Ilikuwa ni Mwaka 1997, ndipo mimi na mpenzi wangu wa awali tuliamu kufanya kile wazungu wanachoita Trial Marriage, yaani kuishi kinyumba kabla ya ndoa ili kupima kama tutaweza kumudu maisha ya...
Kila tukiwa na mtafaruku na mama watoto wangu ananambia kauli hii "Nitawapisha wengine waje wajaribu, nina kwetu" Hivi mwanamke aliyeolewa, yuko ndani ya ndoa zaidi ya miaka 10 anaweza kuendeleaje...
Mke: Mume wangu pamoja na kunichunga koooote huko, lakini nakwambia kuna siku utanivua pichu mwenyewe niende kuduiwa na mwanaume mwenzio
Mume: Unajidanganya wewe, kamwe huwezi na haitoweza kutokea...
honestly nimekua nikiwaheshimu na kuwaogopa watu ila kwa hili nlo lisikia imenisikitisha sana japo imekaa kama story ila naamini imetokea hata kama sio copyrighy basi with the same theme,juzi...
Leo asubuhi mida ya saa 1 na robo nipo kwenye gari natokea nyumbani mtaa wa pili nasikia kipaza sauti kinasema''msaada msaada nasumbuliwa na ugonjwa wa kisasa mwenye 100,200,500 anisaidie atalipwa...
Kalikuwa ni kabinti kadogo kazuri.....!
Ilikuwa ni Jumamosi mwaka 1999, Januari. Nilikuwa natoka nyumbani Mwananyamala kwenda kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani. Hapo Picha ya Ndege ndiko...
Penzi lako ni la ndoa au la kustarehesha miili ya watu?
Hapana huyu si mume wangu, ila niko naye tu kwa ajili ya kujipumzisha Aah, yule msichana wa jana usiku? Siyo mchumba wangu, nazuga...
Babu alisema, hata kama unampenda, katu usimwambie kuwa unampenda, na wala asijue kuwa wewe kwake ni dhaifu.
Ukifanya kinyume na hapo utakutana na hiki.
The man who sued his wife for birthing an ugly baby
Apparently in China, bad genes are grounds for divorce and six-figure fines
"Failed relationships can get ugly," says Ji Lin at the Irish...
Wapenzi wanauana kwa ajili ya pesa,love triangle,scorned lovers ,Mara nyingine kaolewa na muuaji dah .wanawake ndio wananishangaza wanavyokuwa ha wivu mbaya wa kuuua .usiombe mwanamke awe Ana...
Hello.
Jaman 3 days no call no text. I have played ma party mpaka naona iam using a lot of energy to secure uhusiano huu. Kama sipig then hakuna mawasiliano. Kama sijamtumia SMS basi hajib...
jamani mwenzenu miye nina miaka 23 ila naogopa kupenda sasa, maana nilipendaga kama mara mbili hivi mademu wakanizinguaga so yaani hadi sasa nawachukia mademu wote, ila tatizo ashiki bana...
Salama wakuu. Habari za jioni na poleni sana na majukumu ya ujenzi wa taifa? Natumai mu wazima. Niko karibu na kijana mmoja hapa anahitaji ushauri juu ya shida iliyomkuta ndani wiki mbili...
Heshima zenu jamani, post ya kwanza hii, waungwana leteni busara zenu.
Katika jamii yetu ya sasa wanaume wengi wanaugulia kimya kimya kwa ajili ya mapungufu katika ndoa zao (zetu). Mara tu mama...
Wana JF,
Kuna rafiki yangu amekuwa mbali na mke wake kwa miaka miwili.
Kipindi anaondoaka alimwacha mkewe akiwa na mimba ya miezi nane.
Mtoto lizaliwa na sasa anakimbia na kuongea kwa...
mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa mwaka huu ,I'm pregnant nategemea kujifungua mwezi wa 12,
Tatizo langu ni huyu mume wangu its like he's irresponsible,kila kitu kwake anaona hakina maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.