Wanawake wote wana uwezo mkubwa sana juu ya wanaume tatizo kubwa wanawake wengi wameshindwa kutumia uwezo wao na ushawishi wao kuhakikisha anamuweka mwanaume sawa na kufanya vile anapenda kwa...
Ukiwauliza dada zetu wangependa kuolewa na mwanamme wa aina gani? Wengi watakujibu kuwa wanapenda mwanamme mwenye msimamo thabiti kwenye maamuzi yake. Lakini cha kushangaza ni kuwa pindi...
Nimekutana na mjadala huu mahali.Katika mjadala huo mjadala ulikuwa,je baada ya kufunga ndoa ni wakati gani ulikua unapata usingizi mzuri usiku? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Je kabla ya...
Ubaguzi wa rangi ni jambo linalochukiwa na wengi wa watu walio na akili timamu. Hata hivyo, katika nyanja nyingi linahalalishwa bila wengi wetu kuelewa. Kwa mfano, kwa nini Obama anasemwa kuwa...
The moment Dennis Rodman meets his father after 42-year estrangement
Former NBA star Dennis Rodman has finally met his estranged father after 42 years of separation.
Philander Rodman Jr., who...
Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwa
hawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au
ananiachia...
Imebainika kwamba, ni vigumu kwa mwanaume kugundua kuwa mkewe anatoka nje ya ndoa, kama mwanamke huyo anatoka kwa ajili ya kutafuta fedha. Ni kwa sababu, wanawake wanapotoka nje ya ndoa zao kwa...
Naomba kujua, mbinu gani ni sahihi ili kujua umri sahihi wa mpezi, nauliza kwa kuwa, ni vigumu kujua 'junior' au 'senior' hasa maeneo ya mijini. Hii itasaidia kuepusha mahusiano baina ya kijana na...
Wana MMU wenzangu hebu leo tujaribu kuangalia hili katika mahusiano hasa wale ambao wako ndoani ama ambao wanamahusiano yanayowapeleka kuishi pamoja. Hivi karama ya uchapaji kazi na utunzaji wa...
Mume wangu ni mwanasiasa mwenye wadhifa wa juu ndani ya CCM.
Maisha yetu kwa ujumla ni ya amani na upendo, ukiachia mbali matatizo madogomadogo.
Usiku wa kuamkia jumamosi iliyopita. nilikuwa...
‎10 years ago..life had no complexity!
You need to make a move to a girl,pick one of whitney or celine's tracks,attach part of the lyrics kwenye a 500 sh card,relax at home subiria majibu in...
Hivi ikitokea mpenzi wako kaamua kukufanyia bonge la surprise kwa kukununulia zawadi,
We umetulia una watch TV mpenzi wako yupo chumbani mara akaja kutoka chumbani akakuambia "Supriiiiiiiiiiiise...
hello wana jf. nina rafiki yangu msichana alikorofishana na bf wake ambae anampenda, sasa anataka kuomba msamaha lakini anashindwa aanze vipi coz alimtext message ambazo anavosema mwenyewe sio...
Hello wana JF.
Nina rafiki yangu mmoja ambaye kwa sasa yuko nchi ya jirani anasoma. Amemuacha nyumbani mke wake na watoto wao watatu. Mke wake ni mama wa nyumbani na anashughuli zake za...
habar wana jf!nawapenda sana kwa ushaur ambao mumekuwa mkiutoa hapa!
mimi ni mwanamke mwny miaka 24 nimeolewa miaka 6 iliyopita!
nina mtoto wa miaka 3
mume wngu ana miaka 48 aliponiowa alikuwa...
Huyu dada alikutana na huyu mtu kwenye pati ya harusi,wote walikua waalikwa.Jamaa akamwomba huyu dada contact dada akakataa,jamaa akawa anamsumbua dada wa watu mpaka akaiona pati chungu,lakini...
Ofisini kwetu kuna wafanyakazi wanawake ambao baadhi yao nimewakuta na wengine wamenikuta; na kati yao kuna wanaovutia na wasiovutia kabisa. Kati ya walioajaliwa nyuma yangu kuna mmoja ambaye...
Nimezaliwa,nikafikisha umri wa kwenda shule,nikaenda.Nimesoma mpaka hukoooo nimemaliza,nimekuja sijui nimejiajiri au nimeajiriwa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nimeoa na nimepata watoto nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.