Jamani wana jamii forum kuna watu humu wanapenda jokes sana. Watu tupo serious then anatokea mtu anaku pm then mnaendelea na chat mnapeana contact alafu haraka anaenda tumia namba yako ili ajue...
inakuaje unakuta mwanaume anamtongoza mwanaume mwenzake au akiwaona baadhi ya wanaume wengine anataman wasex ila akiona wasichana hapat hamu kabisa au mwanamke anamtongoza mwanamke mwenzake na...
kila siku ukitembelea mitandao utakuta huyu anatafuta mchumba mke au mme hawa watu wakati mwingine vigezo vingi vingine hazina hata msingi wowote kama dini,rangi,ukabila,umri wakati kama mwanamke...
Hivi huu mfumo wa kutoa mahari hivi kwa miaka ya sasa hivi una mantiki kweli???kama watu mmependana kweli ya nini umtoze mwenzio mahari,tuachane na mapokeo kutoka kwa wazazi wetu vp unaona kuna...
Wanajf shikamoooni woteee wakubwa kwa wadogo!!
Jamani mwenzenu hapa ninamawazo mpaka homa imenijia nipo kitandani naugua kwa mawazo.
Shemeji yenu miaka yake inakaribia 30 na Mungu akipenda...
Wakuu mmeamkaje??
Jamani mwenzenu hivi karibuni nilimpata mdada mmoja mzuri sana kiukweli alinipenda sana na mie nilimpenda pia
mwanzoni sikujua ila baadae nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu...
Mimi ni Mmjoa ya wale watu wenye kumiliki Line za Mobile Telecom Operators wote Tanzania ukiacha TTCL na Zantel.
Ni siku ya Alhamis nimerud home, nina tabia ya kuweka simu ama kwenye kabati au...
Wapendwa wana MMU,
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifanikisha na kunivusha katika hatua ya muhimu kwenye maisha yangu mnamo siku ya tarehe 24/11 ambapo nilijipatia mwenza wa maisha...
Waungwana wabarikiwa na wadau.
marahabaaaaaaa wajukuu zangu!
Sijapokea shikamooni zenu asee, nimezimisi mbaya....
Well:
Hii ni kwa wale wanaokubali UKWELI ambao uko DHAHIRI kuwa INFIDELITY...
Hii Nimeikuta kule Yahoo:
Dental Assistant Fired For Being 'Irresistible' Is 'Devastated'
Dental Assistant Fired For Being 'Irresistible' Is 'Devastated' | ABC News Blogs - Yahoo!
Habari za weekend!
I always thought it was a good thing kuwa na mke ambaye mpo in the same professional hadi jana wakati nipo round table na some of my frnds ambao wapo married for sumtym walipo...
Unamkuta Baba na Mama wanabebana na watoto kutoka nyumbani kwao wanasafiri eti wanaeda nyumbani walikozaliwa kula sikukuu. Binafsi siliungi mkono hata kidogo. Mtu ukishakuwa na familia - basi...
Hivi unawezaje kusema ```mungu amlaze marehemu peponi ameen wakati unajua kabisa marehemu alikuwa muuaji, marehemu alikuwa anakula TIGO, marehemu kadhurumu haki za mayatima na mengi mabaya...
Kuna mdada ofisini hapa anasema kuwa
2013 sio mwaka wa kufanya mapenzi tu as umefanya mapenzi ni mwaka wa kupandisha hadhi yako pamoja na title yako katika kimapenzi
Ewe mwanamke fanya mapenzi...
Mwanamke wa kweli ni
mtii na heshima ( bt t depend on the c2ation)
mwaminifu
upendo & so so.
Bt mwanamke wa kweli ni yule anaemdunda mumewe badala ya kimada akimfumania mumewe. ( ni mtazamo 2...
I opened this thread because I have noticed that oft-times when a guy who is interested in a girl comes as a friend, he ends up being just a friend and gets stuck in the "friend zone".
Do you...
jamani nauuliza kuwa na demu ni kujipa majukumu maaana kila demu unayempata mara unasikia npe hela kidogo mm naona kama kero hiv nyie mnafanyaje maaana tutashindwa kufanya mambo mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.