Nimueleweje huyu mke wa jirani yangu. Mimi nimeoa na pia familia zetu ziko karibu sana ila simuelewi jirani yangu. Siku hizi anavizia nikiwa natoka asubuhi akisikia gari anatoka getini na...
Am 24 na my girl 21
Nampenda na cna mashaka juu ya mapenz yangu kwake. Nimejiuliza mara nying kikaona kiukweli nampenda mzur sana hasa tabia. Tatizo yupo serous anataka ndoa huwa tuna shindanaga...
http://www.youtube.com/watch?v=9OXCStY7yXI
Nimesikitishwa sana na taarifa hii, kama una PC waweza fuata link hii hapa chini na kuona jinsi Najiba (22yrs) alivyouwawa kwa kupigwa risasi mfululizo...
Wadau,
Assalaam Aleykum ! Wewe ndugu yetu sote ni (ummat wa Mohammad) angalia mwenendo wa mkeo, kidogo si mzuri kuna Ofisa anaiharibu ndoa yako ni muda sasa. Fanya uchunguzi wako taratibu ...
inakuwaje mwanaume anashindwa kuelewa hisia za mpezi wake, yani huyo mvulana anajifurahisha mwenyewe mkiwa katika tendo lile, unamuonyesha kila dalili kwamba hujaridhika ila bado, unaongea kwa...
Kuna mdada alikuwa anamwambia mwenzake "Mi mwanaume awe handsome tu inanitosha na mambo fulani safi basi ili nizae watoto wazuri, Tabia wala sitajali sana sababu wanaume wote tabia zao...
Umetoka nyumbani na mkeo, bahati mbaya mkeo kasahau pete yake ya ndoa. Mnafika mahali mmekaa we simu ikaita ukatoka kidogo kwa sababu ya kelele uliporudi ukakuta kuna jamaa anamtongoza mkeo...
jamani,me mwenzenu nina hii hali huu ni mwaka wa 10 sasa,kuna dada nampenda sana but suprisingly yeye anampenda mtu mwingine.nisaidieni mawazo mwenzenu niondokane na hii hali wakuu.
Habari zenu wana Jf
Leo nataka kushea pamoja na nyinyi mkasa flani ambao uliwahi kunitokea katika maisha yangu'
Nikiwa nimetimiza miaka 26 miaka ya nyumba niliamua kuowa,kwa kweli mimi na...
wana jf mimi na girlfrnd wangu tuna miaka mi tatu sasa,na katika mtandao fulani wa kijamii amekua akilitumia jina langu miaka mi tatu,hapo juzi ananiambia anataka badili jina aweke her real...
Habari zenu wana JF.
Hili jambo linanitatiza sana, nimeona leo niliweke hapa ili niweze jua na kupata pia mawazo yenu, mwanaume akipata gf mpya anamtusi yule wa zamani, tena baada ya muda...
Even if youre not feeling fly like Bruno Mars, try and act like you are, but dont try too hard, because thats obvious and a turnoff
We hear a lot about confidence as a key factor of...
Nimegundua dada zetu wa ki Tz wanavutiwa sana na wanaume wanoongea Kiingereza...haijalishi wa nchi gani.
Pia huwa ni vigumu kukataa kama wakitongozwa kwa kidhungu.... ndo maana wakaka wa kikenya...
Mimi ni msichana nina 26 years, nina boyfriend wangu tumeanzana tokea chuo lakini huwa haonekani kunijali ananitafuta akiwa na shida zake za............, nilimsemaga akajirekebisha kidogo, badae...
Haya intimate names kama bby, b, d, darling, swry, kpnz, swthrt, na mengine meeeeeengi.....unaweza yatumia kwa mtu yeyote yule regardless ni mwenzio wa moyo ama la?!?!
gf wangu anatumia sana kwa...
Heshima yenu wakuu....
Jamani mimi nakuja kwenu nikiomba ushauri wa namna ya kuishi na watoto wadogo hasa hawa wanaojifunza mambo mbalimbali. Kuna wakati watoto wanaweza kukuaibisha mbele ya...
Mwanzoni nilikuwa najiuliza kwanini asilimia kubwa ya Mabibi harusi huvaa gauni jeupe na si vinginevyo?katika kutaka kujua hilo;nikawauliza baadhi ya watu na majibu yao yalifanana,walisema...