Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndoa ina raha na karaha, na makosasa madogo2 hucyoyategemea yanaweza yakaiweka ndoa ktk wakat mgumu au kuivnja kabsa. Nije kwenye point ilonileta jamvin... Bishost kamuhama mumewe chumban kwa...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Habari zenu wana jf. Mchumba wangu nimemfumania na mwanamke mwengine na kwa hasira nikagombana na huyo mchmba wangu, pia niakenda kumwambia huyo mwanamke amwache mchumba wangu. Lakini mwanaume...
10 Reactions
70 Replies
6K Views
Ingawa tukio hili lilimtokea rafiki yangu katika mghahawa mmoja maarufu ulioko katikati ya jiji hili la Dar es salaam, lakini mpaka leo nimejikuta sitamani kukanyaga katika mghahawa huo...
15 Reactions
107 Replies
15K Views
Hii nimeona niilete hapa jamvini tuijadili manake nimegundua kuwa kama una kidate na dame decent, mkikaa sehemu- mkala na kunywa then mkaingia chimbo kumalizia na mchezo, gharama yake ni at least...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
SAMAHANI WANAJF NINGEPENDA KUELIMISHWA KIDOGO JUU YA KIWANGO CHA MAHARI INACHOPASWA MTU KULIPISHWA KWA MAISHA YA SASA. Maana kuna mambo mengi ambayo yanachanganya sana. Ukijipeleka unataka kuoa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
wana jf napenda kuwatakia ucku ulio mwema kwenu na njozi njema lv u all.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Binafsi 2012 imekua njema kwangu,ingawa kuna matamu na machungu lakini matamu yanaondoa uchungu wote. Katika jamii yetu kuna wale walioshindwa kutabasamu au kufurahia maisha kwa namna moja au...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama jibu ndio kwanini ulilazimika kuwachapa badala ya kuwa adhabu mbadala na kama huwachapi unawapatia nidhamu vipi?
0 Reactions
60 Replies
5K Views
jaman nina mwanaume wangu nampenda sn lkn yeye haonyeshi km anakupenda hlf ana wivu vby sn yan acone ht nimepigiwa cm na m2 yoyote huo ugomvi wk ni balaa sasa jaman kwel ananipenda huyo?maana me...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kweli ndoa ndoano, mtoto wangu wa mwisho wa kiume anamiaka 5 sasa kati ya watoto 3 nilio nao. Ila tatizo huyu mtoto mashallah kajaliwa hasa, akimka asubuhi kitu kikisimama mpaka mama yake huwa...
5 Reactions
96 Replies
9K Views
Habari wanajamvi, naomba nikiri na kujutia dhambi niliyofanya mimi na mwenzangu (aliyekuwa girlfriend wangu). Miaka kadhaa nyuma nilikuwa na girlfriend nilimpenda naye alinipenda japo nilikuwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukisikia kauli hii toka kwa sweetie ujiandae kabisaa kufungua waleti......whatever atakacho kwambia
0 Reactions
17 Replies
2K Views
hivi kama unamhisi au unajua kua mchumba wako anamatumizi mabaya ya simu yake,je kumbadilishia namba ni njia nzuri au?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani nina kaka angu ameishi na mwanamke mpaka wanawatoto wawili hajafunga ndoa, mwezi uliopita kaka akasema anataka kufunga ndoa na mkewe tukaenda kwao na wifi kutoa mahari. Juzi wifi kapata...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Hapa alaumiwe nani?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamani hivi inakuaje mtu unakuwa na girlfriend wako afu inafika time anakwambia ye mambo mengi afu sometime anakuwa na jeuri, kiburi, then anapenda sana kukaa na wanaume wengine na si wewe...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
wadau,kuna mshikaji mmoja alikuwa na mpenzi wake ambao kwao walikuwa masikini sana...mkaka yule alikuwa anampenda kweli mpenzi wake yule, tena kwa dhati...akachukua jukumu la kumsomesha yule...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
.............
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Free DNA test to curb paternity wrangling Monday, 26 November 2012 23:45 The Citizen Correspondents Dar es Salaam. Partners faced with a paternity dispute will be able to settle...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakuu samahani, mi ndiyo post yangu ya kwanza ila naombeni mnikaribishe kwenye jukwaa. mimi nina umri wa miaka 31, natafuta mchumba kuanzia :A S-baby::A S cry:miaka miaka 20 hadi 25. awe na Elimu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom