Za mid night wapendwa.
Leo usiku huu nilikuwa na maumivu yangu moyoni, someone hurts me somehow. I was crying though not loudly
Sasa mwanangu wa 8 months alikuwa na kaka zake kabebwa, then...
Heart touching story
My mom only had one eye. I hated her She was such an embarrassment. She cooked for students and teachers to support the family.
There was this one day during elementary...
Kuna wakati mtu anajikuta anajibizana vibaya na wakwe kwa sababu mbalimbali. Wanaweza kuwa ni wazazi wa mwenza wako au shemeji na wifi zako. Jamii zetu zinatilia mkazo sana heshima kwa wakwe...
Kuna mama mmoja (jina ninalo) ana tabia ya kutafuta visa na mikasa kwa kuchunguza maisha, makosa madogo madogo ya ndugu jamaa hasa wa upande wa mumewe. Visa hivi huanza mara tu baada ya ndugu hao...
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Henry amejikuta mikononi mwa vyombo vya dola baada ya kumchoma mkewe sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia pasi na kumuua mtoto wake wa mwaka mmoja kwa...
Being in an open relationship is very a mixed blessing. While in some respects it is the perfect solution for those of us who want to be in a steady relationship but are afraid of commitment, it...
Nimeamua kuuliza swali ninalokwenda kuuliza kutokana na ndoa 4 ninazozifahamu kuvunjika kutokana na wanawake kusababisa kuvunjika huko kwa kutaka matumizi ya mtandao.Najua ndoa hizo ni chache sana...
Jambo hili limetokea wiki iliyopita,na liliyemtokea ni bro wangu(siyo wa tumbo moja) Aliachana na mkewe kutokana na mke huyo kutokua ametulia,waliachana kwa bifu sana.Miezi sita baadae bro alioa...
Habari jenyu bhanaa!!
Wana JF nina imani sote tupo poa, kwa wale wenye matatizo mungu awape faraj.
Binafsi nimefurahishwa na cahangamoto mbalimbali kutoka kwa wenye busara hasi na chanya zilizomo...
Aliyekuwa boyfriend kaoa tokea January this year, lakini nimeshindwa kuabsorb hii hali, mbaya zaidi tunaishi mji mmoja so mara nyingi namuona. Wadau kama ilishawahi kukutokea, ulichukua hatua gani...
Wakubwa zangu shikamooni!!!
Peoples Niajeeeeeeee!!!!!!!!
Hivi ishawahi kukutokea una mtu wako wako wa kudumu na unampenda sanaaa ila ukakutana na mtu wa jinsia tofauti, basi ukamuadmire...
Kuna tabia au mazoea mapya siku hizi ambapo wazazi wanaamua kupeleka watoto wao shule za bweni. Wengine wanafanya hivyo kuanzia elimu ya msingi (sijui kama kuna chekechea za bweni).
Utakuta...
Naomba kuuliza wanaJamvi wenye watoto. Zile kamba nyeusi wanazovalishwa watoto wadogo viunoni na wakati mwingine kwenye mikono huwa zina kazi gani? Mungu akijalia nikaja kupata mtoto na mke wangu...
A lot of men and women are moving around with wounded hearts. Who wounded you??? .. know whats keeping you from moving on with your life you have already survived it let go forgive and make...
Nasoma nje ya mkoa wa DSM, mke na familia wapo DSM, weekend moja nikaamua kufanya suprise kumtembelea wife na familia bila kumtaarifu kuwa nakuja, sasa kumbe naye siku hiyo hiyo naye amepanga kuni...
Inanikera na leo imenikera zaidi hadi nasikia kukereketwa kooni! Jamani hapa ninapoishi kuna jirani ambaye ni baba mwenye familia ya mke na watoto wanne. Kati ya watoto hao mmoja wa kufikia ni wa...
arusha, baba mngoni, mama mchagga
.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila
kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi...
Ndugu zangu akiwemo mama mzazi wamenichukia kwa kumkabidhi mke wangu tuliyeishi naye miaka 16 kusimamia biashara niliyoanzisha na mke wangu. Wana Jf nisaidieni kwa maoni, hili ni kosa au...
Wadau mimi nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tupo mbalimbali yeye yupo Dar mimi nipo Dodoma, nimekuwa nifanya kila linawezekana kumwonesha kuwa nampenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.