Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Unamchunuku. Anakuchunuku. Ila ndio hivyo tena mlichelewa kukutana. Lililofungwa mbinguni limeshafungwa na duniani.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
mama na mtoto wameuwawa baada ya kukutwa wakijamiiana wilayani meatu mkoani Simiyu, Tukio hilo lilitokea saa saba ya usiku juzi na mme wa marehemu kuchukua jukumu la kuwachinja chinja na kisha...
0 Reactions
65 Replies
17K Views
mimi ni mwalimu wa chuo cha biashara hapa DSM. Mwanzoni nilidhani ni tamaa za kiume tu...lakini kadri muda ulivyokwenda nilihisi nampenda.... Siku baada ya siku huyu mtoto anazidi kuiteka...
4 Reactions
122 Replies
14K Views
Jamani kuku kamaliza debe la mahindi,Niliaaza taratibu kumlushia mbegu za mahindi nilishutuka debe limekwisha ,hivyo hivyo kamaliza debe la karanga.Kuku huyu sasa kanenepa sana kapendeza sana na...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Hamna ubaya wowote mtu kuwa karibu na jiraniye maana ukaribu huo unaweza ukazaa urafiki sawa na undugu ukapata mtu wa kusaidiana nae. Anyway kuna ambalo mie nimeshindwa kujua nia yake kwahiyo...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
dah! inaniuma sana nilipata boyfriend na nikampenda sana kumbe ana mke na mtoto mara ya kwanza aliniambia kuwa ana mtoto ila haishi na huyu aliyezaa naye nikamuuliza sababu akasema kuwa huyo...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwa siku za hivi karibuni, tumekuwa tukishuhudia sehemu kubwa ya mahusiano yanayo wahusisha vijana hatima yake huwa ni machozi yanayoambatana na maumivu ya majuto. Je, tunakuwaa hatuufahamu...
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Habali za wakati huu wana JMF naomba mnisaidie kati ya haya maswala Nitalitambua vipi penzi la kutoka moyoni na penzi la kutoka kwa mganga Maana wanaume wengine unakuta anafanya kazi zote za ndani...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Hivi ni kwa nini siku hizi watu wengi hasa vijana wa kike na kiume wamekuwa na mazoea ya kuishi kama mke na mume ilhali hawajaoana? Mara nyingi kisingizio ni 'mpenzi' wangu. Utasikia kijana...
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Mtu mmoja amefariki na wengine 40 wakiwa wamelazwa hospitali baada ya kula ubwabwa nyama na kunywa togwa kwenye mnuso huko Iringa. Inasadikiwa kinywaji au mlo ulikuwa na sumu. Source: Francis...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukweli husemwa: Sorry darling, I just can't help it: ​How scientists have found out the real reason why many men fall asleep after sex It's a problem that leaves many woman frustrated, but...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU? Mimi ni dada ambaye nimepata mpenzi kama miezi mitatu hivi imepita. Kitu kinachonifanya niombe ushauri wenu ni kwamba, huyu kaka kwanza mawasiliano yake sio mazuri ni mpaka...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
habari! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 34, ni mwanafunzi wa Masters katika chuo kimoja hapa nchini. Nimehitimu chuo kikuu UCLAS (kwa sasa Ardhi University) mwaka 2008.Wakati nipo chuoni mwaka...
0 Reactions
153 Replies
14K Views
Inaweza kutokea kama ajali tu, hujawahi kumwambia kuhusu mwanaume uliyeachana naye miezi kadhaa iliyopita baada ya kudumu naye kwa muda mfupi sana katika mapenzi yenu kutokana na kukumbwa na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wanaume ambao wameshakuwa na mahusiano at least zaidi ya matatu watakuwa mashuhuda wangu hapa sababu najua kwenye hizo break ups lazima utakuwa umeshawah kukutana na haya maneno!."hutapata...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
one friend of mine boyfriend wake kampa mimba another gal,its the second time anampa mtu mimba the first time alimsamehe,yupo dilema.wenye ushauri karibuni my other friend kampa dem wa sekondari...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kiukwel napenda sana kampan ya wanawake wenye wapenzi. Sipend singles wala wake za watu, bali wenye maboyfriend! Tena napenda zaidi wanawake ambao ni nyumba ndogo za wanaume wengine! I mean...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Ukweli husemwa: A lesbian couple who had their two children by the same sperm donor has spoken about their heartbreak as the father of their son and daughter destroyed their dream of a large...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau, habari, kuna maswali kadhaa ambayo ningependa tujadili......... watu hukoseana katika mahusiano, tena inafikia hatua mpaka kuachana (sababu ya makosa hayo). kwa mfano makosa kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naibu spika wa bunge baada kipindi cha maswali na majibu ametambua uwepo wa watoto wa Dk. Wilbroad slaa aliozaa na mke wake wa zamani Mbunge viti maalumu Mh.Rose kamili kupitia CHADEMA
3 Reactions
105 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…