Dada ni mzuri sana wa sura na shape sio mbaya sana. Ana tambia nzuri. Kwa kweli nikimtazama najua atanizalia watoto wazuri sana. Amesoma na ni graduate. Kabahatika kupata kazi nzuri na kwa ujumla...
alinidharau, hakunijali alinitesa sana akawa hataki hata nishike hata sim yake anaiwekea lock nikachoka munga kanisaidia nimempata ninaempenda kagundua hilo ananiandikia msg za matusi eti bado...
MKASA huu wa kusikitisha umetokea huko nchini NIGERIA ambapo bwana mmoja aliyetambulika kwa jinamoja tu la Gwara pale alipomfanyia umafia rafiki yake wa karibu bwana Brian Munemokwa kosa la...
Eti wana JF ktk mapenzi wenzi hawawezi kuambiana ukweli hadi kudanganyana ndio mtu apate anachotaka.
Maana asilimia kubwa ya wasema kweli wamekuwa wakikosa boti la mapenzi.
Jamani bila cheating...
wanandoa, ebu tuelezane ukweli hapa, hivi ni kwa lipi hasa linatufanya baadhi yetu tuwe tunatoka nje ya ndoa zetu ilhali tuna wenza wetu tunaowapenda kwa dhati? hivi ina maana pale mnapofunga ndoa...
KIZITO Mahamba (50) (pichani), mkazi wa Mwananyamala Mtaa wa Msili B jijini Dar es Salaam, amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala wodi namba 5A baada ya kufanyiwa ukatili wa kutisha na mkewe...
mara nyingi watu huwa wanajiuliza ni kwanini wasichana wengi ni rahisi kuingia kwenye mahusiano bila hata ya wao binafsi kupenda kuingia katika mahusiano hayo.
kwa uchunguzi wangu binafsi...
Kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae siku za nyuma, na nilkuwa namsaidia (financial support) anapokuwa kakwama mahali maisha yanaendelea.
Kutokana na mambo ya hapa na pale hatukuweza kuoana so...
Jana wakati nipo kwenye daladala nilisikia kisa cha kuhuzunisha na kusikitisha sana kupitia clouds fm kipindi cha Leo tena segment ya hekaheka, kaka mmoja kutoka Mbeya alikuwa anasimulia jinsi...
Kama unamkuta ndugu yako awe wa kiume au wa kike anafanya Ngono na Mpenzio unatakiwa ufanyeje. Uachane na Mpenzi wako, Ushughulike na ndugu yako, uwaache waendelee na mahusiano yao, uwaambie...
Mume na mke kuishi mbalimbali siku hizi sio jambo geni, hasa kwa sababu za kazi, masomo n.k. Kuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani vilevile ni jambo muhimu, hasa pale mtu anapokuwa bize sana. Mara...
Salamu wakubwa JF
Mm ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu nampenda lakini simuelewi kabisa, tunapokutana we do kiss a lot(French +English ) and do all stuffs but ninapotaka kuchomeka dushelele...
habari za leo ndugu zangu!
jamani, jana nilikuwa na marafiki zangu sasa katika maongezi tukajikuta tunaongelea ishu ya wivu wa kimapenzi kati ya wanaume na sisi wanawake, ni nani huwa wana wivu...
Hello,
Does your car bears registration number which starts with B and ends with L?.If the answer is yes,test it,you have a good asset on how ladies should be treated.
Test.
BKL-Be Kind to...
Nimeipata hii kwenye email fowards nikaona si mbaya nikishare na wapendwa wa JF. Pia natambua kuna topic ilishaletwa hapa na watu wakashare experiences zao ambazo nyingi hazikuwa nzuri.
read this...
una mtu wako wa karibu ama ndugu
anatafutwa kwa makosa kadhaa
na wewe unataarifa zake
najua kitu sahihi ni unatakiwa upeleke taarifa kwenye mamlaka husika.
Lakini, mbona inakuwa ngumu sana...
Je? Unafahamu kuwa Wanawake wanauwezo mkubwa zaidi wa kunusa.
Wenyewe hawajui lakini, mwamke anaweza kunusa hasira, ikiwa mumewe ana hasira hata akikaa kimya , mkewe...
Happy Eid wote., ingawa najua kwangu Eid probably sijui itakuwaje.
:focus: Nimepigiwa simu na rafiki yangu like 30 minutes ago kaniambia ana matatizo na amenicall mimi kwa kuwa ni mtu wake wa...
jamani ebu sasa tuambiane ukweli hapa jf...hivi kama wewe ni mwanamke au ni mwanaume, ni mwanajf yupi labda kutokana na topics zake au jinsi anavyochangia mada kwa hekima na busara zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.