Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

jamani leo naomba msaada juu ya hili. Mimi ni kijana wa kiume kwa sasa nipo dar ila najipanga kwenda sehemu fulani. Tatitizo langu ni kuwa siwezi kudumu na wanawake mara zote napokua mbali nao...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
ndugu nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka 5 maisha yalikuwa mazuri sana. Tatizo limeanza mwaka mwanzoni pale nilipopata ugonjwa usio eleweka. Ghafla hali ilibadilika maumivu yakianzia kwenye unyao...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Dear JF: Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote. “Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Hlw JF Naombeni mchango wenu utakao nisaidia kuishi na mtu mwenye roho mbaya....(Asie penda maendeleo ya mwenzie)
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Habari wana JF, Naombeni msaada wa mawazo katika hili wandugu. Kuna jirani yangu ambaye mara nyingi nikienda kazini huwa nampa lift. Yeye anaishi na jamaa yake ambaye pia tunaheshimiana sana...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Wadau wakati mwingine katika maisha tunafanya mambo ambayo ukikaa utulie unajiona mpumbavu na kutoamini kama kweli ni wewe umefanya au ulirukwa na akili. Mkasa ulio nikuta ni matokeo ya uzembe...
16 Reactions
189 Replies
15K Views
Nilikua nampenz 2medum like almst a year, bt akaanza visa anaweza asipokee sim wala kujibu sms..jana kaniambia ukweli kwamba me and him we kant copy and becoz i was a gud gal to him akawa ana...
3 Reactions
219 Replies
15K Views
SILENT LOVE____________USIIPITE BILA KUISOMA!!!! Venue Chuo kikuu cha Dar es salaam 1st year nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita...
23 Reactions
59 Replies
5K Views
Umeoa siku si nyingi, kila siku mkila chakula cha uzima mama watoto wako anakwambia "mi bado", mzee unajitahidi tena na tena, lakini kauli ya mama watoto bado ni ileile. Baada ya siku kadhaa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hi MMU members Misunderstanding comes about when we confuse sex with love. Sex is part of love but it is not love. Sex is a temporary desire. You can probably have sex for 15 minutes or 30...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Hivi mwanamke anajisikiaje anapovaa wigi kushonea human hair na blah blah zingine kama hizo.. Je anamdanganya nn au anajidanganya mwenyewe?? Na wengine kwa kufuata mkumbo wanabandika nywele...
2 Reactions
65 Replies
12K Views
Jamani hata kama wametutenda tusiwaaibishe hivi waume zetu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu huwa ananiazima gari kwenda kwenye shughuli zake. Lakini kama mwezi umepita gari ilikuwa haifungi boneti, nikamwambia hawezi kutembeza kwani boneti haifungi. Akaniambia haina...
0 Reactions
74 Replies
5K Views
Eti akivaa kofuli anawashwa jamani kama sio kutuharibia tu swaumu tuje kumfuturu bure AUNTY LULU: ALIYEFUNGASHIA - Global Publishers
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda...
6 Reactions
242 Replies
45K Views
naomba wana jf mnisaidie njia ambazo zitanisaidia niishi peke yangu bila boyfriend coz kila nikiwa kwenye relation naishia kuumizwa.
0 Reactions
73 Replies
13K Views
UTASEMAJE MME WAKO ANACHOKONOLEWA ANAJUA MAANA YA KUCHOKONOA! MAIMARTHA: WAMESHAANZA KUMCHOKONOA MUME WANGU - Global Publishers Na Gladness Mallya MTANGAZAJI wa Kituo cha Runinga cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Is it in yet? 2. Is that it? 3. You look better in the dark. 4. Oh, this is much better than with my ex. 5. Could you hurry up a bit? I have to go to a meeting. 6. Hurry up, the game...
2 Reactions
55 Replies
7K Views
  • Closed
Ndugu zangu naomba mniambie sifa au tabia za wameru kila mmoja kwa nafasi yake na mtazamo wake. nauliza kwa sababu nimemsikia mtu akisema yeye hawezi kukaa na wameru hata sekunde akaulizwa na...
0 Reactions
128 Replies
61K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…