Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kenya leo wamependekeza sheria hii kuwa wewe kijana ukiishi na mdada ndani ya chumba chako kwa miezi 6 "USHAOA TAYARI" Wanakupa cheti cha ndoa. Je, changamoto nini hapa kwa nchi ye2 kuhusu hili...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
If you were to write a book about the loved one in your life, what Title would you give it?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
PENIS CAPTIVUS, WILLIAM OSLER'S CAPTIVATING PENCHANT Charles G. Roland, MD One of Osler's most provocative publications was the...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Sijawahi kusikia mwanaume Ana lalamika kuhusu mama mkwe ila wanawake wengi mama mkwe inakuwa kelele kwa nini?.mimi mama Mkwe wangu ananipenda ila sina mpango nae
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Mpaka sasa hivi I'm still shocked.paula alikuwa anamtishia maisha mwanamke mwingine ambae ni kimada wa petraus.sasa inakuaje mwanamke unajua wazi mwanaume Ana mke na wewe kimada una mume unaanza...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wana MMU, Ivi mume anapokuuliza maswali kama "Ivi mke wangu ukisikia nna mwanamke au nimeoa utajisikiaje'? anamaana anakutayarisha au anakuharifu au anakupima utakaposikia habari hizi? au...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Chama cha makahaba chasajiliwa rasmi ZAIDI ya makahaba 2000 nchini Malawi wameungana kwa ajili ya kupinga manyanyaso wanayoyapata na kuboresha mazingira ya afya, baada ya kuzindua rasmi chama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu msicha nimekua nae michezo yote ya utoto nimecheza nae! Ila alikuja kuwa Malaya sana baada ya mimi kuondoka hapo niliopo kua na kaa lakini habari zake zote niliambiwa na baadhi ya matukio...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Msiogope kunasana tena watu wananasua
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa: Toa maoni ama changia mada kuhusiana na hili: Mi ni Sistar zangu wa damu wa 3 tunashare Mama mmoja Baba tofauti, Mashallah wanajiweza baba yao amefariki akiwa safi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu? Kama uko single na hutajali naomba kampani yako, ni kamapani ya mambo yooote isipokuwa sex tu. Mambo kama kuhang out pamoja, kwenda church kama ww ni muendaji na kubadilisha uzoefu...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
mpenzi wangu haeleweki nikimpigia simu, tupange lini tuonane ananijibu kuwa hana muda siku nyingine anasema ana kazi nyingi mara anafua mara anaenda kanisani alimradi visingizio kibao :A S-baby:
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Niko pub flani ya maeneo ya home uku navuta mida.. Mara ghafla mmama m1 kambwagia jamaa watoto wawili m1 wa miaka 4 hivi wa kiume n mwingine wa kike mdogo ka mwaka na nusu hivi.. Jamaa alikuwa na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanawake walioolewa Kenya Baraza la mawaziri nchini Kenya linapendekeza mabadiliko makubwa kwa sheria za ndoa nchini humo ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu nimevumilia mwisho nimeshindwa wife hajaridi nyumbani toka jana aage anaenda mbagala kwa dada yake na kwenye cm hapatikani kabisa na hata dada yake anadai hakufika nimekumwa mwoga hasa...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Ni mama wa watoto wawili,nimeolewa miaka 8 iliyopita, lakini mwaka huu mume wangu akazaa na mwanamke mwingine kwa madai kuwa mimi sio wa kabila lake, ameondoka ndani kahamia huko anafanya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mstari mwembamba sana kati ya mahitaji na madai hasa kwenye suala la mahaba na unyumba. Mtu akihitaji (sana) mapenzi ila akawa hapewi basi huishia kudai na madai hayo ya kutendewa haki...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Mpaka David petraus huyu ni mzungu.mungu ibaraki ndoa yangu tobaaa
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Kuna ukweli wengine wake zao upenda vijana lakini ukijua ni mke wa mtu jihadhari hata kama anakupenda huu ni ushauri tu ingawa mida hii nimetumiwa msg na mmtu ati kuanzia leo ukihisi huyu mke wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani mimi nimempta demu wa kilangi.. ana sifa zote za kuolewa, ila kwetu wananiletea ngumu eti kabila lile si zuri kwa kuoa.. ukweli mie silifahamu kwani sikutaka mke kwa kigezo cha kabila.. ila...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Back
Top Bottom