Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Asalam aleykum........wadau na wapenzi wa MMU. Leo ikiwa ni siku nzuri tumeanza mfungo wa mwez ramadhani basi tumwombe Mungu atufanyie wepesi na atusamehe dhambi zetu zote ndogo kwa kubwa...
6 Reactions
73 Replies
5K Views
Najaribu kutafuta neno gani la kitaalamu litakufaa silipati naona shizofenia halifai.Yani kaka mada zako huku ni ke tu mara wanawake wanene mara cjui niini,na kama umegundua karibu zote unaishia...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wanabodi, nadhani wengi mtakumbuka kuwa taarifa za vyombo vya habari hasa magazeti zilitueleza kuwa ndoa ya Slaa na mchumba wake (Josephine) imepangwa kufanyika Julai 21, 2012 yaani leo hii...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.“Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
DEMU anasoma chuo cha Mipango pale Dom, ni mwenyeji wa Mbeya mwenye maskini Pwani alitongozwa na jamaa mmoja wa mjini, jamaa alikuwa na mipango mingi na huyo nyapu, kumbe Rita wala hakuwa na...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Hivi wanaume wanaaomba penzi na kukataliwa kisha kuchukua uamuzi wa kumtafuta mtu ambaye ni mpenzi wako na kumpiga mkwara kwamba achana na binti/mwanamke fulani kwani ni demu wangu wanakauwawaga...
1 Reactions
94 Replies
7K Views
Poleni na mfungo kwa wale waislam! WanaJamvi..ni kawaida katika Mahusiano ya Mapenzi kuwa na rabsha za hapa na pale. Na mara nyngi rabsha hizi huwa zinatokana na hisia za uwepo wa udanganyifu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wanaume na wanawake
0 Reactions
16 Replies
1K Views
KUWA na fedha au elimu zaidi ya mwenzi wako, sio tiketi ya kumfanya asiwe na raha kama ambavyo wamekuwa wakifanya baadhi ya watu. Wala kutokuwa na fedha au elimu ama umaarufu haina maana kwamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unakuja asubuhi mapemaa tena wikend. Umelala kwa mapumziko ya hekaheka za Ijumaa usiku halafu mtu anakugongea na kuanza kukupigisha story nyiingi zisizo na kichwa wala mguu!!! Hata kama mapenzi...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
maana mwana mke akiwa na umbo namba nane watu husifu sana. pia kilichonisukuma zaidi niiulize jamiiforums nilipanga tarehe 16 mwezi 8 nimvishe pete mchuba marafiki zangu wakasema sio siku nzuri...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake. Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni...
16 Reactions
148 Replies
12K Views
I dont regret my past i just regret the time i have wasted with the wrong people. .
2 Reactions
47 Replies
3K Views
wanaJF habari... jana nimekaa na wadau wangu tukitafakari hili na lile..ikiwa ni pamoja namajanga yanayoendelea kuangamiza watu kila kukicha.....lakini maisha lazima yaendelee...watu lazima...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Katika hali inaonesha kutolidhika na pingamizi aliloweka mwaka 2010 dhidi ya Dr Slaa kumchukulia mke wake Mr Aminiel Mahimbo akiongea na gazeti la Rai amesema anapeleka pingamizi kwa Pengo ili...
0 Reactions
162 Replies
12K Views
For all concerned JF members wishing you health, prosperity, and happiness during Ramadhan and throughout the next year and beyond.
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Habarini wana jf..mimi kuna swala linanitatiza hasa kwa watu wenye imani za dini zenu naomba mnifafanulie hili..Hivi kumuoa mwanamke ambae umeshaishi nae kinyumba linaruhusiwa katika imani yako?au...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kesho jumamosi mfungo unaanza, so leo ni kuvunja jungu. Bila shaka leo... Gesti, na lodge zitajaa kabla ya saa 10 jioni (but zitakuwa wazi saa 4 usiku!) Biashara ya kileo itachanganyia Biashara...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu wimbo ulitoka mwaka 1999/2000. Je, kinachoimbwa humo kimewahi kukutokea? Tuchangie tajiriba zetu kipindi ulipobamba...je ulikuwa wapi? Ulikuwa ushavunja ungo ama kubalehe? Ulikuwa kwenye love...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom