Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
kuna binti tunapendana sana na tunapanga kuwa pamoja maishani ila shida ni dadangu 1 na kakangu 1 wana pinga,lakin ndugu zangu wengine hawana pingamiz,kaka ana kataa kwa kuwa:1 uyo msichana...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamani naomba mnishauri me ninampenz wangu na nampenda sana mpaka mwenyew anajua sasa amekuwa mtu wa kunifanyia visa kibao haswa pale alipogundua nampenda, anakunywa pombe sana na akilewa huwa...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Wakubwa zangu shikamooni! Peopleeeeees Niajeeeeeeeeeeeeeee! This thread aint about peace or love! Neither is it about unity or forgiveness! Its about REVANGE!!!!!! Revange n nothing bt...
11 Reactions
160 Replies
11K Views
Utafiti mdogo nilioufanya ni kwamba madem wengi siku hizi wanapenda sana mnapofanya mapenzi basi lazma yaambatane na fujo nyingi, kama makofi, vidole sana,ndimi kila mahali, mara jaribu na huku...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Kawaida wadada hupenda kaka atafute utaratibu mzuri wa kumwambia hilo jambo, na liwe ni la kiupendo na utulivu. Lakini kutokana na kuwa na simu mkononi imeonekana wengi wanafanya hilo jambo kwa...
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Mabinti na akina mama wenzangu, kwa heshima na taadhima nakuleteeni dawa ya wale wanaojikausha kupokea simu wakati tukiwa pamoja nao. Jaribu na utaona mafanikio yake:-
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya kuwafundisha akina mama na akina dada dawa kwa ajili ya wale wanaojikausha kupokea simu za mahawara wanapokuwa nasi, sasa niwapeni dawa mpya kwa ajili ya kukomesha uzinzi kabisaa:-
0 Reactions
17 Replies
2K Views
KUFIWA NA MUME/MKE Jambo la kwanza linalohuzunisha zaidi ambalo lina kiwango cha asilimia 100 ni mtu kufiwa na mke au mume. Rekodi zinaonesha kuwa, watu wanaofiwa na wapenzi wao huwa na huzuni...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mi ni mvulana wa miaka 28, Niko single ninatatizo linanisumbua sana na kunifanya nikose amani pindi nikiwapo na faragha, uume wangu huwa unasumbua sana kusimama kila niapofanya mapenzi kwa round...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu mwana JF, ebu angalia huu mchoro utafakari jinsi gurudumu la maisha ya mwanadamu linavyomwongoza tangu kuzaliwa hadi kurudi kwa muumbaji wake. Tafakari na halafu chukua hatua, waheshimu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mara nyingi sana kwenye maharusi unasikia vumilia.why ,
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kuna swali huwa najiuliza, naomba jibu kwa mwenye kujua. Hivi hawa wanawake warembo, machachari na wanaosumbua mitaani, urembo wao hukoma wanapofika umri gani? Ni ktk umri upi mwanamke hajisikii...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Love LetterDear Child of Mine, I saw you before you were born, and I destined you for a great purpose (Jeremiah 1:5). While your mom was pregnant with you, I personally designed you with...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf, Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini...
1 Reactions
163 Replies
15K Views
Kwa wiki nzima nimekuwa nakusanya mawazo, kutoka kwa wapenzi mbali mbali ambao walikuwa wananisaidia uchunguzi wangu juu ya namna wanavyoshiriki tendo la ndoa na kulidhika. Wengi kati ya hao kwa...
5 Reactions
15 Replies
17K Views
Unataka kusafiri kikazi, wakati unapaki vitu vya kuondoka navyo mke wako kwa upole anakuambia "mme wangu chukua hizi condom incase vikitokea vishawishi zitakusaidia na wewe unazipokea... Wakati...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Siku zinavozidi kwenda hasira zinazidi kunipata. mie hata sina hakika kama hawa watoto nitalea tena kama nilivyomuahidi my darling Kaunga. Mimba gani inaniharibia shoo hivi? nina chunusi balaa...
10 Reactions
62 Replies
13K Views
wenye mewata makubwa, huwa wamepigwa pasi, na wale wenye mewata madogo, wapo mashalaa. Sasa bado sijapata uwiano wake wa tafiti hii ni nini. Tafiti nyengine, Wanawake wengi ubadili kufuli mbeli...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jirani yangu aliponikuta nasoma Jf alivutiwa sana jinsi wanaJF wanavyokuwa msaada na aliniomba niwasilishe kwenu tatizo lake kwa ushauri,,anasema "Mimi ni kijana mwenye miaka 28 ni mtoto wa...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Peopleeeeeeeeeessss! (Wakubwa zangu shikamooni) Natumai wote wazima, na hakuna alieshikwa kwenye maandamano sababu wengi wenu wazee WAKUJIKAUSHA na kufatilia kwenye tv. (With the exception with...
17 Reactions
160 Replies
12K Views
Back
Top Bottom