Hivi sijui tatizo liko wapi kwa huyu kinda hata aachwe?
Hivi ni uhaba kweli wa madume au papara zake tu?
Hivi kiu yake ni mlo au na uvivu umetuwama pia kwake?
Huyu binti ni kinda kiukweli-ukweli...
Jamaa na demu wake walipanga kujiua,wakapnda kwenye gorofa la 10,wakaanza kuhesabu 1,2, ikifika 3 waruke,3 ilipofika jamaa akaruka dem akabaki na kujisemea "love is blind but I'm not...
Hakuna kitu kibaya maishani kama kuonekana upo katika daraja la chini kuliko kawaida kwenye jamii unayoishi. Kisaikolojia kuna madhara makubwa.
Kitaalamu hakuna jambo ambalo hutokea maishani bila...
Katika maisha mawazo ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu, lakini hata hivyo matumizi ya akili lazima yawekewe mipaka na isiwe ni kitu cha kawaida ubongo kuruhusiwa kwenda mwendo mkali kulingana na...
Wakubwa zangu shiakamooni!!!!!!!!
Natumai wote mu wazima wa afya!!!!!!!!!
Topic: Dating Life Style and Journey to the Wife Hood
Guest: Ciello
Host: Lara 1
Back stage: Zinduna
Epilouge!
Leo...
Wana JF, ningependa kujua wanaJF wa jinsia zote mbili ambao kupitia JF wabebahatika kupata wenza wa maisha na wameoana. Waje watuletee ushuhuda humu ili wengine wawe na moyo mkuu kuwwa yote...
Wakubwa zangu shikamooo!!!!!!!!
Weraaaa weraaaaaaaaaaa! (Sitoi bila Helaaaaaa! Ooooopps off the records)
Ijumaaa hii kama kawa kama Dawa Tunayo Young Blood in The House, Kizazi kipya hiki, si...
"Ninakufahamu sana. Tulikutana siku ile ya harusi ya …(anataja jina). Ulikuwa umevaa gauni la mikunjo ya chini la rangi ya pinki. Namjua mumeo, nawajua ndugu zako . …. na...
dakika chache zijazo ntatoka ofisini(mitaa ya mwenge dsm) kuelekea hom, mawazo yamenijaa ni jinsi gani nitapata gari za mbagala. shida ni kubwa sana kupata usafiri. tatizo kubwa zaidi ni jinsi...
Hivi kazi ya chupi kwa kina dada ni nini?
Ukiivaa haionekani na usipoivaa haionekani
Ukikaa vibaya ikionekana tu, utaskia 'umekaa uchi!'
Ukikaa vibaya isipoonekana, utaskia 'umekaa uchi'
Je kuna...
Kijiji Balaa nimekubwa na balaa ambalo nahisi linautesa moyo wangu.
Kuna mwanamke nilikuwa nimemtongoza kwa muda mrefu takribani mwaka sasa. Ni mwanamke mzuri sana kwa kweli. Msema kweli mpenzi...
Jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya tongue bifurcation(splitting).
Kuna hii kitu ya ku-split tongue, mojawapo ya sababu zinazowafanya watu wapitie mchakato huu mgumu ni pamoja na kuongeza...
Ukikumbuka miaka mbali mbali iliyopita,
1970; Nipende lakini usiniguse.
1980; Niguse lakini usinibusu.
1990; Nibusu lakini usifanye kitu kingine chochote.
2000; Fanya kila kitu lakini...
Nina jamaa yangu ana mke na mtt mmoja,na mke wake ana wivu sana juu yake kiasi kwamba hataki kumuona jamaa amecmama na mwanamke kwan anadhan anaibiwa.Jamaa yangu ile hali inamkera na akaamua...
Wanajamvi habari ,
Nimetokea moshi nikiwa na nimekaa na msichana mrembo sana na tukasilimiana vizur na safari ikaanza huku nikiwa nashindwa hata kuanza na story kkwa huhofia uzuri wake na...
Habari za Mwsho Wa DUNIA leo Tar 12/12/2012 , ikifika saa 12:12:12 ndio Mwisho , nikaona ngoja 2agane vzr humu JAMVINI, Mimi nina Rafiki yangu ambae tumekuwa wote tangu utotoni mpaki tukafikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.