Salam kwenu nduguzangu, naombeni kufunguliwa macho maana nahisi mapenzi yamenifumba macho,mimi ninampenZi wangu tuko na miaka miwili sasa lakini kama miezi miwili ilopita mwenzangu kabadilika sana...
Habari wanajf
Mimi niko na tatizo , mpenzi wangu tuliyeachana hivi karibuni ameenda kudai vitabu hom, sijui ana maana gani na malengo gani kwangu coz si heshima mtu kwenda kichwakichwa kwa wazazi...
Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya...
Wadau,
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu suala hili. Je, ingekuwaje endapo Mwenyezi Mungu angetoa fursa ya kila mwanaume kujiumbia mwanamke ambaye hatimaye atamwoa ingekuwaje? Ungepewa wewe fursa...
Nusura niwe mtoto wa mitaani
Mazungumzo haya kati yangu na Yasinta niliyafanya Mnamo Machi 2009.
Ilikuwa ni siku ya ijumaa nikiwa katika ofisi yangu mpya iliyopo maeneno ya mjini alipita binti...
What do you love about your partner?
(1) lips.
(2) body.
(3) boobs.
(4) sex.
(5) appearance.
(6) his /her attitude.
( 7) Money.
(8) her /his character
(9) looks.
(10) the love...
habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa...
Wana jf,nina gf wangu ambaye alikuwa anakaribia kubleed,yaan akanambia karibu ataingia bleed na dalili za kubleed kaziona,sasa nika du naye bila kinga..saiv ananambia ana mimba..na ninavyojua...
Kila mwanaume anapaswa kujua nini kinachomfanya mwanamke/msichana apagawe kunako sita kwa sita, hali kadhalika mwanamke anapaswa kufahamu mambo kadha wa kadhaa ambayo akimfanyia mwenza wake...
Kwa wale wadada wanaopenda kuacha sehemu ya matiti wazi baada ya kuyatunisha!
leo ndani ya daladala moja ruti ya Kariakoo-Mwenge kupitia Sinza, napanda hili gari maeneo ya shekilango pale,
mara...
Mm ni msichana miaka 26 nina mpenzi ana miaka 28 tunauhusiano kama miezi minne tulizoea kuchat sana kwa njia ya message so kuna siku nikakosea kutuma text. hiyo message nilitaka kumtumia rafiki...
Nina Gf Wangu(anajitegemea) Ambaye Kiukwel Ninampenda Sana Na Ndio Maana Hata Aliponizuia Kuwa Nisimwage Wino Mpaka 2we Ktk Ndoa kwa Kuwa Yeye Ni Bikra Na Hakuna Anayeistahl Mpaka Yule...
jf naomba nifaham zaidi mana huwa najiuliza sana,hivi katika kufanya sex hawa akina dada wanapata hutofauti gani wanapokuwa wanafanya ngono na mwanaume aliyetahiriwa au asiyetahiriwa? licha ya...
Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka...
Naona haya maswali ya ndoa ni too much Wana JF wenzangu, ambao mpo kwenye ndoa, kila ndoa ina matatizo yake kikubwa ni uvumilivu tu, hebu jaribu kufanya zoezi hili
Tafadhari chukua glass ya...
Ndugu wana MMU na wadau wengine wote wa jukwaa letu tukufu,
Toka tulipoanza mwaka huu wa 2012, niliahidi kwamba nitajaribu kila ninapopata nafasi kutoa maoni na ushauri wangu wa jinsi ya...
AJUZA mwenye umri wa miaka 70, Asha Omary mkazi wa Cha Ngedere, tarafa ya Ngerengere wilayani hapa, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mumewe, Rajabu Athuman (70) kwa kinachodaiwa kuwa...
Mume wangu nakupenda sana, ujilinde, mimi siwezi kukulinda au kukuchunga kila uendapo, unaweza ukawa kuna mambo unayafanya ambayo mimi hutaki niyajue na wala sitaki nijue, Tafadhali sana lolote...
Unaweza kuelezeaje uzuri wa huyu mwanamke? Kwani naamini uzuri ni sehemu ya mapenzi. Ukipishana naye njiani utageuka mara ngapi kumwangalia, utachukua hatua yoyote?