Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

habar zenu waungwana. naomba niwaulize kaka zangu, hivi mnapo sema 'sitaki kuwa na uhusiano na mwanamke yeyote' hasa baada ya ugomvi na mchuchu wako huwa mnamaanisha? Kuna dadanataka kuenda...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ilikuwa ni mwaka 1999 baada ya kuwa nimetumikia shirika la umma kwa takribani miaka 20 nilijikuta nikiwa miongoni mwa wafanyakazi 70 wa shirika hilo tuliotupwa nje ya ajira kwa kile kilichoitwa...
13 Reactions
36 Replies
8K Views
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume. Katika kuiwasha akagundua ndani ya cd drive kuna VCD ku play ni ya picha za...
0 Reactions
54 Replies
12K Views
Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa na ambao wanataraji kuoa na au wanaotaraji kuoa lakini wanakatishwa tamaa na story nyingi hasi kuhusu ndoa. Nimeandika haya kufuatia mazungumzo na baadhi...
9 Reactions
85 Replies
7K Views
habari za jumapili wapendwa, natumai wengi wetu tumetoka church na wengne tumepumzika na kuna wengne wapo mzigon km mie hapa. nisiwachoshe. . . nimewahi kukutana na baadhi ya akina baba...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana... nauliza inawezekana kumfanya aliekua mpenzi wako kuwa rafiki yako wa karibu wa kumuomba ushauri katika mambo mbalimbali ikiwamo masuala ya mapenzi? tiririkeni tu mi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Siku moja kulikuwa na bendi moja ya taarabu wanatumbuiza eneo fulani,mimi si mpenzi wa taarabu ila kwa kuwa siku nyingi sijaenda mziki kutokana na mazingira nikaamua kwenda kuburudika.Katika usiku...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
If you love her, cry a river, build a bridge, cross it and get her.”
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo nimeamua kuwaandikia barua dada zangu ambao wanatamani sana kuwa na mahusiano na wanaume lakini kwa bahati mbaya hawajabahatika kumpata anayewafaa. Kwa wale ambao wanaona kama muda unayoyoma...
11 Reactions
38 Replies
5K Views
To all the girls I've loved before Who travelled in and out my door I'm glad they came along I dedicate this song To all the girls I've loved before To all the girls I once caressed And may I say...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwanza napenda kuwapongeza na kisha niwape moyo, Kuoa ndio ishara ya dhati ya uanaume na pili ndio sifa halisi ya mwanamme mpiganaji, kuoa kuna kwenda na responsibilities nyingi sana, tena nyingi...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
AMFUMA MKEWE AKIZINI NA MTOTO WAO, AWAUA AMA kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni! Msemo huu unakwenda sambamba na tukio la hivi karibuni la mkazi mmoja wa Kijiji cha Nghoboko wilayani...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
2 Reactions
66 Replies
11K Views
What do you want in a relationship?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
LOVE is the strange bewilderment which overtakes one person on account of another person and LOVE can't endure indifference.it needs to be wanted.like a lamp,it needs to be fed out of the oil of...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
.,habari zenu wana jf. nauliza kina kaka mkiacha kuangalia tabia, muonekano nk. kwa msichana, je ufundi wa mapishi jikoni huwa mnatilia maanani? au mnatizama sura tu, makalio na guu la bia
7 Reactions
73 Replies
6K Views
Ni mwaka 2011 kuna rafiki yangu niliefahamiana wakati nilipoenda Kigoma. Baada ya kusita kwingi akanihadithia kisa chake kinachomsononesha mpaka leo. Aliishi na mke wake kwa muda wa miaka 3 na...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Utamchukuliaje mpenzi wako anapomtreat mtu mwengine wa jinsia tofauti vyema na kwa ukarimu zaidi kuliko anavyokutreat wewe?
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna njia mpya inatumiwa na vibaka na wezi wa magari kutoweka kwenye mkono wa sheria kutokana na uhalifu wao. Wanakusanya vocha zilizotumiwa pindi wanapotelekeza gari au kutupa miili ya watu...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…