Habari za hasubuhi waungwana,
Jana nilienda msibani huko magondo poromoka, nikiwa na shogha yangu cha ajabu shoga hatulii sehemu moja mara katoka nje mara kaingia ndani nikamuliza kwani vp mbona...
Mwanaumme bila kazi hapendeki
Shida akililiwa visingizio kibao
Kumgalagaza mwenzie kitandani haoni kero
Lakini matunda yake kamwe hayali
Mwanaumme ni nini haswa?
Binti alijipanga bila ya zengwe...
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!
Niajeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ujue bana First dates zinakuwaga nzito sana kwa watu wengi, especially kwetu Uswazii huku sababu you show who you realy are from...
I am trying to imagine ingekuwa vp kama pasingekuwepo na hii kitu manake inaumiza saana vichwa vya watu! I am imagine kama pangekuwa na another means ya kupata watoto! interaction kati ya mwanaume...
Nikiwa na miaka 13 waliingia majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi kuisahau siku hiyo...
Habari zenu wana M.M.U.
Leo nilipigiwa simu na mdogo wangu (he is 21yrs) yuko chuo pale ushirika moshi,
amejaribu ku "do" na gf wake mara 2,mara ya kwanza ni three weeks ago na jana akawa...
Leo nilimpa lifti jirani yangu wa kike alikua anakwenda saluni, sasa wakati namshusha nikasikia mazungumzo ya wale kina dada waliokuwapo pale saluni. Mmoja kaja na hii ....ukitaka kujua kama...
Habari zenu wana MMU,
Ninaomba mnishauri juu ya hili.
Nina mtoto wa dadayangu (mvulana). Kukweli nampenda sana kama mwanangu, kwanza kalizaliwa mimi nikiwa chekechea, nilimlea and honestly I...
Kuna kundi la watu wanajulikana kama 'Psychopath' kutokana na hali za akili zao.
Bahati mbaya zaidi hutokea pale anapompenda mtu, hataki kuelewa kama na aliyempenda ana mpenda ama lah.
Huona...
Members,
Sijui ni mimi mwenyewe nakerwa na haya mambo au kuna wenzangu pia mnakereka.
Juzi Ijumaa Jioni Kuna rafiki yangu mmoja amekuja kunitembelea na kunisihi angalau Tutoke twende club...
Naomba mnisaidie, nina shoga angu ameniomba nmshauri nami cnabudi kulileta kwenu.Rafiki yangu ana boyfriend wake kwa muda mrefu sana,bt kwa sasa hawaelewan kwa kua huyo shemeji yangu amekuta sms...
habarini wazee wa jamvi
nina mchizi wangu anakademu kake kapo hot sana,anavodai,yaani kanamzuka sana kwenye mambo yetu ya 6x6 ila tatizo mchizi akiingiza tu anamwaga?sasa anaomba maujuzi kwa...
Ndugu, kweli mwenzenu ni na shida na sijui zitaishaje. Juzi tu nilikuwa na tatizo la mke wangu na bado halijakwisha. Likaja hili la GF wangu wa zamani. Lakini, ninao watoto wawili nje ya ndoa...
Hii swali ni limetokana na mada ya Wimbo.
Mie sijasomea saikolojia, lakini kwa kutazama aliyoandika, nahisi bado ana kovu bichi kabisa moyoni. Naweza kuwa nimemsoma isivyo sahihi pia...
Kwa huku kwetu ni wanaume wachache sana wanaomsaidia mwanamke bila lengo la kumpata mwanamke huyo. Hata hivyo sio wanawake wengi wanaokubali kulipa fadhila kwa njia hiyo, lakini wanaume wengi...
Huyu Baba Mkwe simuelewi kabisa, saa sita au saba usiku eti anampigia simu bintie, kha, umelala usingizi unashtuka simu inaita au mtu anaongea na simu, haya mwenzetu nani huyo usiku huu, oooh Baba...
Matokeo ya uchunguzi wa DNA uliofanywa na TBS umethibitisha kwamba zaidi ya asilimia hamsini ya watoto waliopimwa DNA zao na TBS waligundulika kuwa si wa baba waliodhaniwa kuwa ndiyo baba zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.