Eti mila potovu Tanzania zawanyima watoto haki ya kupata lishe ya maziwa ya mama, je wanaume wanapaswa kunyonya maziwa ya wake zao wakati wakiwanyonyesha watoto?? Mila za wanaume kunyonya maziwa...
Jamaa alianza kwa kuomba opinion kama hivi ( bila shaka huyu jamaa ni black)
who="Gardenz"]Yesterday my colleagues had a discussion about rich and famous black / coloured men and how "angry"...
Niliwahi kumnasa mwanasaikolojia fulani anasema"the great the distance the great the love" akimaanisha kwa tafsiri isiyo rasmi kuwa, jinsi wapenzi wanavyoweza kutengeneza umbali flani kati yao...
Jamani mi napenda kujua, na mtu yeyote anaweza toa mawazo wake hata kama hajaoa bado. Hivi kutoka nje ya ndoa ( kuwa na mpnz mwingine nje ya ndoa) kunasababishwa na nini?? na kwanini cku hizi...
Wana jf
mimi ni kijana naishi Arusha na nafanya kazi kwenye shirika la kigeni na nina miaka zaidi ya 35. Nahisi nimekuwa sina bahati kwani wanawake wote ninao tokea kuwapenda huniambia kuwa...
Habari wakuu,
Kama mtakumbuka mnamo tarehe 10 mwezi mei mwaka huu mnamo saa tisa na dakika 50 nilipost thread ya kutafuta mchumba. Ingawa zoezi lilikuwa gumu sana lakini napenda kumshukuru...
Mama mmoja mwenye asili ya Kondoa,ana binti msaidiz wa miaka 15,anamnyanyasa sana huyu binti,anampiga mara kwa mara,na mbaya zaidi huwa anampa mtoto afuwe had nguo zake za ndani,kwa kweli huu ni...
Nina ujauzito wa miezi saba na nusu sasa.
Leo nikiwa saluni kutengeneza nywele , kuna dada kaja na mpya ananiambia eti kitovu ni hatari sana.
Kikiwa kinakatikia kikimdondokea mtoto anaweza kuwa...
Juzi rafiki yangu kaniomba nimpe ushauri kwenye suala hili hapa!
Mtoto wa rafiki yake inasemekana ameiba nguo ya mtoto wa jirani na kuiuza. Na hapo alipoichukua hawapati na hiyo familia na hiyo...
Wana JF,
Mimi ni mtanzani Halisi na nimempenda msichana toka Moshi kibosho ILA naambiwa na wazazi wangu kuwa wasichana watokao huko ni hatari.Naambiwa si sahihi kuoa msichana toka kibosho INGAWA...
Nikiwa Chuoni mwaka wa pili, semester ya kwanza a.k.a semester ya 3, ilitokea classmate wangu wa kike alikuwa anafunga ndoa. Na mie kwakuwa nilikuwa foreigner nikawa wa kwanza kupata mwaliko...
Mimi ni kijana mtanashati mwenye moyo wa upendo pamoja na ukarimu, nimeona vema kumtafuta mchumba kwa njia ya mtandao huu wetu kwani ni sehemu ambayo wengi wapo ktk uhuru na kujiamini zaidi. Hivyo...
Hivi jamani ningependa kushare jambo hili. Jamani ni sahihi kwa watu wanaesema wanapendana kufanya mapenzi chochoroni na je ndo inajenga heshima ukizingatia chochoro si sehemu ya stara. Nawasilisha
Nilikuwa na msichana mmoja niliunganishiwa na dada yake na huyo msichana,sasa siku ya kwanza kukutana siu ileile yule msichana akaniuliza nimevutiwa na yeye ama hapana mimi nikakubari nimevutiwa...
Mimi ninakaa na mwanaume ambaye kwa sasa nimeshazaa naye watoto wawili mapacha wanamiezi minne, kabla ya ujauzito mapenzi yetu yalikuwa motomoto lakini baada ya kubeba mimba mwanaume huyu akaanza...