mashosti wazima..
nina bf tunapendana sana.. mi ninafanya kazi yenye mshshara wa kawaida ila yy ana kupato kikubwa. but i have always been independent na sijawahi omba pesa.
sasa nimepatwa...
Tulikua tumekaa sehemu na brother tunapiga story na kesto .......mara alipita mtoto mmoja matata sana, wote tuliokua pale grocery tulimgeukia.... alionekana pia ni mdogo kiumri. Sehemu tuliyokua...
Habari ya lunch jameni though am not sure kama wote mmepata aub ado mwasubiri promise,
Ni hivi jamani ni huruma yangu ndio inaniponza baada ya kuona wenzetu humu ndani wana matatizo ya...
"And among His Signs is this, that He created for you mates from among yourselves" .
It was in Allah's Book before fourteen centuries Almighty's saying, "And...
Naombeni Msaada wenu wa mawazo tafadhali,Mimi ni Mkristo nina mke lakini nahisi nilifanya uchaguzi usio sahihi maana sina hisia nae kabisa japo tumezaa pamoja mtoto,najitahidi Kumpenda lakini wapi...
Habari za mchana.
Hivi mvua za dar sasa zaleta mambo jamani mtoto wa watu natoka posta naenda home nimepanda daladala la ubungo halijajaza sana mie nimekaa kwenye siti ya pembeni karibu na pale...
Yule ambaye anaweza kushinda majaribu ya ngono au anaweza kuvumilia miezi 2/3 kupita bila kufanya tendo au Yule ambaye hawezi kushinda majaribu, akionyeshwa kidogo tu tayari, au hawezi kuvumilia...
WAKATI NILIKUWA MDOGO NILI
MUULIZA MAMA kwann unalia ...?
Mama akanijibu kwa sababu "yeye
ni MWANAMKE"
Nika mwambie
sikuelewi ...akanijb ...."Huwez
nielewa mwanangu '"huku akini
kumbatia...
From a difficult family background in rural Iringa, Elisa came to town when she was thirteen years old, following promises for a job Watch the movieand the possibility to go to school. But the...
wazee imenitokea nilikuwa na demu wangu wa kimbulu nimekaa naye more than five years hapa ar chuga kaka,katika nikajitosa mkuu kumpleka shule dar chuo akaanza cert mkuu wangu after that akamaliza...
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa...
kuuliza si ushamba jamani........
Nani kati ya mzazi na muoaji ana power ya maamuzi juu ya binti ambae amelipiwa mahali na bado yuko kwa wazazi akisubiri ndoa ya kanisani/msikitini?
Mfano: Binti...
Shule jamani shule,
Tuko ndani ya mwezi December xmass hiyo around the corner, kwa wale Wazazi wenzangu tuliogoma kusomesha watoto zetu kwenye shule za Umma tunajukumu mbele yetu...
Wakubwa zangu shikamooni!
Peopleeeeeeeeeeeeesss! Once again its Furahiday tunakutana tena jamvini kwenye Talk show letu la Ukweeeeeeee! MMU EXCLUSIVE INTERVIEW!
Ndani ya nyumba tunae Prisoner...
Wakuu jana jioni saa kumi na mbili nilikuwa napita mtaa fulani na kuona kuku wakikimbizana halafu wakaishia kupandana kama kawaida ya mapenzi yao, kilicho nishangazwa mno kuona kuwa kumbe kuku...
katika taarifa ambazo zilizogonga vichwa katika tv ya bbc ambayo huwa inarusha matangazo kupitia star tv matangazo ambayo huwa yanaanza saaa tatu kamili kuna taaarifa ilitangazwa kuwa mwisho wa...
Jamani hivi ni ni mimi tu ndio nafanyiwa na kupata usumbufu ambao sio wa lazima kwa mtandao ya simu wakati umekaaa na unaendelea na kazi utasikia simu unapigiwa ukipokea uanaambiwa karibu huduma...
Ilikuwa ni siku ya Jumanne ya Disemba 7, 2010, majira ya saa nne asubuhi niko ofisini, nikiendelea na kazi zangu kama kawaida. Nilikuwa na jukumu la kukamilisha ripoti yangu ya juma lililopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.