Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba...
3 Reactions
142 Replies
27K Views
Hellow wadau,,,,' Leo katika peruzi peruzi yangu nimekutana article ya mtafiti na mwanasaikolojia mmoja anaitwa Prof:Hellen Zsigmond,anasema katika utafiti wake wa miaka 8 amegundua 20 sex...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani niki post tu kwnye thread yeyote akaunti yangu ya JF inaji Log out outmatically. Haka kaugonjwa kameanza jana na kana tokea pale ninapotumia kilaptop changu. nikitumia Li desk top la...
0 Reactions
7 Replies
852 Views
Hey wapenzi niliwamissije? hebu plz nisaidieni mawazo wajameni! Ero na kihere here changu cha kumiss sex na staili zote matata kumenifanya niwe na husuda ya kufanya sex non-stop. Nikaweka...
8 Reactions
62 Replies
9K Views
Matumaini yangu kila mtu yuko poa wanajamvi. . . . Niko huku kusini mwa Tanzania for almost a month sasa hivi, kuna jambo nimevumilia huku toka nimekuja, labda naomba niwashirikishe wadau. Yaani...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
habar wadau.naombeni ushauri nilikuwa na boyfriend wangu lakini 2liachana yapata mwaka sasa na akawa na uhusiano na rafiki yangu,sasa ananipiia cm anaomba 2rudiane nae kwa madai kuwa amegundua...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa waliosikia yaliotokea huko temeke hospital mwizi mmoja wa mke wa mtu amekutwa akimfanya kinyume cha maumbile mke wa mtu na baad aya hapo machine ikakataa kutoka na mpaka sasa wameelekea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani sipokuwatetea wanaokula wake za watu ama waume za watu lakini ni vyema tukawakana sawa m naamini hata kama kuna watu wanapenda wake za waatu ama binti wanapenda waume za watu kuna baadhi...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
jaman wana jamii hiv hz news za Temeke kwamba kuna watu (mme na mke) wame nasana kama mbwa baada ya kuvunja amr ya sita... Mwenye more info jaman naomben...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Boy: Age: 25 years; Education: degree Girl: Age: 22 years; Education: Form Four Je, kuna tatizo hawa watu wakioana? Naombeni mawazo wana-JF
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Rafiki yangu hapa ofisini, amekuja kuniomba ushauri leo. Jana alipo rudi home, alimkuta mke wake kwenye dimbwi la mwazoi. Majibu ya mke wake yalionyesha kunawalakini. Mida ya usiku alikagua simu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Number 10 Not enough sex Remember the good old days when you could stay up forever fooling around? Then responsibility entered the mix -- and kids -- and before you knew it, sleep was more...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salute, If you have given a second Chance, will you marry you wife/husband? Hii ni kwa walio olewa ama kuoa tu!! www.oric.co.tz and www.aio.co.tz
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi ushawahi kucheat na mbaya sana unamcheat mtu ambaye unajua she/he loves u na yupo committed kwako na pengine unajua kabisa hajawahi kukucheat?? How do u feel???????Uzoefu wenyu!!!!!!!!!!
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakulu naona hili linahusiana nzaidi na mahusiano na urafiki, Nimepata wazo mi na wenzangu kadha wa kadha kuwa ingekuwa vizuri kama siku zijazo sisi kama marafiki basi tukajiopiga piga tukaenda...
1 Reactions
458 Replies
28K Views
Mapenzi ndoa na mahusiano kwa ujumla yameonekana kuwa na nafasi kubwa sana katika maisha ya wanadamu huku yakiwagusa watu wote bila kujali jinsia rangi,umri wala cheo,lakini nashangaa kuona hamna...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Nakaribisha kukosolewa, huu ni mtazamo wangu tu, na wewe pia waweza weka wako. GHARAMA ZA KUOA GHARAMA ZA UZINZI · Kujitambulisha…….. 20,0000/= · Maandalizi ya mihadi...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Nawasalimia wana JF. Nashukuru sana kwa kunipa ushauri kipindi kile nina matatizo na mchumba wangu. Nafurahi kuwa ushauri ulisaidia na nilishawafahamisha kuwa tunaelekea mipango ya ndoa. Kitu...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
WEWE VIGEZO VYA MWENZI WAKO NI VIPI?
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Back
Top Bottom