Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kuna mahali nimepewa offer ya Massage kesho Ijumaa, sijui inakuwaje hiyo makitu. Mwenye uzoefu tafadhali, nisije pata kesi ya kubaka mie........................................LOL
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapenzi na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume...
5 Reactions
23 Replies
9K Views
was 2010 nilipomaliza chuo nikaenda field nikakutana na kijana mmoja uongo mbaya nilitokea kumpenda sana tena sana sana sana, kama kawaida ningum kwa mwanamke kutamka na kingine sikua type yake...
0 Reactions
46 Replies
22K Views
Banandugu kwanza heshima mbele! mimi nina tatizo dogo lakini naona linakuwa kubwa, mke wangu alikuwa ananasisimka sana pale anapochezewa matiti kunako majambozi, sasa tukajaaliwa mtoto, na hapo...
8 Reactions
208 Replies
51K Views
Wadau... Mitaani pameanza kupambwa pambwa, matangazo ya sales sales kila kona.....na miti imeanza kuchanua maua kuashiria msimu wa sikukuu umekaribia......walio mbali wameanza kufanya bookings...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
heshima zenu wakuu, Ni mwaka wa tatu sasa kuna jambo linanisumbua saaana sijui kwanini nashindwa kulisahau... Nakumbuka nikiwa chuo kuna binti fulani nilikuwa nampendaa mno kupita maelezo...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Jana nilikuwa kwenye rusha roho mitaa ya nyumbani migomigo basi tukajifaragua hapo na nyimbo kibao za kurushana roho. Ilipofika mida ya saa 6 usiku kuelekea saa saba nguvu ziliniisha wakaingia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, I think i am turning isomniac, kwa siku I hardly sleep two hours halafu usingizi wenyewe ni wa ku beep beep. . .any help on that?
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Hii imekaaje wadau! Mwanaume lijali, buheri wa afya, aliyekamilika kila kitu kwenda kuishi alikoolewa dada yako!! Inapendeza kweli wadau? Au mnaionaje hii?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Napenda kuwapongeza kwa walifanikiwa kufunga Ndoa mwaka huu au kupata mtoto na wanaotarajia kufunga ndoa ndani ya miezi hii iliyobaki au kuapata mtoto.. Kama bado haujapanga Tarehe ya kuolewa au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mama yangu alikuwa akinipenda sana, labda hii kwa sababu nilikuwa ni mtoto pekee katika maisha yake. Baba yangu hakuwepo duniani, tayari alikuwa amekwishafariki kitambo sana. Pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Suggestion to you soda stream (yaani hii it's good kwa carbonation ya maji) ,motorcycle ,latest IPad ,masssage and spa .kwa wakina dada diamond pendant,lingerie ,mercedes.love is a gift from God...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nachojua wakati wa kufanya majambozi huwa kwa sie wanaume si issue yaani unaweza kumwona msichana ukamtamani na hapo hapo ukasimamisha dushelele na kama mpo falagha unaweza kumaliza haja zako...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Raha ya mwanamke nyonga bwana.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapa tanzania kuna makabila mengi sana ila linapokuja swala la mapenzi hutofautia kabisa, kwa wale wa mkoa wa Mara hasa Wajita. Pale kijana anapo ao basi huwa wana expect kuwa bikra sasa ule usiku...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ntaingiaje jukwaa la mambo ya kikubwa? Mbona halionekani ?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna jamaa ana demu wake, kila mmoja ana mtoto mmoja, na kila mmoja anaishi kwake na mtoto wake, (mtoto wa mwanamke anamuita jamaa uncle na mtoto wa mwanaume anamuita demu aunt). Kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ambo vipi wana JF nilikuwa na mpenzi wangu wa kike but mahusiano yetu hayakuwa mazuri coz amenicheat na ameconfess so nikaamua iachane naye though sijamtamkia but ashajua kama ntka nimuache nw...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom