Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
Sasa kumegunduliwa dawa aina ya homoni inayoweza kuwazuia wanaume kwenda nje, au kuwa na uhusiano wa pembeni,
Dawa hii iliyovumbuliwa Ujerumani inaitwa FIDELITY HORMON. Dawa ya uaminifu! Au...
Hali zenu wadau wa MMU
Kwanza niwaombe radhi kwa yale ninayotaka kuuliza ili kupatiwa ufafanuzi....
Kwa utafiti mdogo niliofanya, nimegundua asilimia 99 ya ndoa za siku hizi hufungwa baada ya...
Kwani wanaume hamtakiwi kupenda sana?wanaume kaka zangu muwapende wake zenu,mpikie mkeo,mvalishe,mlipie plastic surgery Kama anataka.mkeo afanye kazi akitaka yeye na pesa yake iwe ya...
Wana JF please nisaidieni katika hili! Chondechonde msinicheke au kunikejeli, I am dead serious. Nina tatizo! Kiukweli sijui mpaka leo kupenda maana yake ni nini! What is Love? Mtu unapaswa...
Kuanzia muda wowote leo, yatafanyika mazishi ya mama wa member mwenzetu (mama SMILE) ambapo atalazwa katika nyumba yake ya milele, naomba kuwambusha wana jf wenzangu kupitia uzi huu tumuombee...
Watu wanaoana kila siku kama siyo kila saa, duniani kote. Kuoana kunachukuliwa kama suala la kimaumbile, yaani ambalo lisipofanywa, maisha nayo yatasimama. Ukweli ni kwamba maumbile hayajui...
Nimeamua kuanzisha uhusiano wa kimataifa na kasamsingi kamoja. Tabu kanalalamika sijui kuvaa na mimi nimejitahidi kuvunja kabati lakini wapi. Hivi ndivyo inavyokuwa au?...:pound::angry::A S 20:
Miaka 2-3 iliyopita kulikuwa na mdada mzuri sana katika pitapita yangu nikawa nimejikwaa kwake baada ya kumwambia kilichoni nisababisha nijikwae akasema pole lakini hapa hata panadol sina ni bora...
If you love two people at the same ,you should choose to love the second because if you really loved the first one, you wouldn't have fallen for the second.-Johhny Depp. What is your view?????
WAPENDWA TUMEKUWA TUKIONGELEA SANA SWALA LA JINSI YA KUTUNZA ndoa ,,unyumba nk
ni vyema tuwe wazi ndoa za sasa nyingi zinaumia na tatizo la ukosefu wa watoto
ni wakati muafaka sasa kama...
Habari za saa hizi,,
hii tabia ya kwamba wenzetu wamejipumzisha na mbavu zao za maisha kimahaba then wengine tena wenye mbavu za kwao wanakuja kuchungulia chungulia madirishani "kupiga chabo" kwa...
Samahani sana wanajf wkwa maneno haya kwani imenibidi niseme hapa nashangazwa na hawa kaka zetu wanapokuwa na jambo la kutaka kusema wao wanabaki wanaumia rohoni wanashindwa kusema wanabaki...
Lazima tukubali ukweli kuwa watajwa hapo juu ni mwanzo mwisho!
Ni kama vile kila msimu wanafanya usajili wa nguvu sambamba na
kujifua kwa jasho, damu na machozi ili asiwepo wa kupoteza mechi...
Inakuaje umeanza mahusiano na mnawiki moja mwenzi wako anakwambia anataka mzigo je hapa kunamapenzi ya kweli au kufanya mapenzi ndo kigezo cha upendo wa dhati naombeni kujua wadau
Happy blu mandei wana jf
Jamani naomba niwaulize from experience niliyoishuhudia toka kwa ndugu na marafiki wanaunizunguka esp gals,
nilikua na marafiki zangu wawili wadada kwa vipindi tofauti...
Wana jamvi, tangu niingie humu jamvini nimejikuta as days went on huyu dada anahit sana in my mind mpaka nasujudu kuweka bayana jamvini ili yeye mwenyewe ajue kuwa kwa jinsi tu alivyo amekua...
Wapendwa wana familia wa JF,
Napenda kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru Mwenye enzi yote kwa maisha yangu yote nilipokuwa kwenye kambi ya mabachela kwa miongo mitatu iliyopita
Hatimaye sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.