Ni dk kidogo kijana wa umri kati ya 16-17 alipogongwa na gari aina ya toyota Rv4 T 553 AVE eneo la Technical College Arusha na kupoteza maisha hapo hapo ni machungu kweli kweli lakini hayana budi...
lol am joking .....is not mine but hey enjoy,nimempenda bwana harusi ningekuwa na uwezo ningemuiba he is one of the few african men who made my heart melt.:happy::happy::der::der:: ranger:
inapotokea
kutokuelewana na mtu anayekutaka then akakupa kadi yake ya bank akakupa
password na akajinywea sumu mbele yako,unaelewa nini hapo,hiki ni kisa cha kweli kimenitokea jana
hii dhana ipo kwa wanaume kuwa unakuta unamtamani mwanamke yaani unataka kumvua chu...i tu halafu basi
sasa je kwa upande wetu wa wanawake je mna hii hali ya kukutana na mwanaume halafu unataka...
Habari yako wewe mama uliyefungua uzi huu kutaka kujua nini kilichojiri. Na wengine pia habari zenu :behindsofa: !!
Ni hivi msimu wa likizo na sikukuu ya kumaliza mwaka umewadia na muda huu mambo...
Asilimia 44 ya wapenzi wanaokwenda Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali kupima vinasaba (DNA), kwa ajili ya kujua uhalali wa watoto kwa baba, wamethibitishiwa kuwa watoto hao si wa kwao. Takwimu za...
Siku ya leo niliamka nikiwa najifeel so down kwakweli, ni kutokana na ishu moja iliyonikuta hivi karibuni.Basi hata kibaruani nilikwenda shingo upande tu kwani walinipigia simu kuniita.siku...
Wanajamii kuna tatizo ambalo linasumbua muda mrefu, ambalo ni kuwa na hasira sana. Hii imenipelekea niwe mwingi wa lawama hata pasipo na msingi. sina simile hata kidogo imepelekea my wife aishi...
Wana jf.
Mwenzenu nina mpenzi wangu 2medumu kwa muda wa 3yrs now.ila kwa mara yakwanza nakutana nae aliniambia anamtoto 1 na hajawai kuoa.baada yakukaa nae kwamuda wa miezi 8 nikagundua anawatoto...
Hi to all, napenda kuchukua nafasi hii kwenu kuomba ushauri juu ya sula la wanawake pindi wanapo ondokewe na waume zao mbona jamii inaangalia kwa mtazamo tofauti sana, tofauti na wanaume...
Ijumaa ya leo haiko sawa kwangu,lakini haijanizuia kujiuliza swali lifuatalo;
"
Lakini kabla ya kuuliza,nina ombi kwa MODS,wasiihamishe hii siredi kulee maana sina access huko na naweza kukosa...
Habari zenu waungwana? Naomba msaada wenu kwa wenye mautaalamu ktk hili...
Je,ni kwa vp nitajua kuwa demu amekeketwa,kwa kuangalia kitu gani hasa na nini madhara yake ktk maisha ya mahusiano na...
Hivi karibuni nilisafiri kutoka Dar kwenda mikoa ya kusini. Ndani ya gari nikakuta nimekaa siti moja na mdada mmoja mdogo, umri waweza kuwa kati ya miaka 16-18. Kawaida yangu huwa siyo mzungumzaji...
Wana Bodi Heshima mbele.....
Mimi nina Dada yangu upande Baba amemaliza chuo mwaka juzi kasoma kapata Shahada ya Uchumi,baada ya hapo akaja hapa DSM akaenda Ofisi flani kuomba kazi matokeo yake...
Wakubwa zangu Shikamooni!!!!!!!!!!!!!
Weraweraaaaaaaaaa!!!!!!!!! Niajeeeeeeeeeeeeee!!!
Tabia ya mtu una mkeo au mumeo, anafanya kazi sehemu ingine ila kutokana na kiherehere chako na umbea...
Kuna mambo madogo madogo yanayowahusu wanaume huwa watu wengi hawayaoni na kufanya tafakuri. Katika makuzi yangu nimegundua udhaifu ambao wanaume wengi wanao lakini hausemwi kwa sababu ya mfumo...
Hiki kisa kilitokea Jamuhuru ya Czech mwaka 2007, sijui ni watu wangapi humu waliwahi kuisikia but it's worth reading
Two baby girls mistakenly swapped at birth in a Czech hospital have been...
Wadau, nimesikia Tetesi Kwenye Luninga moja inayotema Kireno mambo ya Obrigata Na nanihino eti jamaa wamevumbua chupi na mikanda ya elecroniki..chupi au mikanda hiyo ni ya kawaida ila Imejengewa...
The lawyer hopes you get into trouble.
The Doctor hopes you fall ill.
The Police hope you become a criminal.
The teacher hopes you are born stupid.
The coffin maker wants you dead.
Only...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.