Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
"Lile basha langu la ajabu kweli. Yaani isitokee ujifanye 'sitaki nataka', mwenzangu hata hajishughulishi walau kukupandisha mzuka, utaona huyooooooooo ananiacha anajilalia hadi asubuhi. Yaani...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Tumekuwa pamoja kwa miaka miwili sasa plus miaka miwili ya kuzungushwa inakuwa minne. Nampenda sana na ndo mtarajiwa wangu Mungu akijalia. Kwa muda wa mwaka mmoja sasa hivi yuko mbali kabisa nami...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Wakuu…. Nahitaji msaada wenu wa mawazo hapa….. Nina mpenzi wangu ambaye nipo nae kwa takribani mwaka mmoja sasa tangu tuanze mahusiano yetu… Mpenzi wangu anapenda sana kuongea...
0 Reactions
51 Replies
11K Views
Peter wa Gloucestershire huko Uingereza alipatwa na jambo lenye kushangaza sana mwaka 1987. Akiwa katikati ya sherehe ya jamaa yake mmoja alishikwa na haja ndogo. Aliamua kwenda kujisaidia...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
habarini wana mmu,kwa utafiti wangu nimeng'mua kuwa,wake za walimu wa shule za msingi walio wengi ni wazuri wa tabia,sura na umbo lakini ni magolikipa!sijui kwa nini?Hii inapelekea walimu wengi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Picha haihusiani na habari hii...... Nakumbuka ilikuwa ni mwishoni mwa miaka ya 1990, ndipo tukio hili liponitokea. Baada ya kupata misukosuko kadhaa hapa jijini Dar, kutokana na mbilinge zangu...
11 Reactions
38 Replies
5K Views
Asalam aleykum...aka shalom au amani iwe nanyi! Mimi ni mume na nataraji kuwa baba mzuri(soon on God's favor) Its a pride i take that ni muaminifu 2my dear wife na yeye pia. Tatizo linalo...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari za Hasubuhi waungwana, Naa swali linanichokoa roho,ivi pale unapokua na mumeo mko kwenyeuwanja wa mahaba halafu mwenzio baada ya kukuita kwamfano Fatma anakuita fayka inamaana ndio mtu wake...
3 Reactions
77 Replies
7K Views
kwann mabinti wa facebook wanajirahisisha sana kwangu? au ni kwa kila mtu? maana nimeshagaragaza mademu saba kwa msaada wa fb wawili kutoka chuo kikuu cha saut mwanza wawili wa ifm na mmoja wa...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Mi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k...
6 Reactions
223 Replies
16K Views
Jamani kwanini wanawake wembamba wanautesa moyo wangu? Yaan kila mwanamke mwembamba mm kwake hoi loh hivi hili ni tatizo nisaidieni jamani mwenzenu!!!!
1 Reactions
74 Replies
6K Views
Habarini wadau wa MMU Naombeni ushauri kwa hili, nimegombana na mpzn wangu jana nimejaribu kuplease but anaonekana kukaza usi wa kuvunja mahusiano, sababu ni kuwa namfuatilia sana analalamika...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Huwa sipendi kulizungumzia jambo hili lakini pia nimependa kuwashirikisha rafiki JF Hakuna anayejua historia ya maisha yangu zaidi yangu na rafiki zangu wachache walio karibu sana na jamaa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na kutoheshimiana ni kwa sababu tulio waowa/olewa nao hatukutanishwa na upendo wakweli,bali tulikutanishwa na tamaa,kuzini,au kwa sababu ya kupata mtoto hivi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
1. Sura nzuri yenye mvuto Lakini isiwe imesiribwa mavipodozi mpaka inachusha, inatakiwa iwe na simple make up za kiushakaji na macho yawe mazuri na yawe yanavutia hasa pale unaporembua. 2...
20 Reactions
164 Replies
39K Views
Peopleeeeeeees!!!!!!!!! Wakubwa zangu shikamooni! Hivi inakuwaje ukigombana na mkeo anatoka mkuku kwenda ofisini kukushtaki kwa ugomvi wa nyumbani? Basi amkute bosi cha umbea kama Bosi Wangu...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
THE GEOGRAPHY OF A WOMAN Between 18 and 22, a woman is like AFRICA : Half discovered, half wild, fertile, and naturally beautiful. Between 23 and 30, a woman is like EUROPE : Well developed and...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kanijia rafiki yangu asubuh hii na mapema nimshauri kwa yaliyomkuta usiku wa jana, wana jamvini kabla sijamshauri naomben mawazo yenu, yy ni hawara wa mume wa mtu sasa jana kulikuwa na harusi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Leo naomba ushauri wenu. Nina mchumba wangu ambaye nimeshamlipia mahari na tayari nimemvisha ya uchumba. Jana jioni aliniambia kuwa ni mjamzito na kuwa hiyo mimba ni yangu, kwa...
0 Reactions
110 Replies
10K Views
naendelea kubadilisha upepo wa jf kwa kutoa mada murua zinazohusu wanaume hasahasa mapungufu yao..... mada nyingi zimekua zikimponda mwanamke kama chombo dhaifu na kisicho na maamuzi under the...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom