Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
....
5 Reactions
195 Replies
12K Views
Sheria mpya ziwekwe kuwabana wanaume wanaowanyanyasa wake zao,
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wapendwa, mimi ni mdada wa miaka 29 nimeolewa nina mume na mtoto wa mwaka mmoja na miezi 7, tatizo kubwa sana, jumapili ya juzi mume wangu alinipiga na akanivuta nywere na kuniweka alama...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la TIENA MWAZEMBE mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa kijiji Hangomba kata ya Bara wilayani Mbozi mkoani Mbeya amenusurika kufa...
0 Reactions
20 Replies
17K Views
Jamani wanajamiiforums nisaidieni ,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ,ni muda mrefu sasa yapata miaka mitano kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa nishaurini nifanyeje watalaamu umri nao...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Habari wana MMU, Waungwana husema ya kwamba, "Hasira hasara", na wengine pia wakatabanaisha ya kwamba, "Hasira za Mkizi,furaha kwa mvuvi". Binafsi kama ilivyo kwa wanadamu wengine nina kiboksi cha...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari wana MMU, Hivi ni lazima ukitaka kumuonyesha mkeo kwamba unamjali umsaidie kazi za ndani? Mfano: kupika, kufua, kudeki na nyinginezo... hata kama wote mnafanya kazi? Binafsi naishi na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Samson alikutana na Delila chuoni, akampenda na kumweleza, lakini Delila akawa hajatoa maamuzi yeyote. Wakati huo huo, Delila akakutana na Ibra, wakaelewana na wakaendelea na mapenzi yao...
3 Reactions
81 Replies
5K Views
Ndio. Kijana rijali na mtanashati mwenye haiba yenye mvuto. Anayejipenda na kupendeka. Yeye naye anaweza kujichukia nafsini. Hasa akipigwa vibuti mfululizo. Kiooni akijitizama huishia kujiona...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Naam. Usisikitike. Wala usilie. Sio kosa lako. Wala sio lake. Akikuona unamkumbusha mpenzi wake wa zamani. Japo hujamfanya lolote anakuona kama vile wewe ndiye uliyemuacha hivyo na kumuumiza. Kisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Nina demu mmoja ambae tunapendana sana kwakweli, na nlipanga awe aje my wife wangu hapo baadae. Demu huyu kwa sasa amesafiri hivyo nimebaki mpweke karibia mwezi mzima. Sasa nikajikuta...
1 Reactions
64 Replies
8K Views
Ndoa nyingi zinavunjika kila uchao.Vilio vinaongezeka ktk mioyo ya wanandoa kutokana na kutoridhishwa ktk tendo la ndoa,maarifa mengi yanatolewa kuhusu kuridhishana mpaka mengine...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari za jioni wanajamii? Nipo kwenye daladala natoka kwenye mihangaiko yangu hapa maeneo ya ubungo kuna dada kaka jirani yangu kavaa umini a.k.a mini skirt wa kufa mtu na umepanda hadi taiti...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
The Six most important words. "I admit l have made a mistake" The Five most important words. "You did a great job" The Four most important words. "What is your opinion" The Three most...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mmekutana mmoja (Mke/mume) anazo za kutosha labda za kuzidi. Mmoja anamwambia mwenzake wakubaliane, ikitokea wakaachana au mmoja akifa. Yaweza kuwa 'asiye nazo' ili amuhakikishie 'aliye nazo'...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Vipi wapendwa wa bwana! Nina kitu huwa kinanichanganya hivi lengo la mahari kwa mwanamke ina maana/lengo gani? Naomba maoni yenu
0 Reactions
3 Replies
438 Views
Ni jambo la kusikitisha lakini ndiyo mambo yaliyotokea kwetu wiki iliyopita. Mwanamke mmoja alikuwa na hawara wake na mume wake ni mtu wa biashara kwa hiyo mara nyingi yuko safari. Mume wake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya hapa natetemeka nimekwenda kwa mama mkwe Ana miaka 70 nimemkuta anafanya mapenzi sebleni na mume wa best wake.hatupigagi simu tukienda kwake na nilienda hapo kumpelekea mzigo.waliniona na...
4 Reactions
80 Replies
7K Views
Nilimtembelea jamaa yangu mmoja,wakati naingia getini kwenye nyumba anayoishi,nilimuona akikurupuka na kuingia ndani,nilipokaribia eneo alilokua nikaona kuna vyombo jamaa alikua anaosha,kuingia...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari Inawezekana hili lilishawahi kujadiliwa. Kama ndiyo nikiwekewa link itakua poa. Kama halijawahi kujadiliwa nitashukuru kupata ushauri wenu. Je mkaka unaye mdate mdada anayekuzidi kipato...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom