Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
MUME AMWAGIWA MAJI YA MOTO NA MKEWE KIZITO Mahamba (50) (pichani), mkazi wa Mwananyamala Mtaa wa Msili B jijini Dar es Salaam, amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala wodi namba 5A baada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wanajf,nina suala linanitatiza sana kwa sasa.mmoja wa wahadhili wa chuo kikuu kimojawapo hapa jijini dar es slaam,amekuwa kwa kipindi sasa anamtaka kimapenzi mchumba wangu hali inayotishia...
1 Reactions
64 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu..! Kuna Dada mmoja huko Mwanza amenidokeza anataka kuachana na mumewe kwani mumewe kampa mimba mwanamke wa nje. Ni long Story but kwa kifupi ni kwamba yule mke wa jamaa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa wale ambao hawajafika Mombasa, pindi wafikapo huko wanaweza kukutana na haya:- mambo ya mombasa kenya (ushoga) - YouTube
0 Reactions
35 Replies
14K Views
A man who is interested in a woman usually starts with a glance or look. If the woman acknowledges that look, the man is supposed to walk over to where she is and starts to get to know her. This...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani msaada kuna jamaa nilim,pa lift baada ya muda nikasimama sehemu akaongea na binti mmoja nikasikia tu short time then wakaenda kwenye bajaji..akaoma nimsubiri afrikasana nikia nasubiri...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Your vagina doesn’t have to smell like roses Or be “douched.” Just because hundreds of products have been created to help you “clean up” your vagina, doesn’t mean that’s what men want. If you like...
6 Reactions
102 Replies
11K Views
:A S-baby: Ofisini kwetu kuna sherehe inayofanyika kuanzia saa 2 usiku nami inanibidi nihudhurie, sio ya bwana & bibi............. lakini ni lazima nirudi nyumbani kwa ajili ya kuoga na...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nisaidieni jamani. Nilikuwa na msichana ambaye nilimpenda sana, lakini aliolewa wakati sikuwa na pesa. Huko aliko ananyanyaswa sana na mme wake. Siku moja alikuja kwangu amepigwa vibaya akiwa...
2 Reactions
186 Replies
16K Views
Wanaume siku hizi hujui yupi mwanaume wa kweli yupi mwanamme-jike. In short wanawake siku hizi tuna wakati mgumu sana kutambua A REAL MAN. Mwanaume kutwa yu salon - kuoshwa kichwa/nywele...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
poleni na majukumu wana jamii forum, Jamani kuna mkaka nilikutana kwenye basi tulikaa siti moja tukitokea mwanza tu darf, ilikua 2010, lakini katika stori za hapa na pale tukabadilishana namba za...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa nini wanaume mnashindwa kuvumilia mkiona kitumbua hata kama mnajua kabisa madhara na kasheshe zitakazowapata nyinyi, wake zenu, familia zenu, JAMII na wapendwa wenu? Hamuwezi kuvumilia na...
9 Reactions
75 Replies
7K Views
Habarini boys and gals in here. Naombeni msaada. Leo nimepata dada wa nyumbani kutoka agency flani hivi Mwana Nyamala. Ni Msambaa kutoka Tanga. Naombeni kujua sifa za wasichana walikotokea huko...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanawake ambao hawajaolewa wengi wao ndio wanaongoza kutembea na waume za watu, kuliko wanaume ambao hawajaoa kutembea na wake za watu, idadi ya kike ni kubwa na inazidi siku hadi siku. Nini...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari barazani, Hivi wandugu mwenzenu nina mambo yananichanganya sana....Hivi haya mambo ya wanamuziki wetu haswa hawa bongo fleva kuvaa visuluari vya kike huku BOXER {CHUP} zinaonekana ndo wana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana matatizo ya ndoa yanayoikabili jamii kuzidi kuongezeka, nivizuri wanawake nao wakajitosa kuanza kuwa washenga. Mara nyingi ukimpata mwanamme mshenga, huwa haangalii mambo mengi kama tabia...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Sending naked shirtless photos via text email is a mental illness .you may loose your job ,identity and destroy your character .why people do this ?
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Inakuwaje mwanamke aliyeolewa (mke wa mtu) anakubali kirahisi kufanya mapenzi na wewe usiye mume wake? Hii yamaanisha kwamba Hana mapenzi na mumewe? Haridhishwi katika ndoa yake? Amekupenda kupita...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Napita tu, ila nimeona niwaachie kaushauri kadogo. Najua kwamba watu wengi uchukulia kama sifa kuwa na likitanda likubwa sana bed room, 6*6 au 6*5, Lakini kiukweli haya mavitanda makubwa ni moja...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF,nina kerwa sana na jambo hili kwa muda mrefu nimelileta kwenu ili nipate mawazo yenu,Mimi ni kijana nina mchumba ila tabia za mchumba wangu zinanitia mashaka mpaka nimeanza kuhisi...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom