wadau nisaidie nilikuwa na uhusiano na dada mmoja kitaa yapata miezi 5 sasa.tulipendana sana tena sana na alikuwa ananza kuchukua nafasi katika moyo wangu. ila kwa bahati mbaya mm sina kazi kwa...
Naweza kusema toka January hadi Dec.tutakapomaliza huu mwaka naweza kusema nimeshuhudia harusi za gharama nyingi zaidi tofauti na miaka iliyopita sijui kwa mwakani..hii inamaanisha nini?kwamba...
Imani nyingi zinasema kwamba ili uwe mtu safi (mtakatifu) inabidi usifanye ngono mpaka utakapoolewa au utakapooa. Na zingine zinasema usifanye ngono maisha yako yote. Hii yote ni kukandamiza...
Wakubwa zangu shikamooni
Peopleeeeeeeeeeeess
Hayawi hayawi sasa yamekua!!!!!!! ILE MMU LIVE TALK SHOW YA KIUTU UZIMA ZAIDI NA KUBWA KULIKO BABY ni ndani ya jamvi ijumaa hii saa NNE...
Kwa takribana mwezi mzima nimekuwa nikitafakari kuhusu kuanzisha kipindi kipya cha Hard Talk. Kipindi hicho kitajikita zaidi kwenye maswali magumu kuhusiana na Mapenzi, Mahusiano na Urafiki.
Hapa...
Wana JF,
Leo nilipata bahati ya kupita karibu na kituo cha polisi cha Chang'ombe, nikaona ni heri nipeleke gari langu pale kwa ajili ya kufanyiwa ukaguzi na ikithibitika liko vizuri basi nipewe...
Ilikuwa mida kama ya saa 4 usiku,tupo viwanja flani mi na rafiki yangu 1,
Simu ya jamaa angu ikaita akaongea kama dakika 10 hivi alipokata akaniambia,kuna demu ambaye ni mke wa mtu ananisumbua...
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?
Nilikuwa na mpezi hapo nyuma ila baadae yeye alikosa uvumilivu na kuamua kuolewa na mtu mwingine. Sasa ni mwaka mmoja tanu aolewe na mimi niko katika mchakato wa ndoa japo mchumba wangu nae...
((((((STORY FUPI YENYE
MAFUNZO )))))))
Nilipoingia katika mahusiano naye
nilimuamini, nikampa kila kitu
nilichoweza. Nakumbuka enzi zile
nyumbani tulikuwa tuna ngombe, niliiba maziwa kila...
Mwanaume mmoja aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka34 alifariki dunia wakati akipokea matibabu kutoka kwa waganga wa jadi baada ya uume wake kudaiwa kubakia umesimama baada ya kulala na Mke wa...
Vijana kabla hamjakurupuka kutaka kuishi na watoto wa watu kuoa muelewe maana ya mwanamke kuolewa.Heshima **** itapungua pale mkeo uliyemuoa anapoanza kukopa pesa na hata kuomba chumvi.kama huwezi...
Nilikuwa msomaji na mpenzi mkubwa wa gazeti la Jitambue ambalo kwa muda mrefu sasa halipatikani mtaani.
Katika gazeti hilo mambo mengi kuhusu saikolojia yalizungumzwa na kutolewa ufafanuzi.Moja...
Kwanza nianze kwa kusema sina hatimiliki na mtandao huu,na hivyo sina mamlaka ya kuanzisha ushindani wa aina yoyote ndani ya jukwaa hili na majukwaa mengine.
Baadhi yetu ni vijana wadogo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.