Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mmekuwa wachumba kwa takriban miaka miwili hivi, lakini kila mmoja akiishi kwake(mwanaume amepanga nyumba nzima kubwa na mwanamke anaishi kwenye nyumba yake aliyojenga mwenyewe). Mmeshakubaliana...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Kupenda na kupendwa raha sana.Raha hii itakuongezea umri wa kuishi, itakufanya uwe mng'avu kwa kutabasamu kila wakati hata ukiwa gizani au peke yako.Ukiwa kwenye uhusiano unaokufanya ujisikie uko...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Jamaa mmoja hapa kati alikuwa anamwagilia bunge Kwa marafiki zake wamshauri, anasema alimstukia mkewe kwamba kuna njemba linamparamia. Kwa ustaarabu jamaa hakuwa Na papara Kwa sababu wana 2kids Na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mary Kay LeTourneau Mtoto Vili Fualaau Mary Kay LeTourneau na Mtoto Vili Fualaau walipofunga ndoa Vili Fualaau na wanae Audrey mkubwa na Geogia Alexis Mary Kay LeTourneau alikuwa na...
8 Reactions
49 Replies
9K Views
Juzi nilikua maeneo ya Buguruni mishale ya saa sita usiku nikipata moja moto, moja baridi. Baada ya kilaji kukolea mbele yangu kulikuwa na kidada, nikajiexpress akanielewa, alitaka 20,000 ya kazi...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Wana Jamvi weekend hii nimepata kadi ya mchango ambayo sijawahi kuchangia mchango wa aina hiyo, kadi yenyewe ina heading isemayo "Mchango wa Maulidi" inaendelea kusema Bwana na Bi xxx wanaratajia...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Lipi bora kuwa na mpenzi halafu hauna furaha au bora kuwa single na furaha
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kila siku huwa wanaachwa ,utakuta mtu anamkatia ticket tafuta visa mtu anakuja USA anasomeshwa na anamwacha huyo mwanaume.kuna mdada alisomeshwa udaktari 7 years mdada akapata udaktari mdada...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
jamani kila mtu atupie hapa sehemu ambayo uliwahi kuwa faragha na mpenzio mbali na chumbani kwako unakolala au sehemu uliowahi kuwafuma au kuwaona wengine ikakushangaza,mfano kwenye...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Mimi ni msichana wa miaka 20 naishi magomeni jijini dar nimejitokeza kwenu kushare tatizo langu. mimi sina wazazi wote walifariki kwa ajali ya gari mwaka 1998, Mimi waliniacha nasoma shule ya...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Mabinti wa siku hizi wakiwa kanisani wakat wa kufunga ndoa,wanakuwa bize na simu wakichat facebook na mitandao mingine ya kijamii,badala ya kusikiliza nini kinaendelea,mi nawaomba mabinti wenye...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
natarajia kuwepo mwanza tarehe31 mwezi huu kwa siku tatu..please member yeyote aliyoko pande hizo nahitaji kampani yako ya hali na mali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu Zanguni Tunarudi Tena Na Somo Kwa Wale Mabinti Wanaoolewa Au Waliioolewa,,jamani Hakuna Starehe Kama Mme Kujua Mkewe Anamtii Na Kumheshimu......kumekuwa Na Wanawake Wengi Ambao Hivi Sasa...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Rahisisha maisha,achana na stress.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, ilitokea nimefahamiana na dada mmoja, na tukawa marafiki wazuri, ila sikuwahi kumwambia chochote kama uchumba. Baadae nikawa mbali naye kidogo, kilicho nishangaza ni majibu ya mkato...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
I got to know her because she was the friend of my friend's girlfriend and because they used to come to our place then we became very close...Unfortunately, it had turned from bad to worse..u know...
0 Reactions
51 Replies
3K Views
Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Mnamo Agost 23, 1973, majambazi wawili wenye silaha aina ya machine gun, walivamia benki moja jijini Stockholm, Sweden. Mmoja kati yao ambaye Alikuwa ametoroka jela siku chache nyuma, Jan-Erik...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
60 Ways to Keep Your Husband’s Love Behave like a female, i.e. all the tenderness of a female–a man doesn’t want a man for his wife! Dress pleasantly/attractively. If you are a...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom