Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Peopleeeeeeeeessssssss!!!!!!!!!!! Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!! Aisee hizi mambo uko na mtu anakaa kwao, wajitia mwanamke na maendeleo kumshawishi ajitegemee na kuanza maisha zimenitokea...
7 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari zenu bandugu Naomba msaada maana inanila kichwa Nilikua na bf wangu since cjajua maana ya mapenzi,I real loved the guy ,nakumbuka mara ya kwanza kukutana nae machoni nilikua form one ye...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Heshima kwenu brothers and sisters Nina jambo linanisumbua sana kutoa ushauri ,, jamaa yangu ambaye mama yake alipata matatizo akili kama ikavurugika, yaan hana kumbu kumbu yeyote huyo mama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habar wadau.naombeni ushauri nilikuwa na boyfriend wangu lakini 2liachana yapata mwaka sasa na akawa na uhusiano na rafiki yangu,sasa ananipiia cm anaomba 2rudiane nae kwa madai kuwa amegundua...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Jana kumejitokeza uvumi kuwa kuna mwanamke na mwanaume wameng'an'ganniana baada ya kufanye mapenzi . Kila mtu amekuuwa na maoni tofauti wengine wakishangilia na wengine wakilaani.Hivi tujiulize...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nilisikitishwa sana jana wakati nasikiliza redio moja ya kenya ambapo jamaa mmoja mkalenjini kwa kabila anayeanzia na jina la Joseph (ubin wake nimeusahau) alipokuwa akielezea kwa uchungu mazira...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Adabu za kizamani kwa baadhi ya maeneo ilikuwa ni pamoja na watoto kutokula vyakula fulani fulani Vyakula hivyo ilikuwa ni kwa ajili ya baba mwenye nyumba au watu wazima Kule nitokako ilikuwa...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Eti jamani nisaidieni kujua hili, kwenye siku za hivi karibuni karibu harusi 75% nilizohudhuria au kusikia basi bi harusi wanatoka Arusha au Kilimanjaro. Kunani huko siku hizi wanaume wote...
0 Reactions
86 Replies
8K Views
Jamii nisadieni....
1 Reactions
75 Replies
7K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja...
0 Reactions
59 Replies
11K Views
She is the one who agreed to date me for the last 3 years ago,ananipenda sana na cku zote yupo pamoja nami ktk shida na raha,inapobidi kucheka huwa 2nacheka pamoja na inapobidi kulia huwa twalia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo nimeona niseme jamani maana inaboa sana, baadhi ya Tax drivers wamekua tishio kwa mahusiano ya watu mtu, si kijana wala mzee, tabia ni zile zile........ mrembo asikodi gari zenu kosa mnataka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
mimi ni msichana ninampenzi nampenda ila anitumie msg ,hanipigia anaweza kukaa hata wk hanitafuthi mpaka mimi nimtafute .unawezakuta namtumia msg hajibu nikumuliza mbona kimya anadai mambo...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Jamani naomba kuwauliza swali linalonitatiza sana. Miaka ile ya themanini wakati mi niko mdogo kule Kinondoni kulikuwa na tajiri mmoja mwenye magari mengi aina ya scania 111, jamaa mwenyewe...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Nilikuwa na mpenzi toka mwaka 2006 nimeishi nae nikiwa chuo na bahati nzuuri tukapata mtoto lakini si bahati akafa baada ya miezi michache!, nilibahatika siku moja kwenda mkoani kusalimia wakti wa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wandugu kwa niaba ya rafiki yangu naomba mchango "Nina BF ambaye ameniletea posa home na kupangiwa mahali wikend iliyopita kabla ya kupanga mahali home waliniuliza nikawatajia kiwango...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naomba saidia yafuatayo; 1.Je kwa ndoa Yupi anatakiwa Kuwa mkubwa kwa Mwenzie? 2. Na ni kwa kiasi gani cha miaka awe amemzidi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HABARI zenu ndugu zangu wana jamii forums.... Natumaini mpo salama kama ni mgonjwa pole sana Nina mpenzi wangu ambaye yupo mbali kidogo na mimi kwa mwezi sasa kutokana na masomo[chuoni]...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
sikia mwenyewe
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Back
Top Bottom