Wanajamvi salamu kwenu!!
naombeni mnijuze kwa mtu anayejua sheria ya kazi / sheria za uzazi kuna mtu kanieleza jambo ambalo limenitatiza kuhusu likizo ya uzazi kwa wanawake!
Ni kweli kuwa eti...
wakuu mwenzenu nina tatizo, kila kona nikipita naona mabango dawa ya kuongeza ukubwa wa uume, lakini sijabahatika kukutana na wenye uwezo wa kupunguza ukubwa wa uume, maana hilo hasa ndo tatizo...
Inawatangazia dawa mpya iitwayo "MNASO" imetoa mafanikio makubwa kwa kuwanasa wagoni wake Temeke.
Kwa wale wote wenye matatizo ya kusalitiwa na wenza wao wanaweza wasiliana nasi, email...
Habari zenu wana jamvini,
Nimekaa kwa muda mrefu nikitafakari mwanamke gani niweze kumuoa ila leo nimeona ndo siku nzuri yakuweza kutaja ni mwanamke menye sifa gani ambaye ninamwihitaji.
Sifa ni...
Wanajf nisaidieni hapa, kuna dada mmoja alikua rafiki yangu, na nilimwahidi ntamwoa, urafiki ulidumu ndani ya miaka 4, wakati nikiwa chuoni nlitengana nae kutokana nlienda kusoma Dar yeye...
Mimi ni msichana nina miaka 27, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya kweli,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini,rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari tuanzisha familia,awe tayari tupime...
TORY FUPI YENYE MAFUNZO KWENU WADADA
Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ngombe, niliiba maziwa kila siku na...
Kwenye mahusiano nimepita pengi kiasi. Na hapa nazungumzia uzoefu wangu binafsi ambao hata mimi unanitisha: Ni rahisi kumulika mwizi au kuujua uongo.
Iko hivi, Ni kwamba naweza kuwa kwenye...
Kwanza nawasalimia wandugu,
Hvi huu mlipuko wa waganga wa kienyeji na vibao vya matangazo ndo ajira au njaa embu cheki hizi tiba...
pata dawa ya
1.kuongeza uume
2.kufanya mke/mume anase akifanya...
Wanajf
Je kuna ukweli wowote, kuwa mwanawake anaweza kukaa muda mrefu bila tendo la ndoa (ku-do, ngono) kuliko mwanaume?. Sababu kuu ni kwamba kila mwanaume anaposafiri kikazi au ki masomo...
habari za wikend wanajamvi,
jamani miaka kadhaa huko cku ya leo nilifanikiwa kuja duniani, sasa tangu niamke asubuhi naskilizia licha ya kupewa zawadi hata wishes za mdomo sijazickia kutoka kwa...
Mimi ni mpare na mume wangu ni mchaga (MMACHAME)....ndoa yetu ina miaka 6 na miaka yote tumeishi kwa furaha na upendo..Mumgu ametujalia watoto 2 mkubwa 5yrs wa kike mdogo 3 month wakiume...Toka...
Habari zenu wanaJf wenzangu.
Juzi jirani yangu alirudi kutoka safari ya kikazi ambayo alikua huko mkoani Mbeya,
alivyorudi alikua amemmiss sana mke wake kias ambacho alishindwa hata kuvumilia...
Washkaji niaje? Hopin wekend inakwenda poa
Washkaji, brothers, gentleman, hustlers and all boys around there let's love our ladies at our best,, hata kama life haiend tunavyotaka tusihamishie...
Kuna uvumi umeenea jijini Dar kwamba kuna mwanaume kanasiana na mke wa mtu wakati wakijamiiana.
Sina uhakika sana na uvumi huo, lakini katika kukua kwangu nimewahi kusikia hiyo habari ya wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.