Nilipoingia katika mahusiano naye
nilimuamini, nikampa kila kitu
nilichoweza. Nakumbuka enzi zile
nyumbani tulikuwa tuna ngombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao.
Akanenepa...
Wanajamvi naombeni mnishauri...............
kuna mshkaji wangu ana aibu kwa wadada kupita maelezo haswa inapokuwa katika swala la kuapproach! nambieni namna ninavyoweza kumwondolea hiyo hali...
wana jukwaa habari za michakato naomba ushauri wenu juzi jumamoc trh 10 ya mwez na mwaka huu muda wa saa8mchana nilibipiwa na new number baada ya kuigia akapokea msichana na nilipo muuliza we...
Nimehamia nyumba hii sina zaidi ya miezi miwili, Huyu mama bado ni binti na mtoto wa miaka mitatu hivi, tunaishi mimi na yeye nyumba nzima. sasa vituko haviishi mara atoke chumbani kwake kifua...
inauma sana upo ndani ya ndoa mme wa anawahi kumaliza namaanisha anatumia sekunde kumaliza kuunganisha hawezi, akirudia anamaliza ndani ya sekunde 2, anakuacha ukiwa bado na ny**********ge za...
Kikojozi, au Nocturnal enuresis kwa Kiingereza
Kikojozi ni jina analopewa mtoto anayekojoa kitandani hasa wakati wa kulala.
Ni kawaida kwa watoto walio na miaka 6 kukojoa wakiwa usingizini...
Jamani,ukistaajabu Ya Musa,utayaona ya Filauni..
Kuna Jamaa yangu Mmoja,alikuwa na Mahusiano na Demu mmoja hivi..Katika Mahusiano yao,hawakuwa na Lengo la kuoana zaidi ya Burudani tuu..Kwa...
A man asks, I know youre crazy about that little daughter of yours, Steve. What are you going to do when she starts to date?
The father replied, I imagine that Ill take the first young man...
Kuna tafiti ndogo ambayonifanya inaonyesha kuwa viongozi wengi wa inchi wameoa wanawake wenye elimu ya kati kama vile certificate au diploma mfano mzuri ni Mr. president,mawaziri wakuu wote...
This is serious, there's this beautiful mchumba of mine vry beautiful I've been dating for close to 2 months now.
She's been quite loving and shows so much care and affection. I really love her...
hallo wana jf kunarafiki yangu wa kike ana mpenzi na mahusiano yao yana mwaka moja analalamika mpenze wake hamjali kwalolote.huyu dada hajui kuomba ni mtu ambaye anayesubiri lamda mpenzi wake ampe...
Nilipokuwa nachungulia kwa nje kupitia dirishani mke wangu akiwa anaosha vyombo kwa njee. Alipita kijana moja, ile mke wangu kumuona tu, akawa kama kabanwa na mkojo. Mara glass iliyomkononi mwake...
The Top Ten Myths of Marriage|PREPARED BY ELMA FRANK SILKILUWASHA AND HARRIET BUJIKU
A discussion of the most common misinformation about marriage.
1. Marriage benefits men much more than...
KIKWAPA HUSABABISHWA NA NINI?
Kawaida mwili wa Binadamu una harufu nzuri sana ukiwa msafi na ukitunzwa vizuri na naturally Mungu alituumba kila mmoja ana harufu yake nzuri kiasi kwamba hata...
Habari za jioni wana JF,
Birthday ya mpenzi wangu is around the corner. Nataka nimnunulie saa nzuri ya mkoani. Naombeni ushauri wa aina ya saa na bei then ntajipanga from your opinions. Asanteni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.