati anajiandaa kwenda kufanya mapenzi na msichana wa mtaani kwetu. Wakati anajiandaa na hiyo shughuli, alikuwa na bia nne...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Kama ni ukware, basi Arusha kiboko! Kweli kutongoza kwa wengine ni kazi kubwa. Kuna siku nilikuwa kwa bar na shemeji yangu wa kike, bila aibu njemba moja baada ya kuvutiwa na shemeji yangu...
3 Reactions
45 Replies
12K Views
Yaani hapa amevunja screen ya Tv hata sijui mechi ya man utd ntaenda angalia wapi, maana bar nako ni mikelele tupu. Natamni hata 'nimkate' kichwa aisee sema tu hii serikali itaingilia kati. Na...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Kutokana na mamboninayoyaona,watu wengi wanazidi kulalamika na baadhi ya watu wa karibu wamekuwawakinieleza jinsi wanavyoumizwa hawawengi ni wadada. Wadada wengi siku hizi tunalalamika wanaume...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wazee wa Chemistry: Two new additions to periodic table of elements: Element name: WOMAN Symbol: WO Atomic weight: (don't even go there) Physical properties: Generally round in form. Boils at...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena bila kujua nipo ofisi ya pili wale mademu wa ile 'thread ya ana manii nyingin yuleee' wakaanzisha stori yao nyinge ya kungonoka. Safari hii walielekeza mashambulizi kwa Dr...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
NDUGU zangu, katika maisha ya sasa kuna watu flani ambao ukiona wana ukaribu uliopitiliza kwa mke wako, jua kuna jambo nyuma ya pazia na ukishangaashangaa unaweza kujikuta unamegewa penzi lako...
8 Reactions
103 Replies
14K Views
Hii maneno imetamkwa na dada mmoja wa kihaya aliyeajiriwa karibuni ktk ofisi ya serikali, wilaya moja mkoani Manyara. Ajabu kayatamka haya maneno mbele ya wanaume watumishi wenzake wakati akipata...
0 Reactions
77 Replies
9K Views
Viatu vya kisigino kirefu au mchuchumio vimekuwa ni maarufu sana siku hizi, karibu kila mwanamke anavutiwa na aina hiyo ya viatu, awe ni mwembamba au mnene, mrefu au mfupi wote wanavutiwa na viatu...
8 Reactions
135 Replies
25K Views
Jamani uzalendo umenishinda! Kwa mnaoijua dodoma kuna kituko huku kinaendelea kati ya wapenzi wawili. MadameX naomba tu unisamehe, imebidi niongee tu! Niko geto kwa mshikaji wangu anayeishi kwenye...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi...
2 Reactions
74 Replies
6K Views
za jiioni wapendwa, hii itawahusu wale wenye urafiki na jiko, jamani sio masihara mwenzenu nimejaribu kukizoea kitunguu lakini naona nashindwa, kifupi nahitaji dawa kwa mwenye experience kwani...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom