Most people prefer sms kama mawasiliano na wapenzi wao zaidi ya kupiga simu... na kwa mtazamo wangu matatizo mengi sana kwenye mahusiano yanaanziaga hapo..
Mfano utakuta mtu uko busy umefungwa...
Wanafunzi wa shule ya msingi ya viziwi ya Kigwe wamejikuta wakipeana ujauzito baada ya kunogeshana mahaba na mashamsham, wanafunzi hao ambao wanasoma shule hiyo iliyopo wilaya ya Bahi mkoani...
Jamani , nafasi bado iko wazi, naendelea kutafuta bibie wa kunienzi na kunibembeleza.
Kama ulishindwa kunikubali kipindi kilichopita usione aibu, we ni Pm tu.
Nipo kwa ajili yako
Ilikuwa ni siku ya Jumapili ya April 28, 1996, Bryant aliamshwa na mlio wa alam ya saa yake ambayo aliitega ili imuamshe majira ya saa 12:00 asubuhi. Mpenzi wake na ndugu zake walishangazwa na huo...
Jamani, mmoja wa mabinti / shangazi zangu kaja kumtambulisha mchumba wake kwangu uli nitoe baraka (unajua Shangazi ni mtu muhimu sana ktk suala la kuhalalisha uchumba) ili baadaye ukoo ujulishwe...
Ndoa inapokuwa haina matunda (mtoto) wanandoa huwa wana haha na kukimbilia nyumba za ibada kufanya maombi ili atoe baraka. Nimeleta uzi huu kuwaasa wakina mama kuwa makini kwenye nyumba za ibada...
Ukiwa na mtu akakuambia habari za mtu aliyekuwa naye kabla au aliyefikiria kuwa naye ila ukawa husikii wivu hasa huyo mtu mwingine anapokuwa karibu au unapomuona jua humpendi mwenzio. Na ukiwa na...
jamani huyu dada ni rafiki ya mke wangu. yeye anahuzuni mpaka leo baada ya kupokonywa mume na miss tanzania, na tayari wana mtoto nae. sahivi mama anataabu maana inabidi ashee mapenzi na miss...
nipo katika hatua za mwisho kabisa za kumuweka ndani bint huyu mwenye haiba ya kihabesh!sala na maombi yenu wanajf zitatuwezesha kufikia lengo hili.
PakaJimmy Filipo LiverpoolFC Preta lilyFlower...
Ok lakini mbona mambo mengi tunayopitia masomoni nahisi kama tunapotaka kuyatumia kwenye maisha halisi ya mahusiano inashindikana. Mfano wanawke wagumu sana ku adopt mambo ambayo yamekaa kishule...
Hayo Ndio yaliyo Kuwa manenoya Jirani yetu,baada ya kutoka kazini siku chache zilizopita.Mara nyingi anatusimuliaga ofisini kwao Kuwa human resources manager ni mkorofi sana,ni mwanamke hy...
Habari wana jamvi!
Wadau mbalimbali wamekuwa wakija kuomba ushauri namna ya kuwafurahisha wapenzi wao (kuwafikisha kileleni) hasa wanawake kwa kuwa wamekuwa wakimaliza mapema mno.
Tatizo langu...
hasa zaidi ukisikiliza nyimbo utasikia. wanga watasema watachoka sisi tunasonga mbele, mara waache waseme, mara utasikia watakoma na roho zao, taarabu ndo usiseme! pia kwenye nyumba za kupanga/na...
ni kwanini mvula akikutongaza ukimkataa anakununia ,na nikwanini asikubaliane na hali halisi aliyo ambiwa :A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
....... Siupendi kabisa usemi usemao ndoa ndoano... sipendi.... lakini mpwa wangu ana chini ya miezi 4 ndani ya ndoa yaani ni ndoa changa......... lakini jamaa kesha mtoa jino na ngeu na...
WARNING WORTH HEADING.
Please take note of the following tips for December you have been warned so please dont repeat last years mess
DECEMBER 15 -...
Mahusiano ni kama 'shared business investiment' kati ya watu wawili. Hiyo inafanya iwezekane kwamba wote wakachangia sawa kwa sawa katika kufanikisha mahusiano hayo pia kugawana 'faida' equally au...
1. Utakuwa unampatia vidonge vya uzazi ili kumsaidia asije kupata mimba au utatumia maneno na kushauriana tu?
2.Utahakikisha anajua namna ya kutumia kinga nyingine za magonjwa ya STD na za kuzuia...
Wakubwa zangu Shikamooni!!!!!!!!!
Peopleeeeeeeeeeeess!!!!!!!!! I realy miss you!!!!!!!!
Ile tabia yetu sugu ya kufuga Mizombii/Mibwenyenye tulioigeuza kwaida na kujicomvice its Acceptable, well...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.