Mimi ni mwanamke mwenye mume, huu ni zaidi ya mwezi wa pili npo kwenye hedhi nimefanyiwa ultrasound sina tatizo nimetumia dawa za hospital bado, za kienyeji bado tatizo linaendelea......
Mume...
'Samahani sana (Anataja jina langu). Nina mpenzi bhana na nilikuwa nae siku ile. Am Sorry (anataja tena jina langu)'
Huyu demu tulionana Arusha kama mwaka na kitu hivi. Tukawa marafiki. Kadri...
Nahitaji ushauri wenu wanaJF,
Ndoa yangu ina umri wa miaka 21 na mimi mwenyewe nina umri wa miaka 46. Katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto 3. Mke wangu yeye ni mjasiria mali (siwezi kusema ni...
Naamini kila mtu anapenda kupendwa na mpenzi wake au anayekufanya uwe na raha mara zote bas huyo ndiye kipenzi kwako,lakn hapa namaanisha malovee haswaaa!hawa dada ze2 sikuhizi wana cm nzuri sana...
Fatuma alimtazama Eric,,kwa muda mrefu,,alikumbuka mengi waliyopitia.Alikumbuka mara ya kwanza walipokutana na Eric..jinsi Eric alivyokuwa mpole,msikivu na mtulivu sana.Fatuma alikumbuka zaidi...
Ratiba yangu ita alternate between kufua, kupika na kumuangalia baby wangu. Kazi zingine dada atafanya. Jioni nitatafuta muda baby akiwa amelala nifanye mazoezi. Halafu nitasoma vitabu, nitaperuse...
1. Makazini/maofisini
Hapa ndio panaongoza kwa ngono, wake za watu na waume za watu wanabutuana kama hawana akili nzuri lunch time watu wanapigana vya fasta fasta, kupewa kazi mtu anabinuliwa...
Kuna msichana mmoja nilifahamiana nae mwaka jana! tukaingia kwenye mahusiano lakini niliogopa manake alionyesha kuniamini saana! na akawa tayari kwa lolote ilihali tumefahamiana nae ndani ya muda...
Ndugu wana jamii,mm ni kijana wa kiume nina girlfriend wangu lakini last week nilifanya kosa ambalo kwa kweli mm mwenyewe sikulitegemea,akawa amekasirika sana,,nikawa nimekubali kosa na kumuomba...
wakati wa uchumba mara nyingi hakupenda kulala kwangu.nikajua ni binti anaejieshimu na kuutunza usichana wake..That good!
mara nyingi alipenda kuja weekend mapemaaa na kushinda siku nzima....na...
Ushauri toka wimbo wa John Mayer- "Daughters". I think of this on a daily basis.
"Fathers, be good to your daughters
Daughters will love like you do
Girls become lovers who turn into mothers
So...
House girl wako ana mimba, umeamua kumrudisha kwao, kagoma kuondoka anadai mimba ni ya mumeo.
Umembana mumeo, anakwambia mwache huyu binti ajifungulie hapa kwani mimi ndie ninahusika na mzigo huu.
Imezoeleka kuwa,mwanamke mwenye maumbile ya aina fulani,kama vile makalio makubwa au miguu "kama chupa ya bia" anapopita mbele ya wanaume,wanamtamani.
"
Lakini mwanamke huyo huyo unaweza kukuta...
Let us cheer up with wonderful n fantastic messages to our dearest n loved ones OR VICE VERSA
Here is mine ; These lonely hours stands for all the thought and memories that always we were...
1. When a girl says she's sad,
but she isn't crying, it means
she's crying in her heart.
2. When she ignores you after
you've done something wrong,
it's best to give her some time
to cool...
Eti, baada ya kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mwenza wako,kinachomrudisha tena mwanamke huyo kufanya mapenzi kwa mara nyingine na kuendelea ni nini hasa?
1. Kunogewa?
2. Kuendelea kupata...
wadau tufunguke kuhusu nani kati ya mume na mke anayesababisha kutoweka kwa uaminifu katika ndoa, ambazo tunazishuhudia zikiwekwa nadhiri za uaminifu kwa mbwembwe na matangazo ya kutosha.
Je kosa...
A. Utamtafutia mahali ili aitoe?
B. Utamsaidia kuitunza na kulea mjukuu ili arudi shule?
C. Utamshakizia (kumfukuza) kwa familia ya kijana awajibike?
D. Utamkatishia masomo ili alee mtoto wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.