Hii kitu nilikuwa naisikia sana siku za nyuma, but now sio kiviile, may be kutokana na mazingira. Eti kuna wanawake wanapandisha 'mzuka' mkali wa ku-do, kiasi cha kuwa kama wamepagawa hadi...
Definition; love is disease which caused by feeling of people of the same mood.
Symptoms of love are kisses, hugging, long chatting, stupid stories which express more feeling of love.
Effects of...
HI SINGLE GIRLS OUT THERE!
I am Abiud Joshua in Dodoma studying by now my age is between 30-33, i have a brown complexion, 6 feet tall ,a committed Christian ; not fat; not married ; no children...
eti....jamani ikitokea kama wewe ni mwanaume ukapata mwanamke mwenye kipato kizuli na anapenda uwe mpenzi wake na akufuge nyumbani kwake kama king'asti .....je hili ni jambo la ajabu....au ni vitu...
Ulioa lakini it didnt work na mkeo mkaachana. Hali kadhalika na mimi the same. Tumekutana ukubwani kila mmoja na maisha yake na familia yake.
Tunaelewana maana binadamu company muhimu. Baada ya...
Habari wana jukwa la mahusiano nilichojifunza mimi napenda niwape na wenzangu kwani
Semina zinazotolewa kabla ya ndoa ni zaidi ya ndoa kwani wana ndoa wakizingatia seminar
Kabla ya ndoa na maana...
Ugomvi mkubwa umeibuka kati yangu na Mke wangu mtarajiwa kisa ni kwamba sijaenda kanisani mda mrefu.
Kila jumapili huwa ananihmiza niende kanisani lakini nimekuwa nikileta visingizio vya hapa na...
Nimatumaini yangu kuwa mko poa.mimi ni kijana wa miaka 28,mwanafunzi wa mwaka wa 3 hapa SAUT mwanza,nasomea masuala ya uhasibu.mwaka 2006 nikiwa form 5 pale META sekondari-Mbeya nilibahati kupata...
Je umewahi kumkopesha pesa rafiki,ndugu yako,hata mfanyakazi mwenzako japokuwa ulikuwa hutaki?,ili mradi tu usionekane mbaya?nimeandaa hapa baadhi ya ushauri kwa kwa ajili ya hili: kamwe...
Una mpenzi wako lakini kutokana na mishemishe za dunia mnaonana kwa nadra,na imekua ivo kwa mda mrefu kama miaka mitatu,ikaja kutokea akakutambulisha kwa rafiki yake wa kike,na most of the time...
Habari wanandugu,
Jamani mwezi huu mwishoni mwishoni nategemea kufurahia tarehe ya kuzaliwa ya mama nanihii teh teh teh. Nafahamu kuna wana darisalama wengi hapa sasa naomba msaada mnijuze wapi...
Firstly If youre still struggling 2 find a husband at an old age because youre looking
for a perfect man, something is certainly
wrong with you. Now, your propaganda magazine tells you that...
HIZI NI SIFA ZA MCHUMBA WA UKWELI
anayefaa kufikiriwa kuwa mke ni hizi hapa;
1.ANAMPENDA MUNGU(sifa kuu)
2.Hakuchuni sana(huridhika na anachopata)
3.Anakushauri vitu vya future zaidi kuliko...
NI dhahiri Watanzania wengi tunafahamu umuhimu wa kuwa na simu za mkononi katika dhana nzima ya kurahisisha kupata mawasiliano miongoni mwetu, hali ambayo kwa namna moja au nyingine inaharakisha...
Kuna siku girlfriend wangu alinipigia simu na kuniarifu kuwa yeye anaomba kuachana na mimi lakini kwakuwa tayari tuna mtoto nilitaka kujua sababu lakini hakunipa sababu yoyote baada ya kumbana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.