Habari zenu wadau? Poleni na mihangaiko ya kimaisha!
Wadau, wiki jana nilikuja na mada hapa jamvini kuwa mchumba angu hataki kutoa kitu hadi siku nikimwoa.
Lakini nimegundua kuwa anaendelea...
Imemkuta jamaa yangu juzi. Alimuona dada mmoja jana maeneo ya fire anasubiri usafiri wakati anamuacha mshokaji wa ofisini pale. Yule dada alimfata na kumuomba msaada kwa madai kuwa anashuka...
Nazungumzia kuingia kwenye penzi kwa mara ya kwanza halafu ukapenda kikwelikweli.
Ilinitokea tena nikiwa na miaka 18..nilimpenda sana huyu binti, sidhani kama kuna saa ilipita bila...
Habari zenu wakubwa ... nina swali moja dogo tu la kuchangamsha ubongo na kujua maoni yenu kwani kuna maamuzi magumu yanatakiwa yachukuliwe ..
My question simply is -
In your hand is a box full...
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi...
Onyesha unampenda mwenzio hadharani (watu waone). Msijifichefiche. Mfano utakuta wanandoa wanapoongozana mume au mke katangulia mbele kama mita 5, hii si nzuri kabisa kwa afya ya ndoa.
Wanabodi mnisaidie....!kuna dada mmoja niko nae katika mahusiano sasa inafikia mwezi..huyo dada ana mtoto mmoja amezaa na kaka mmoja yupo mkoani..ila tokea alivyo mbebesha mimba jamaa...
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo...
Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote. Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa...
Hapa mtaani kuna baba dume zima, baba mwenye watoto wawili kakabaka katoto ka miaka 12.
Baba huyo kakamata katoto kakitoka bombani kuteka maji, maji huanza kutoka saa 4 kamili hadi saa 8 usiku...
natumai wote ni wazima wa afya.hivi ni kwa nini mahusiano either ni wachumba au wako kwenye ndoa wakiwa mbali na mwenzie mwanaume anapocheat inaonekana siyo ishu lakini inapotokea kwa mwanamke...
Ndugu wana JF kwanza kabisa poleni na majukumu. Shida yangu ni hii, mimi ni mwanaume, mwaka jana mwezi wa 12 nilikutana na mpenzi wangu humu jf, tukafanya mawasiliano tukafahamiana vizuri...
Imekuwa ni kawaida sana kwa pande mbili hizi zinazoshutumiana lakini at the same time zikihitajiana sana. . . . . . . . . . . . . . . . . . , . . . Wanawake na Wanaume,yakimfika mwanaume atalaumu...
Naomba kupata mawazo yenu
imekaaje kwa mwanamke 'kumhonga' mwanamme?
Nadhani nimeishi kwenye jamii amabayo mwanamme ndio 'breadwinner' na ndio inaonekana halali hata yeye kumhonga mwanamke na si...
TBC1 wamerusha habari kuhusu tukio la ajabu sana, ambalo linahusisha ukatili wa hali ya juu. Nasra Mohamedi mkazi wa Bunda, Mara amelazwa hospitali ya Bugando baada ya mume wake kumfanyia vitendo...
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume...