WanaJF,
Mimi ni mwanaume nina miaka 51. Mke wangu ana miaka 49 na hivi karibuni amefikia ukomo wa kuzaa(Menopause). Tatizo sasa ni kwamba hana hamu ya kufanya kamchezo na hata tukifanya anaumia...
Nimepewa hii story jana na rafiki yangu.
Kuna dada mmoja binti mdogo kama 24yrs old, alitoa rushwa ya ngono ili aajiriwe kampuni fulani. Alimpa rushwa ya ngono Manager fulani wa Operations ambaye...
Benefited a friend or benefiting from a friend? (FWB)
Was jelousy ever involved later or just a casual thing?
Mli/naendelea kubenefitiana au mlibaki friends wa kawaida tu?
Was it ur...
Haya bwana. Siku moja tukiwa chuoni tukapanga kwenda day out Prison Island kule Znz. Infact hiyo safari niliandaa mimi. Watu chuoni waliamini I was a party animal like no other na nikikosa mahali...
Ni kama wiki mbili hivi nimekuwa nikienda mahakamani kumsindikiza jamaa yangu mmoja aliekuwa anafuatilia mambo fulani pale mahakamani.
kila siku nilipokuwa naenda pale nilikuwa ninabahatika...
Watu wanachota maji tuu,na Chura analia kutwa maji yangu maji yangu .wapendeni Waume zenu kwa nguvu na akili na mapenzi yote.lasivyo mtakuwa mnapiga mayowe mtaani mume wangu mume wangu na wajanja...
Habari zenu wana jf,
Nna maswali kama matatu yananiyatiza nimeombwa ushauri nimeshindwa nikaoa nije kwenu wadau.
Nina rafiki yangu wa kiume(ni rafiki tu), ye anafanya kazi Dodoma, mwanzoni wa...
lazima uwe umeshupaa shupaa hivi ndio wanataka kukuoa....ukiwa umelegea legea ngozi nyororo unanukia vizuri ndoa utaisikia kwa jirani,yanataka mtu wa kuwafulia,kuwanyooshea nguo na kuwa pikia...
Ndoa zimevurugika sana,huku kwetu wanawake watatu wamefukuzwa sababu dna imesema watoto siyo wa hao jamaa, mama mmoja alikuwa na watoto watatu wote dna imesema siyo wa huyo jamaa,kama siyo mashine...
Niliwahi Kuomba Ushauri Hapa Kuhusu Mpenz Wangu Aliyevaaga Suruali Ya Kubana TIBA YA KUTOPENDA, Nikamtimua Lakin Baadaye Nikajihis Kumkosa Ila Sikuweza Kumwambia Kwa Sababu Mimi Ndiye Nilimtimua...
Wataalamu wamethibitisha hivi sasa kwamba, familia ambazo wazazi ni walevi kwa mfano, au ni wavuta bangi, ni rahisi sana kwao kuwarithisha watoto wao kuliko watu wanavyofikiria. Jambo ambalo...
Inaonekana wanaume tulio wengi tunapenda ngono kuliko wanawake au tunalitazama tendo hilo kwa uthamani mkubwa.
"
Hii inaweza kuwa inasababishwa na maumbile yetu au malezi.
"
Nimesema hayo kwa...
Having trouble picking out what to wear to work? Focusing on colors might not only help you narrow down your choices, but may also benefit your career. Research has shown that colors can greatly...
This popped up on my Facebook feed so I decided to share with my JF family. Najua kulikuwa na topic ya male ego, sasa kuna mtu alikuwa anaongelea female ego inavyoharibu mambo. Majibu yalikuwa 30+...
Naongelea Kwenye mzinga wa mapenzi .wanawake wengi mnakuwa Kama nyuki hasira kununa umbea na kijichubua hivi ni bonge la turn off .wanaume wenu wataishia kuwa Kama asali.kila mtu atakula Kasoro...
Baada ya Frederica kukilalamikia kipimo cha kinasaba DNA kusambaratisha ndoa yake baada ya ugomvi mkubwa na mumewe kuhisi mtoto aliezaliwa kuonekana mwenye asili ya Asia toka rangi hadi nywele na...
Ni takriban mwezi sasa toka nilionana na kijana wa JF anae jiita Nyani Ngabu.
Naam, Nyani Ngabu ni kijana, tofauti na habari zinazo sambaa sambaa humu.
Labda kwanza nieleze ilikuaje hadi...
Mganga akaniambia mwanangu kachukuliwa msukule.....!
(Picha haihusiani na habari hii)
Mwaka 1995 nilikuwa bado naamini sana katika haya mambo ya uchawi na ushirikina. Wakati huo nilikuwa na mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.