Jamani Hii siku ya Ukimwi duniani umejipangaje mwenzangu.Na takwimu zinaonesha hakuna familia/koo hapa nchini Tanzania ambayo haijaguswa na tatizo hilo.
Chukua hatua hizi kuahikisha unajipa furaha...
Wazima wana jamviiiiiiii?????!!!!!!????
Kuna rafiki yangu ana mtoto wa nje ya ndoa, huyu mtoto amezalia baada ya yenye kuwa ameshaoa,yule mwanamke aliye mzalia huyu mtoto wake anataka kumpa...
Anazo sifa ambazo kamzidi mke wako kwa mbali. Ukianzia Upeo wake wa kimaisha wa kawaida, ustarabu wake na hasa ana vitu ambavyo ulikuwa una wish mke wako awe navyo vipo kwake. Na mda mwingine...
jamani naombeni ushauri nina dada ambaye nilikuwa na uhusiano naye , mbaya zaidi ameanza kujitambulisha kwa wazazi wangu kuwa mimi nimeshamuoa na ananifuata hadi ofisini akisema amewambia wazazi...
Ni mtoto mweusi wa kiafrika mwenye umbo zuri lenye uwezo wa kugonganisha magari..urefu 6'2'' hivi, mwembamba kiasi, yani ni mzuri zaidi ya neno beautiful lenyewe,..
Nilikutana naye mara ya kwanza...
Serikali mkoani RUVUMA imesema kuwa mtu yeyote atakayetoa taarifa juu ya watu wanaowarubuni wanafunzi wa kike maarufu kama 'MAFATAKI' Atapewa zawadi ya shilingi elfu ishirini keshi, iwapo...
Heshima kwenu wanajamiiforum. Awali ya yote naomba nianze kwa kudeclare kuwa ni mara yangu ya kwanza kuweka bandiko humu. nimekua nikifuatilia mijadala kwa muda mrefu kama Guest na sio mwanachama...
Baadhi yetu tumelelewa na kukutana na mazingira yaliyotufundisha hivyo kwa hiyo ndivyo tunavyoamini. Tunaamini kwamba tunapooa au kuolewa tunafanya hivyo ili kushiriki tendo la ndoa kama dhana...
CAN TWO PEOPLE BECOME FRIENDS AFTER HAVING SEX MORE THAN OUNCE?
JE WATU WAWILI WANAWEZA KUWA WAPENZI TENA BAADA YA KUFANTA MAPENZI ZAIDI YA MARA MOJA? Let me hear you :A S-rose::A S-rose::A...
halo wanajf mimi huwa najiuliza sipati majibu,kwa nini siku hizi wanaume wengi sana wanajiuza kwa wanaume wenzao?nini kinachangia ushoga huu kukua kwa kasi?pia hata wanawake wengi wanataka kuliwa...
Nimetafakari sana wakati nataka kulileta jambo hili kwanu.Lakini nimeamua kulileta hapa kama lina ukweli basi wale watakaoona linafaa waamue..Pia linaweza kuonekana udhalilishaji au kituko kwa...
Matatizo ya ndugu au wazazi kuingilia ndoa ni suala lingine linalotajwa sana katika kuvunjika kwa ndoa nyingi. Bila shaka wengi wetu tunajua kwamba mila na desturi zetu (ni potofu, katika hili)...
Wivu ni kipimo cha mapenzi. Na mapenzi ni uwekezaji. Hivyo kuna uhusiano wa karibu sana kati ya wivu na uwekezaji. Usipowekeza hisia zako kwa mtu huwezi kuwa na wivu na wale huwezi kumpenda...
mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje
Ndugu zangu wana JF katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya mwanchi kapigilia vibwalo vya jeans inayozingatia sera za Uwazi na Ukweli, tafadhali nawe shuhudia!!!
kwa siku za karibun hili jambo naona linakua kwa kasi sana.
Wadada wengi wanapenda kuwa au kujiita wasagaji. Mara nyingi imekuwa kitu cha kawaida ktk mitandao yao ya kijamii au mitaani ktk...
Wakubwa zangu shikamooni!
Wera weraaaaaaaaaaa!!!!!! Mpoooooooooooo!!!! Fupa lililomshinda chiwawa kwa Fisi ni kama Big G tu!!!!!!!!! Lile Zee letu la Ukweee, zee la uhakika! Papaaaa mutambuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.