Huu huwa ni moja ya miezi muhimu na yenye kumbukumbu kubwa sana kwenye maisha yangu, hasa katika mahusiano.
December ndio mwezi niliozaliwa, tarehe ya 25 na kufanya kwa wale wataalam wa...
Jamaa kaumbuka, anazidi kuumbuka kadri mtoto akuavyo. Baada ya kumjaza mwalimu, akamshawishi kutoa mimba bila mafanikio, mwalimu kakomaa sababu anaitaji first born. Watoto wake 2 wa ndoa kama sio...
Hivi baadhi ya wadada wa Dar wanajua kuwa Housewives of Atlanta wanalipwa kuishi
maisha wanayoishi? Maana siku hizi almost kila demu dar anaishi kwa "kuact". Mshahara
wenyewe wa madafu halafu...
Habari za jumapili mabibi na mabwana.....
Ningependa leo tujadiliane kuhusu LAWAMA hasa kutoka kwa wanawake. Kwa mfano, mmeo/boyfriend wako anapenda uwe unamjulisha ratiba zako. Ukitoka kazini au...
Mme wangu si mwaminifu hata kidogo anatembea na mfanyakazi mwenzake ambaye ni subordinate wake. Nimemvumlia nikijua atajirekebisha lakini naona ndo kabisa hadi safari za kikazi wanaongozana wote...
A youthful clergyman is nursing injuries at a hospital in Kakamega after he was badly injured by an angry husband who caught him red handed in a compromising manner with his wife...
..itamchukua mwanamke muda wa kutosha kuhangaika na kujipanga atafikisha vipi hisia zake kwa mwanaume aliemzimika........mara nyingi mwanamke huyu ataishia kuumia kwa kipindi kisichojulikana hasa...
Mama mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti.
Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoiandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi...
ndugu zangu naomben busara zenu hapa.Mi bado ni kijana miaka 24 ndo naanza kujenga maisha yangu ila bado nipo kwa wazazi,nili mweleza mama yangu kuwa naomba niondoke nyumban nikajitegemee ila mama...
Hili ni tunda nafikiri alilokula Adam .naongelea tunda Usije ukanunua juice.ukila tunda hili kweli utagundua power of mchochomeo .100 percent mwanaume utamridhisha hato angalia kulia wala...
Kuna mdada mmoja namfuatilia{namtongoza},asa nimempga mistari weee lakini bado ananichomolea,jana nkajarbu kuwa kama nampotezea flani hvi,then ye akaniuliza kama nimekasirika kutokana na majibu...
In the United States, there are many situations in which
abortions are recommended, even encouraged by family,
counselors, medical personnel and even religious advisors.
Sometimes an abortion...
Nimegundua topic nyingi zinazoletwa humu ndani ni za kutungatunga. Yaani mtu analeta mada/swali la kijinga kuliko kawaida ili mradi tu ajaze uzi. Kama hizi thread za housegirl na mama mkwe...
Imeripotiwa kutoka Bagamoyo kuwa mwanamke mmoja kwa jina ni Mwajuma alikabiliana na majambazi waliovamia nyumba ya jirani yake "mama Mwasama" ktk eneo la Kaole, na kufanikiwa kumuua mmoja. Kamanda...
Basi leo jioni mida ya saa mbili kama na robo/nusu jioni watu tunapata mishkaki na hii bia mpya ya Tusker Lite pale Kona Bar, mara kundi la wanaume na wavulana linamfuata dada mmoja huku wanaimba...
Jamaa ni mpenzi sana wa facebook kila siku jioni yupo busy facebook,Mi huwa namshangaa sana sababu mi inaweza pita hata mwezi sija log in huko.
Juzi kati kanionyesha binti mmoja anachat nae na...
Nimechoka vibaya vibaya yaani. Msichana kanizungusha zaidi ya miezi nane. Kala vyangu na kikubwa nikimtegemea aje kuwa mke wangu.
Nikiomba mamboz siku zote jibu lake kwangu yeye ni bikira hata...
aliniacha kwa mbwembwe zote..sasa nashanga..amerudi,tena kwa mbwebwe za kuomba msamahi,sms za sorry zinafululika kama mvua..had anajaza inbox yangu...Mwanaume hana haya huyu mana kasahau kashfa,na...
Ulikuwa na mke wa ndoa,mlipendana sana.....mliishi kwa miaka 4,2kabla ya ndoa na baada ya ndoa 2.
Katika muda huo,mkeo alishabeba mimba mara2 zikaharibika kwa tatizo la homorne........mkiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.