Habari wakuu,
Hii kitu naiona kwa upande wangu sijui kwa nyie wenzangu. Yaani upo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu na mpo karibu lakini kupata penzi ni kwa manati. Hapa naongelea wale ambao...
Wakuu wa idara habari
Katika maisha ya mahusiano huwa najitaidi sana ikifika point ya kuachana na mtu nilienae basi huwa naacha nae kwa amani kabisa, yaani bila matusi bila kashfa yoyote na...
Sisi Watibeli Moja ya miiko yetu ni kutokuwa waharibifu. Hatuharibu vitu vizima. Hatuharibu vitu ambavyo ni vyema. Ukiwa mwema Sisi Watibeli hatuwezi kukutendea ubaya. Hiyo ni Kanuni yetu na ipo...
Ukubali ukatae huu ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli,
1) Ukiwa umetoka kula bata na mume wa mtu,
Wewe utaenda nyumbani kwenu lakini yeye atarudi nyumbani ambapo anaishi na familia yake...
Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume.
Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya...
Habari za weekend wanajamvi!
Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!
Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za...
Ilikuwa ni jana katika Kipindi kizuri kabisa cha kila Jumapili cha Familia ambacho hurushwa na Kituo cha Super Brand nchini Radio One kuanzia Saa 1 na nusu hadi Saa 4 kamili asubuhi pale ambapo '...
Salaam,
Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka nimeona leo niwashikishe mke huyu anavuta ugoro, pariki, mlevi wa pombe na kikojozi choo kipo ndani yeye...
UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake...
Nakumbuka miaka ya 2010 nikiwa nimetoka chuo, bado nanuka optimism ya maisha. Nilikuwa na uhakika kwamba mshahara wangu wa kwanza ungekuwa milioni moja, na mawazo mengine ya mchana kama hayo...
Hii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo...
Habari zenu wapendwa,
Hapa nilipo niko nje ya bongo kisafari, na safari hiyo niko huku tangu mei mosi, sasa bwana ile nimefika tu hotelini si mnajua mambo yetu yale, nikanasa tundu bovu.
Sasa...
Eti vp kwa upande wako ulishawahi kufukuzia mtu ambaye unamtaka kimapenzi na anaishi mbali na wewe hadi ukaamua kumfungia safari hukohuko?
hebu niambie ulienda umbali gani kufukuzia mpenzi
Mimi...
Habari ya mapumziko ya EID na long weeked.
Hii kwangu ilikuwa kali kwangu but km ipo means wapo pia.
Nilienda msalimu rafiki yangu ambaye ni ndugu yangu pia, i told her the day before kuwa...
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla...
Wakati hali ya amani na utulivu ikiwa imerejea katikati ya Jiji la Mbeya baada ya kutokea vurugu juzi mchana, jeshi la polisi limesema linawashikilia watu 18 akiwamo Katibu wa Wafanyabiashara wa...
Habari za weekend wakubwa!
Naandika hii thread nikiwa nimetoka kusikiliza story kwa bint mmoja rafiki yangu, ambae mara nyingi hunishirikisha baadhi ya mambo yake ambayo yanastahili mimi...
Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma.
Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi...
Unakutana na mkaka mzuri umempenda kwasababu ni msafi, shati limepigwa pasi au t-shirt aliyovaa imeendana na rangi ya suruali. Mnaanza kuongea, unamwambia mfano kwa wale wa chuo, niko chuo mwaka...