Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Unajifanya wa maana sana kwenye mabandiko yako wakati ukweli wa mambo wewe ni tapeli tapeli. Hiyo tabia ni mbaya sana kwa sababu mwisho wa utapeli ni aibu. Watu wanakusaidia kwa nia njema...
4 Reactions
80 Replies
6K Views
mara nyingi saana napata wapenzi ambao napenda kuwafanya wachumba lakin cha kushangaza ni kwamba hawajiweki tayari kwa ajili ya ndoa je hii nayo nashindwa kujua mchumba anakuaje? kama haanzii...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Habari zenu waungwana. Leo nimekumbuka kisa cha siku nyingi kidogo. Ni binamu yangu ambaye aliolewa na jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi POSTA na SIMU kabla hazijajitenga. Siku moja...
1 Reactions
66 Replies
13K Views
AMA KWELI DUNIA YA LEO SIYO KAMA TUIJUAVYO: Nelson Mandela's grandson humiliated in love triangle scandal with French bride he broke the law to marry Nelson Mandela's grandson and political...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
hivi hawa watu wanaojizushia vifo ni kwamba wanataka kujua thamani yao kwa jamii,umaarufu wao au ndo kwamba uwezo wa akili kufanya kazi umefika mwisho
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Nilimpenda dada mmoja cha kushangaza tangu nimwambie i lv u, amekata na mimi mawasiliano sim hapokei, wala sms hajibu naumia sana bcoz nampenda mpaka najuta kwanini nisingeendelea na msimamo wangu...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
69 0 0 Emotions go hand in hand with sex. When someone is feeling vulnerable, insecure or pressured they might resort to sex...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba ushauri wenu Maswali yote yatajibiwa..? Miaka 10 iliyopita niliwahi kuwa katika mahusiano ya mapenzi na kaka X nikiwa school Baada ya shule tukapoteana yeye alienda nje na sisi kama...
6 Reactions
99 Replies
6K Views
Waziri wa masuala ya jamii wa Malawi, Patricia Kaliati Friday, May 07, 2010 3:38 AM Malawi nchi ambayo ina idadi...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Hadi leo naona kama ndoto.............! (Picha haihusiani na habari hii.) Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1991 wakati huo nikiwa nafanya kazi kwa mtu binafsi, Muasia mmoja. Nakumbuka katika mojawapo...
27 Reactions
51 Replies
5K Views
Za leo?i hope wote ni wazima wa afya...nashindwa kuelewa binadamu wa siku hizi tunafikiria nini.Siku hizi kuna tabia ambayo imekua sugu tena inakera.Unakuta watu kwenye mitandao ya kijamii na...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Lee Harvey akiwa na mpenzi wake Tracie Andrew Tracie Andrew akiongea na waandishi wa habari kuelezea tukio hilo Hata hivyo alitiwa nguvuni akituhumiwa kwa mauaji hayo Maureen Harvey, mama...
7 Reactions
22 Replies
5K Views
Hivi ni sahii kwa mwanaume wako kukwambia I love u kila anakupigia simu?? Maana mpka mtu unakuwa na wasiwasi!
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari ndg zangu wadau wa JF, ndg zangu ni takribani miaka miwili ss naishi na mwanamke ambae nilizaa nae tangu mwaka 2006 kabla sijajiunga na chuo kikuu, baada ya kumpa ujauzito niliamua...
0 Reactions
75 Replies
9K Views
Ushawahi kuwa na mtu mwenye infatuation na wewe? Usiombe uwe naye. Tena kwa mfano wewe ni mkaka mtu mzima halafu uwe na kasichana kadogo (kiumri) ambako bado hakana tajiriba kubwa ya mambo ya...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Je ni vizuri kua na usiri katika mambo unayofanya kwa mwenza/mke/mume/mchumba?Mambo hayo yanaweza kua ya kifedha,kikazi,kimampenzi ama ni sawa kua wazi kwa kila jambo unalofanya ama...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenyu wadau,long time sijatupia uzi ila leo ninao,tusaidiane!! Kuna binti rafiki yangu,tumefahamiana kitambo sana hivyo awapo na lolote huwa ananishirikisha,tunaishi mji mmoja!!aliisha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Anderson Cooper's next set of tough questions could be reserved for his long-term boyfriend Ben Maisani after pictures of him surfaced kissing another man. Maisani, 39, was spotted in a close...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
mi ni graduate,ktk kutafuta Kali nimeshapatwa na masahibu mimi had nashindwa nifanyeje,yote ya kutakwa kimapenzi.hivi hay yataisha kweli?coz naona kama nimejichokea kwa sasa,
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya baba yake kukataa binti yake kutolewa posa yangu kisa bado mdogo (22yr), mzazi huyo kaja na mpya anaitaji kwanza niende kwao waweze kunifahamu na hii ni baada ya binti kushinikiza...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…