Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
UTAPELI wa aina yake, umeibuka mkoani Kilimanjaro ambapo kundi la matapeli hula njama na wanawake kuandaa mitego ya fumanizi na kujipatia mamilioni ya shilingi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
jamani, kwa nyie mnaomiliki saloon za kike afu mnaajiri wacongo, hebu wafunzeni basi kuosha sarawali zao zote?! Baadhi yao yaani full mtindi, utadhani ng'ombe ananyonyesha maziwa ya mgando...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Ni kujidanganya mwenyewe. Pia ni kumdanganya mwenzako. Tena ni kuwadanganya wengine. Hili la kudai kuwa inawezekana. Eti mwanaume na mwanamke wasio katika mapenzi au wasio katika mchakato wa...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
Kuwa mkweli na muwazi ni moja ya misingi ya kujenga mahusiano yanayodumu na hata kukabiliana na dhoruba mbalimbali za maisha ya mahusiano ya ndoa. Swali kubwa ambao wengi hujiuliza, wanaume kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu nina tatizo ambalo kiukweli linanikosesha raha kabisa naomba mnisaidie Inshu yenyewe ni hii mm ni Kijana wa miaka 24 nilikuwa na tabia ya kuwa na wanawake mara huyu kesho huyu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mdada aliyekuwa anaishi na jamaa kinyemela alimng'ang'ania jamaa kama akidai keshapotezewa sana muda lazima jamaa amuoe. Kila ujanja jamaa aliofanya mdada kakaza kamba lazima aolewe. Jamaa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau wa MMU naomba ushauri wenu.Kuna dada ana miaka 23, ana mpenzi ambaye alianza naye uhusiano miezi minne iliyopita. Kabla ya hapo alikuwa na uhusiano na mvulana mwingine ambao ulivunjika...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
KUNA WANAUME AMBAO WANAFAA KUWA WAUME, BABA WA FAMILIA, NA KU NA WANAUME AMBAO HATA UFANYEJE NI KUJITAFUTIA PRESSURE, NA KISUKARI TU eupukana na wanaume "KACHIRI Kwanini umng'ang'a nie Kim na...
0 Reactions
48 Replies
8K Views
Wakubwa shikamoooni!!!!!!! Wakuu habari zenu!!!!!!!!!!! Leo nimemkumbuka rafiki wa Mama Lara 1, aliejiua baada ya kulikoroga na kushindwa kulinywa!!!! Nilikua mdogo that time ila jinsi ilivokuwa...
10 Reactions
89 Replies
7K Views
Je wewe ni mmoja kati ya waathirika wa mapenz, yaani mpaka ibustiwe ndo isimame? Je imekuwa ukilalamikiwa na mpenzi wako kuwa himrizishi? Je Kwako kutumia dawa za kuongeza nguvu imekuwa kawaida...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mara nyingi wanawake huwacheka sana wanaume ambao visamaki vyao ni vidogo sana kwa kuwatania kwamba hata ukikohoa tu wakati wapo sita kwa sita kanachomoka, wakati huohuo wanaume nao huwacheka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Si kweli kwamba kuguswa na sex ni vitu hatari sana, vibaya na uchafu. Ukweli ni kwamba Katika ndoa kupeana raha kwa kugusana (touching) na sex ni mlo kamili wa moyo, mwili, nafsi na roho. Si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It makes some people religious: Oh my God! Yes! My God! 2 It gives some people their first musical lesson: mmmm .aaaahh ooooh...aaahhh 3 Makes some people natural competitors: Ffaaast! Fasterrr...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna sehemu moja hapa Moro (waliopo moro wanapafahamu), its a kind of a medium level Lodge, ambapo parking yake ni ya kipekee Kuna chambers maalum za kuegeshea gari, yaani zimewekewa mapazia...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Kwanza naanza kwa kuwasalimia akhsalaam aleukum wana JF. Mimi ni kijana niliye fundwa katika maadili mazuri ya kiafrika. Katika kufundwa kwangu nilifundishwa kuwa mapenzi ni sanaa. Ni lazima uwe...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja nchini uganda aliyejulikana kwa jina la Lorant Tumsime amekatwa sehemu zake za siri usiku wa juzi alipokuwa amelala. Mwanaume huyo amekatwa nyeti zake na mkewe...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
chezea firaidei weweeee
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naishi na mke wangu vizuri tu siku nyingi, lakini familia yangu ni kubwa kiasi kwamba kila baada ya muda fulani napata mgeni wa kuja kututembelea. Kama ni mwanaume kidogo afadhali hata...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu ni hivi: mimi ni mwanaume, umri wangu ni 30yrs. Mwaka jana mwanzo nikiwa nyumbani kwangu nawaza jinsi nitakavyopata mke wa kumuoa, alikuja mwanamke 1 mjamzito. Akanikuta niko kwa nje...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom