Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Tukio hilo limetokea katika mji wa Songea muda mfupi uliopita ambapo Mwanamke mmoja amejifungua mtoto akiwa makaburini na kufanikiwa kujifungua salama lakini baada ya kujifungua mtoto huyo akiwa...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Napenda tuanze na swali hili ili tuweze kujenga msingi wa kile tunacho taka kukiongelea hapa.Mara nyingi mahusiano na mapenzi yanakua mazuri sana mwanzoni,… Lakini baada ya mda flani,mahausiano...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, Nimekua mara nyingi najiuliza bila kupata majibu , na leo nimeona nirudi jamvini pengine nipate mawazo tofauti kutoka kwa wadau. Hivi ni kwanini wanaume kwa asilimia kubwa...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Hili hasa kwenu kina dada! Tayari unae unaempenda ambaye umemchaguwa mwenyewe kwa vigezo vyote. Taratibu unahilibika na mwengine! Huanzaje???
0 Reactions
16 Replies
2K Views
salamu zetu.... Huwa nasikia kuwa ukinawia limao ukeni, uke unakuwa tight je ni kweli? kama sio kweli ni nini kinaweza kuufanya uke kuwa tight? mie tayari nina watoto nahisi maumbile yangu sio...
4 Reactions
50 Replies
34K Views
Usimmwogope mumeo, Chezea mwili wake,mtreat Kama mwanaume pekee duniani hakuna anaefanana nae,mmwulize wapi hujamfikisha .kuwa Malaya wake,porno wake .Hatokaa atoke nje wanaume wako visual...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!! Peopleeeeeess Niajeeeeeeeeee!!!!! Leo bana kuna Zombi langu la longiiiiiiii, limeniita mahali nikalishauri huko kuhusu ndoa yake! Zombi hili sugu kama nini...
5 Reactions
150 Replies
10K Views
Ni jirani yangu na wakati nahamia katika nyumba ninayoishi nilimkuta akiwa na mwanamke ambaye nilijua ni mkewe Baadae yule mwanamke akamwambia mke wangu kuwa yule mwanaume anaye mkewe ambaye...
7 Reactions
99 Replies
7K Views
=HUYU NDO MWANAMKE= ~Ana kazi na anapokea mshahara mkubwa kuliko boy/mume wake bt anaomba salio,na hela ya saluni HUYU NDO MWANAMKE ~Anajua mimba/mtoto co wako lakin anakuacha ulee HUYU NDO...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng’ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao. Akanenepa!! Penzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under...
88 Reactions
263 Replies
63K Views
Question used in some psychological tests You are driving a coupe car on a stormy night! On your way, you saw three people waiting for the bus 1 an old man is about to die 2 an old friend...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Miongoni mwa vitu hatari pia kwenye mahusiano ni pamoja na hili la usiri wa kupitiliza. Kama una vitu moyoni na upo kwenye mapenzi/mahusiano bora kabisa si vizuri kuvificha na hasa vile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini za Juma pili wana JF. Leo napenda kuwasilisha juu ya hili la wadada wanapokua na long time relationship. Mara nyingi huwa wanashauriana eti ukitaka flani akuoe we mzalie mtoto. Utakuta...
0 Reactions
316 Replies
19K Views
Ni kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta wa kuishi nae, ila kila ninaye kutana nae na kuongea nae, mimi kwa upande wangu naona kama wanakuwa wanaigiza, sasa sijui nitamtambuaje anaye kuwa wangu wa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
hopin mko powa dada zangu wote wa jamii forums, today this letter is for you all, nice weekends ________________________________________ Dear Tanzanian Girls and Ladies, Please, sit...
5 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwa binafsi natamani sana kufahamu baadhi ya JF members hasa wa MMU kwenye uhalisia wao wa maisha yaani wakiwa mitaani au maofisini au majumbani. Kwa mantiki hiyo basi saa ingine waweza kutana na...
5 Reactions
70 Replies
5K Views
Kwanza natanguliza shukran zangu kwenu.Nina iman kubwa kwamba nitapata ushauri wa kunijenga kutoka kwenu. Mimi ni kijana niliye hitimu masomo yangu mwaka huu kwa ngazi ya shahada.Katika...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hebu pitia hapa ujionee. Wanawake wanaokwenda na wanaume zao kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa vinasaba vya binadamu(DNA) ili kujua uhalali wa watoto,hukimbia vipimo hivyo ktk hatua ya...
1 Reactions
68 Replies
6K Views
MITANDAO YA KIJAMII Utafiti usio rasmi unaonesha kwamba, pamoja na kwamba mitandao ya kijamii imesaidia kwa kiasi kikubwa sana kurahisisha upatikanaji wa taarifa, kuendesha mijadala na kukuza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom