Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Katika maisha wote tuna siri zilizotuzunguka na mambo mbalimbali ya kifamilia pengine yanayotia kinyaa ambayo huwa tunatamani yasijulikane kwa wengine au labda yafutike kabisa. Lakini inategemea...
14 Reactions
58 Replies
7K Views
chei chei wajameni, Hili swala la kujenga urafiki na waume zetu,linakuwa rahisi muda gani?mana wakati mwingine father house hata kukuangalia anakuiba? yani yupo zaidi ya serious!
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari zenyu bana!inasikitisha kidogo,juzi usiku nimepokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ananishauri tuwe marafiki kama zamani.Nilijaribu kumtafuta nimuulize,nilimpata kwenye simu hakutaka kuongea...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
unachat na mpenzi wako...mambo yakawa hivi: wewe: hey mpenzi, unafanya nini?? mpenzi: aaahhh...niponipo tu darling mechoka kichizi najiandaa kulala hapa, vipi wewe baby? wewe: nipo club honey...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ndoto ya mvulana wa kawaida(an average boy) anayekua ambaye hajafungwa kimaadili na kiimani(not commited moraly&spiritualy) kuwa na msichana baada ya msichana kadiri atakavyoweza. Akitegemea...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Am asking this coz most of the time if a husband cheats he will blame his wife. He will say that his wife shouts at him even a small mistake or sometimes he will say that his wife doesn't care...
3 Reactions
197 Replies
12K Views
napenda msome maneno ya wimbo huu kwa makini....... Woman" I worked late but you didn't wait up My bones ache, I'm cleaning the place up Sometimes I don't even know why I care...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
jamani eeehh.....jifunzeni usafi na hasa hasa usafi wa sehemu special mwilini....wakati wa kuoga, jisafishe sana sehemu za marekani...tumia maji ya uvuguuvugu na ujichambishe.....sabuni nyingi si...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Kiukweli nimeona nilete hoja hii humu ndani tuijadili, kwanini wanaume wengi wamekuwa ni chanzo cha uvunjifu wa ndoa? kwa kawaida mwanaume anapoingia kwenye ndoa mwanzo humpenda sana mkewe na wala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Urafiki ni moja ya jamii katika maisha yetu ya kila siku na tunaweza kusaidiana katika matatizo mbalimbali yanayo weza kutupata na kuweza kuyatatua au kushauliana jinsi ya...
0 Reactions
4 Replies
954 Views
Nimekuwa na mawazo ya muda kuandika huu uzi ila mambo yalikuwa mengi nikawa nahairisha mara kwa mara leo ndo nimeona ni muda sitahiki sasa twende kwenye mada. Je unajua kama watoto ni zawadi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mke wangu anatabia mbaya hata kama anajua nimetoka kazini nimechoka akiniona tu baada ya muda ni hata kama anajua nimechoka hakuna kupeana pole kwa uchovu yeye atakachofanya ni kuanza kuniuliza...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
What are some of silly excuses that MEN give for not wearing condoms? Teh heee
3 Reactions
77 Replies
6K Views
nimetafuta JF mchumba imeshindikana ssa naombeni mniambie kwa Dar maeneo Gan ndo nntapata watu wanao jiheshim achana nawale wezi!niko serios Jaman!kazi zangu zinanifanya nakua bizze kupita kiasi...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Nashukuru sana jamii forums kwani imenisaidia sana katika mahusiano yangu bila jamii forums sijui msaada ningepata wapi pia nahitaji kujua mawasiliano hasa yale ya simu katika mapenzi yanaweza...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naombeni mawazo yenu, maana anytime kinaweza kikanuka. Moyo haupigi kwenye range zake za kawaida
0 Reactions
78 Replies
7K Views
:bange:Umepakana na jirani ambaye kwa macho tu anaonekana ni mwenye majvuno na visenti vyake uchwara....mnaishi uswahilini...... hafungui kioo cha gari yake tinted akirudi.... akitoka yale yale...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Utajisikiaje ukijua umemletea mwenzio UKIMWI au Magonjwa ya zinaa hali yeye alikuwa ametulia? Kama ni mama yawezekana alikuwa ananyonyesha na mtoto alizaliwa mzima lakini baadaye kwa kuwa bado...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi karibuni, kuliibuka tetesi kwamba mwanamme na mwanamke waligandana huko Temeke Mkoa wa Salidalama baada ya kusaliti ndoa zao. Jana niliskia kwenye redio moja kwamba kuna Mganga ameibuka...
1 Reactions
101 Replies
12K Views
Sijui au niseme sikumbuki kama jambo hili limewahi kujadiliwa hapa kwa mtazamo huu,kama tayari mnaweza kupotezea,kama bado tujaribu kuona kama lina manufaa kwetu Nimepata wazo kuwa,katika...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom