Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
1. Start at her head kissing and licking , sucking {ears, neck, mouth, cheeks, lips} touching her softly at this time is very important. 2. Move very slowly to her shoulders and chest. Kissing...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanawake wenzangu hata km mtanishambulia kwa hili ila lazima tuambizane ukweli HIVI HIYO HAKI SAWA TUNAYOPIGA NAYO KELELE KUNA SIKU ITAPATIKANA?kuna mambo tunajichosha nayo mwanaume ni mwanaume tu...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
You know who your friends are when you're going through a relationship crisis. Maybe your husband is coming up to 40 and has started acting strangely; perhaps you've caught him texting another...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakubwa zangu pokeeni yangu shikamoo Nanyi wenzangu vipi yenu mamboo Wadau wenzangu hili nalo jamboo Mkunwa na Mkunaji nani anasikia raha zaidii? Nimelileta kwenu hili suala nipate zenu...
4 Reactions
39 Replies
10K Views
Wandugu mimi nimeishi Nchi nyingi za kusini mwa Africa,nimegundua Wanawake wanaotokea nchi yetu ya Tanzania ukikutana nao huku ni matatizo matupu mimi nilikuja huku nikiwa bado kijana sasa hivi...
8 Reactions
63 Replies
15K Views
Heshima yenu mmu.Mimi hadi sasa sijajua nini au ni siri gani iliyopo. Unakuta mtu mmesonga ugali hadi umeiva na kwa kua kazi ya kusonga ugali ni ngumu huna budi kupumzika kila baada ya kusonga...
5 Reactions
106 Replies
17K Views
Nipo chuo fulani hapa Dsm,kuna msichana nasoma nae nimezoeana nae sana because most of time we spend together,yeye kashaolewa na ana mtoto mmoja,kanizoea kiasi cha kuniita mimi husband...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu zangu nimepata sms ya muumini wangu imenishtua sana na mimi nimeileta kwenu mnisaidie kutoa ushauri... sms yenyewe ilo hivi.. Habari Mchungaji,Naomba unisaidie,nina Mume wangu ambaye tuko...
0 Reactions
44 Replies
12K Views
WanaJF nawasalimia wote! "Siku hazifanani" ni msemo wa kiswahili uliozoeleka sana na ni waukweli. Kwa sababu hiyo, wiki, miezi, miaka, milongo na karne nazo haifanani pia kwa sababu zinaundwa na...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
habari zenu wana MMU?my boyfriend who was going to be my husband jus broke up with me,sababu nimemwambia a postpone dowry/brideprice because hatupo in good terms yani,kila mara ananiambia its...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau hebu nisaidieni nampenda sna mume wangu na tangu tumetengana kwa muda wa mwaka na nusu sasa sijathubutu kuwa na uhusiano wowote na mwanaume mwingine tatizo mume wangu ni bondia namaanisha...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna wakati wanakuwa hawaelewani na kuna wakati wanaelewana ,sasa mimi naumia sana hiki kipindi wasichoelewana,nifanye nini?kama kuna mke asiyeelewana na mama mkwe wake umefanya nini kuiondoa hali...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Kuna topic nilileta hapa kwamba kuna dada, boyfriend wake alichukua kadi yake ya gari na kwenda kuchukulia mkopo wa riba huko mitaani. na alipogundua wanataka kuchukua gari aligombana sana na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Yani kuna wadada wazuri jamani, yani wameumbika utadhani wamechorwa, yaani ukiwaona unafikiria mara mia mia yaani ukimpata sijui utamfanyafanyaje!!, nitamnyonganyonga, nitambinyabinya...., yaani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumain wote wazima... jaman ndugu zako naombeni ushauri wa bure hapa mtaani kwetu kuna mwanamke anasumbua sana, huyu mama ni mke wa babu wa mtaani kwetu hapa umri miaka kama 55 hivi.. Ana nyege...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
.....nani zaidi?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu mnakumbuka week iliyopita nilileta mada hapa jamvini inahusu kupendana na mwanamke msomi,wote mliochangia nilisoma na kuelewa comment zena na nashukuru sana kwa sababu kuna mambo mengi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Naamini kuwa huu ukumbi kuna watalamu wa kila aina na katika nyanja mbalimbali. Mimi nina wife wangu na tuna katoto kamoja mpaka sasa kenye mwaka mmoja. Sisi lile suala la kucha kurushana roho ati...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Hii barua nimeidaka mahali, imenigusa, nikaona nishiriki nanyi. Hello Stephanie,First I want to say how much I love your blog. You are doing something really different here. Well done! I’ll like...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
"Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mweyewe" huu ujumbe nimekutana nao mara nyingi ila kwa siku hizi unanichanganya. Ni upumbavu upi hasa unaotajwa hapa?na je kuna wanaume...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Back
Top Bottom