kila muda anapiga cm kwa mpenzi wake umeivisha, umepika nn nije kula, nipikie basi nakuja kula, utaniandalia nn nije kula. nisaidieni mwanaume wa hivi nimueleweje au ndio kawaida kwa wapendanao!!!!
Familia ya Bwana na Bibi Tutor B wa jijini Mwanza wanayo furaha kuungana nawe Mwana JF katika sherehe ya mtoto wao mpendwa Akanganyila B kupata kipaimara.
Sherehe hizo zitafanyika siku ya...
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana...
Hivi sasa wanandoa wa Marekani hawako tayari tena kujiapiza kwamba, wataishi na mume hadi kifo kije kiwatengenishe. Badala yake, wengi hutaka kujiapiza kwa kusema, "tutaishi kwa shida na raha...
Wanasaikolojia sasa wamebaini kwamba, mwanamke ana uwezo mkubwa wa kuvumilia kwenye hali ngumu kuliko mwanaume. Kwa hiyo, anaweza kuanzia chini sana, kwa kuuza muhogo wa kukaanga hadi akafika juu...
Wanajamvi jana usiku mida ya saa 4 nimempigia simu mpenzi wangu simu ikaita bila kupokelewa nadhani alikuwa ameshalala,nikaamua kumtumia sms ya kumtakia usiku mwema na nikamwambia simu yangu...
Mara nyingi nimekuwa nikisikia maoni na mitizamo ya watu kuhusu uvaaji wa vyupi na boxer kwa wanaume. Baadhi ya watu wanasema vyupi vinaharibu uume na kupunguza nguvu sabau ya joto na kumbana...
Siku ya tukio,baba aliaga asubuhi kuwa anakwenda kazini,baba ni mfanya biashara wa simu za viganjani
"
Ilipofika muda wa mchana mama yake na binti akamuagiza aende kwa rafikie mama yake ili...
Dah! kila siku zinavyozidi kwenda ndo maadili yanaporomoka.... weekend nilikua mahali kuna vijana kama wanne hivi wote wanaume....wamekaa kaunta wanataniana kuhusu wake zao......Mmoja kati yao...
Mara nyingi nikitaka kushiriki tendo la ndoa anakuwa na sababu nyingi, mara sijisikii,mara nausingizi, yaani kwa ujumla hapendelei kunipa ninapotaka kuwa naye,
nifanyeje sina ujanja natafuta...
Hii si Tamthilia na wala si swala la rafiki yangu kama ilivyozoeleka jukwaa hili watu huogopa kusema ni wao ndio wahusika. Hili linaihusu Familia yangu halisi.
Kwa sababu mtandao huu unasomwa na...
Wajameni Mimi nilikua mwasilika wa hadithi za Willy Gamba. vitabu vyote nilivipitia vyote isipokua kile kilichopigwa marufuku cha Hujuma. Leo niwakumbushe kidogo wahusika KIKOMO mwadui shinyanga...
Je kama umeoa na bahati mbaya sehemu yako nyeti ni ndogo sana, je mkeo akidai talaka kwa kigezo hicho atakuwa amefanya makosa. Au mkeo sehemu zake nyeti ni kubwa sana je mmewe akiomba talaka...
Habari Wana JF!
Kuna kitu nimewahi ki experience nikiwa sekondari na chuo.
Kuna jamaa mmoja alivyokuwa anapiga paper kama ikitokea hajamaliza afu msimamizi akasema "time is over"... jamaa anamwaga...
Wana JF, mlichukua muda gani kuanzia kukutana na mwenza wako/ kuanza kudate mpaka ndoa? Kuna correlation kati ya muda unaochukua kumfahamu mtu, na furaha katika ndoa? Je mlikutana na surprises...
Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa starehe ya tendo la ndoa kutoka kwa wake zao kwa sababu mbali mbali,
Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa nafasi ya kufuatilia wasichana kwa miezi sita kwa...
Nauliza ushauri wenzangu...mie nimelelewa kijijini kwa desturi za kitanzania kwa misingi ya kuwa mtu wa kabila lako kama ni mkubwa basi baba, shangazi, mjomba, au mama...kama ni lika sawa basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.