Tangu juzi niko kisiwani Mafia kwa mapumziko ya ldd nikiwa na chombo kipya. He is tall, black, mascular without a tammy belly.
Pesa anayo, mwerevu na mkarimu. Kitandani ni zaidi ya maelezo...
Samahani kwa kutuma hapa kwani nimeona wengi haawafungui majukwaa mengine zaidi ya hili
naomba wanawake na madada wa jf nendeni mkatembelee jukwaa la biashara kuna kitu kizuri nituma kwa ajili...
Leo nimesahau simu nyumbani.
Kwa kuwa kazi zangu haziniruhusu kutoka nimeshindwa kuifuata hivyo nimeona bora nimpigie kwa landline kumjulisha kuwa aniletee.
Alichonijibu kuwa eti, ni kwamba simu...
Naandika uzi huu nikiwa na mawazo sana na hapa nisaidieni kukoa jahazi na kurekebisha makosa yangu chonde jalini hisia zangu.
Mwanagu wa miaka 9 ni mvulana na alikuwa mara kwa mara anapigwa na...
Mum and Dad were watching TV when
Mum said, "I'm tired, and it's getting late. I think I'll go to bed."
She went to the kitchen to make sandwiches for the next day's
lunches. Rinsed out the...
Wasalaam wana MMU,
Ukiwa wewe ni mtu mwenye ndoa yako unayoipenda na kuiheshimu,upo katika pilika zako za kuitafutia ugali familia yako uipendayo,na jioni ikawa imefika upo mahali...
Most time I sat down thinking about this three subject in which all women must try to pass if she want to make a good wife.
The subjects are:- Cooking, Bed activities, Good character. Looking at...
Pata muda uone hii manenooo inavyo umiza.....Lol.....Najuuuuuta kuwafahamu...lol..!
Mmhhh duniani kuna mambo!!
Nilienda kumzika ibilisi wangu!
Ilikuwa ni ajali kubwa na hata mimi...
I want to know je,mwanaume anayekupenda kwa dhati utamjuaje....coz i dated two guys at different time and all of them walikuwa na lengo moja just sex.....
Habari wana MMU?
Naam, mwisho wa mwaka ndio huo na festival season yakaribia.
Huwa napenda kusafiri kipindi hiki, ila kwa sasa naona nimeishiwa plans.
Naomba kwa uzoefu wenu mnipe ushauri...
Kuna jamaa alitaka kumwumiza mpenzi wake kwa masihara. Kwakuwa walikuwa mbali mkoani alimwandikia barua mpenzi wake:
Nimepata mpenzi mwengine wewe sikutaki tena! Kwahiyo ile picha yangu...
Kwa wale wenye mapenzi ya ukweli na ukiwa na mpenzio cheki ( angalia you tube song by heather nova mwimbo unaitwa " london rain" .American version Kama haujisikii mbinguni na mpenzi wako wewe...
Jee unafahamu kuwa asilimia 41 ya wanawake hawazungumzi na mama wakwe zao. Mothers- in-law,
Asilima 41 hawana mahusiano mazuri na mama za wabwana zao. Hawazungumzi nao...
Mimi najua kuna weredi wa mapenzi zaidi yangu ila kwa leo nitaomba nieleweshwe kitu ambacho mimi kwangu kinanipa shida sana hasa pale unapokutana na mpenzi mpya!
Kwa kawaida upatapo mpenzi utakiwa...
Mwanzo wa mapenzi... kila kitu kinawezekana dini siyo tatizo, kabila siyo tatizo, utajiri/umaskini siyo tatizo, tofauti ya mitizamo kutokana na elimu siyo tatizo.. katikati ya mapenzi...Endelea..
USIKU WA MASHETANI
Mtu ambaye atakufa ndani ya dakika kumi aliishikiria briefcase yake vizuri huku akitembea kutoka nje ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere.Kwa mwendo wa...
Hallow wana JF,naomba kujuzwa kwa wale wenye uzoefu ktk uwanja huu wa mapenzi,wawe wadada au wakaka,eti ni kweli wanawake waenjoy zaidi wanapokuwa kwenye malavidavi kuliko wakaka?maana wapo...
Once upon a time, there was once a guy who was very much in love with this girl. This romantic guy folded 1,000 pieces of papercranes as a gift to his girl. Although, at that time he was just a...
Hiyo hapo juu ni sura ya mwanamke. Ni sura ambayo pengine umeshakutana nayo mahali au ambayo unaijua vizuri. Kama kuna mwanamke mwenye sura ya aina hiyo, ambaye unamjua vizuri au ambaye uko karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.