Habari za muda huu waungwana?
Nimepokea taarifa asubuhi hii kuwa member wenzetu Madame B na Kijino wamefiwa na baba yao.
Taarifa niliyoipata toka kwa Madame B mwenyewe inafafanua zaidi kuwa...
Katika uzi huu, unaweza kuweka uzoefu wako kuhusu mambo ya kuzingatia unapokuwa kwenye mtoko (Date). Si lazima iwe ni yale yanayokera, bali unaweza kuweka mambo yanayovutia kufanya wakati wa...
habari wana jf!
Heri ya sikukuu ya eid el hajji
kwa ufipi nilikuwa na girlfriend tulipendana sana nilidumu nae kwa muda wa miaka 5 na mimi ndiye niliyemfundisha mapenzi tangu tupo secondari...
Mimi ni mwanamke wa aged 30 nina watoto watatu ambao umri wao ni 10, 8 and 10.
Tatizo lililosababisha mpaka kuamua kuandika hili ni kwamba niko njia panda katika mahusiano yangu na mzazi...
Wakuu nimeshtuka kusikia kuwa chimpazee nao wanapenda sana kale kamchezo ka wakubwa, wako tayari kuhonga windo lote ili apate. Wanyama wengi sayansi inatuambia wanafanya hako kamchezo kwa ajili ya...
habar wana jf
katika harakat zangu za kumtafuta mwenza kuna binti mmoja nimekutana nae facebook tukabadilishana namba
yeye ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa dar na kwao ni nje kidogo ya mkoa wa...
Wakuu,
Simnakumbuka tangu last year nilikuwa namtafta mwandani? Duh! Mara kama zari si akajitokeza JF member, mzee bila hiyana nikaridhia!!
Nikawa nachati nako kiutu uzima, na bando...
Hi wadau. Mi mgeni sana humu ndani so kama vipi ikikosea natanguliza msamaha; B4 kuwa member niliwahi soma issue inahusu namna ya kujua kama mwenza wako ana mawasiliano na mtu mwingine na...
Habari zenu wana Jamii Forums wote.
Madame B na Kijino Pamoja na familia nzima, tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa, Members wote wa Jamii Forums kwa kuwa pamoja nasi na kutufariji kwa...
Tukusuma Mpoki alikuwa amesimama kwenye baraza la nyumba yake, uso wake ukiwa umekunja ndita, jasho likimtiririka, na macho yake yakiwa yanabubujikwa na machozi. Alikuwa amejifunga kanga moja...
Wana JF heshima mbele, na poleni sana na overhang or sorry hangover ya blue monday
last week nilikuwa pande za mo twn (moshi), club moja hivi inaitwa malindi, infact nilikwenda pale kuwinda baada...
nauliza sawli hili serious nataka mawazo au mnaofahamu au mliona au kusikia kama yapo kweli mapenzi ya dhati kutoka moyoni kati mtu mweusi mwanamke au mwanaume na muhindi mwanamke au mwanaume ...
Kuna nyimo moja iliimbwa zamani na Paul McCartney wa The Beetles
inaitwa -Will you still love me when i am 69'
Ironically alipofika 69 alikuwa dirvoced na single again lol
Anyway umewahi...
#A woman worries about the future until she gets a husband
#A man never worries about the future until he gets a wife
#A successful man is one who makes more money than his wife can spend
#A...
Usinuilize kwanini sababu Utaninizinguaaaaaaaaa!!!!!!!!
Ukitaka jiunge na mimi, Kama ni Pesa Kunywa Mimi Nitanunua!!!!!!!!!
Mimi mwanzo sikuamini, Nikajuaga vya UZWAAAA!!!!!!!!!!
Kumbe MJINGA ni...
Imetokea
Published on Jul 18, 2012 by ndtv
When a woman who had tried to commit suicide by drinking rat poison was rushed to hospital on Tuesday, doctors discovered a lock around her private...
Alikua mume mwema sana,Mwenye upendo wa hali ya juu sana na mimi na mwanae,Alianza kubadilia baada ya mimi kubeba mimba,Alikua mkatili sana kwangu na hakunijali kabisa kwa kipindi chote cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.