Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
........
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadada fungukeni...Mume wako katoka Asubuh kwenda kazini umempulizia Manukato A,Jioni Akirudi ananukia Harufu Nzuri ya Manukato B....tusaidiane itakuwa ya Nyumba ndogo au ni Vijimambo tu. Kwenu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie nina msichana ni rafiki yangu sana, haipiti siku hatuja wasiliana. Lakini hatuja wahi zungumzia ndoa wala any deep relationship. Lakini kinacho nishangaza kuna wakati nikimwuliza...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
mashosti zangu habari za asubuhi. kutokana na ukweli kuwa wengi wetu huwa hawafiki kileleni wafanyapo mapenzi wewe huwa unatumia mbinu gani kuhakikisha kuwa umepata hiyo raha ya pekee? mind...
3 Reactions
208 Replies
18K Views
Siku zote imekuwa ni kawaida yetu sisi wana jamvi kupeana ushauri na kutiana moyo katika mambo mbalimbali yanajitokeza katika maisha yetu ya kila siku. Nafahamu kuwa humu tupo watu wenye itikadi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
UKIONA MPNZ WAKO ANAKUJIBU HIVI UJUE HATAKI MUWASILIANE NA YEYE HAPO MANAKE CHUKUA TIME UNAPOTEZA MUDA WAKO SMS:sweet nimekukumbuka sana leo natamani tungekua sote mida hi upo wap mpnz...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Nawatakia wadau wa MMU Eid njema,afya nzuri na furaha tele,kwa kipindi cha zaidi ya miaka 2 wa kuwa member hapa JF nimetokea kulipenda jukwaa hili na kufahamiana na wengi(thru keyboard),kuna...
12 Reactions
68 Replies
8K Views
Wana JF, Hapa ofcni kuna mama amekuja kwa muda kutokea Cameroon Nimemkuta akiwa katika hali kuwaza nikmuuliza a) Mbona mama unaonekana unawaza au unahuzuni sana? b) Umepa-miss nyumbani nini...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam, tumesuruhishaaaaaaaaaa wee , la kuvunda halina ubani. mwanamke mwisho wa yote ili kuhalalisha utashi wake wa kuachika anadai MUME HUYU HAJUI KUNANIHIIIIIIIIII , hapo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!!1 Niajeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kuna tabia za kimagharibi za watu wazima, Over 18 hadi 80 hukooo kuwa na kawaida ya kuzama online na kucheki VITUS ama...
6 Reactions
66 Replies
52K Views
Mie ni kijana wa kiume Mwenye umr wa Miaka 23 nna mpenz ambao ana miaka 22. Huyu mpnz Wng Yupo masomon Arusha na mm nko Morogoro
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Hebu tuyataje. 1. Uzinzi
1 Reactions
62 Replies
9K Views
Nina kidemu changu cha uswahilini. Jana kikaja gheto baada ya kuwa kinanikwepa kwa muda mrefu. Baada ya stori za hapa na pale tukajikuta tu hatuna nguo, nikavuta droo na kutoa pakiti ya kondom...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
habari wana jamvi nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba...
0 Reactions
101 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF. Mara nyingi nimekuwa naona akina dada siku ya harusi wakiwa ukumbini kuna kipindi wapambe wao wanapata shida sana kuwafuta machozi wakiwa wanalia, tena hata huko kwenye...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. Wengi wetu natumaini tulikuwa tuna habari juu ya msiba mzito uliompata Smile wa kufiwa na mama yake. Kupitia thread ile alijulisha mazishi yalikuwa leo (Jumatano). Baada ya...
16 Reactions
101 Replies
6K Views
Habari za leo wana jf wenzangu. Kwa mtazamo wangu sikuhiz kumekua na matatizo mengi katika ndoa ambayo hupelekea ndoa nyingi kuvunjika au hata uchumba mwingi kuishia hewani hewani.je tatizo ni...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Guys, I came across this while reading 48 Laws of Power by Robert Green and I thot it would be nice to share this with you as I found it so close to reality. Nakaribisha pia michango kutoka kwa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Mlioko kwenye ndoa hii sala inawafaa. Sala ya kuombea chupi ya mume baada ya kuifua "Naiombea chupi ya mume wangu, naitakasa kwa damu yako Yesu, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na...
2 Reactions
26 Replies
14K Views
Back
Top Bottom