Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jana majira ya saa tatu unusu nikiwa najifanyia kazi zangu kwenye laptop, huku nikipitisha macho kwenye TV, ghafla nikaona kipindi cha Mikasi kinachorushwa na EATV na kuongozwa Salama Jabir...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Loh! Kuna hii TV inaitwa Sibuka. Wanaongelea mapenzi na Amani Misana (nilikuwa namsikiliza sana wakati nikiwa secondary Times FM) Wanasema mambo yatakayomsaidi mwanamke afike kileleni. . ...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Poleni na majukumu yanayowakabili, Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi...
0 Reactions
7 Replies
930 Views
Naitaji ushauri wa dhati kutoka kwenu wadau Nilikuwa na mpenzi niliekuwa nampenda sana sana lakini mwisho wa siku aliniacha na kufunga ndoa narafiki yangu kipenzi. From there sijawai kuwa...
8 Reactions
216 Replies
16K Views
Hali niliyokuwa naitegemea kuwa mtu akisoma huwa anaongeza maadili na maarifa lakini nilipofika chuo sio vile katika suala la mahusiano, ni kawaida kwa wanachuo kila mmoja anapofika chuoni kuanzia...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Nipo mahali hapa na majamaa ambao wote wake zao ni wanasheria. Tulianza kuongelea ishu za Ndoa. Kifupi hawa jamaa wote wawili wanajuta kuoa wanasheria, mmoja ndio alimsomesha mwenyewe mkewe sheria...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Poleni na majukumu yanayowakabili, Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26,kwa mara ya kwanza najiunga na jf nikiomba ushauri wenu Nina mpenzi wangu nampenda sana na hatuna mda mrefu, tuna miezi...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Woman who spent $15,000 on illegal bottom and hip injections admits she's lucky to be alive after her obsession could have killed her Vanity Wonder admitted on This Morning she didn't know what...
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Habari zenu wadau wa MMU?Nilikuwa na boyfriend kwa miaka mitatu, tukaachana ktk hali ambayo iliniumiza sana moyo wangu, nikawachukia wanaume.Nikakaa kwa miaka miwili bila boyfriend. Sasa akatokea...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
:eek2:Awapongeza viongoz mbl mbl wa kitaifa kwa ushirikiano kipindi cha ajali na msiba... 1. Pongezi......Mwenyezi Mungu, CHADEMA, Jakaya Kikwete, William Lukuvi, Anna Makinda, Agrey Mwandri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ebu nishaurini,nina mke ambaye tumeona kama miezi sita hivi imepita..katika hari ya uchumba wetu tulikuwa na mapenzi ya kawaida,si ya moto wala baridi katika kipindi cha miaka minne...
2 Reactions
83 Replies
8K Views
Kuna tabia ya zamani kidogo ambayo sio nzuri, eti mtu anakwenda na hawara nyumbani kwa mke wake au mume wake na kumtambulisha kwamba huyu ni wifi yako au shemeji yako. Hivi kweli huu ni uungwana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Geri Halliwell akihojiwa..................... Hivi karibuni nilibahatika kusoma mahojiano ya Mwanamuziki wa kundi la zamani la muziki, maarufu kama Spice Girls la nchini Uingereza Geri Halliwell...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
Heshima mbele wanaMMU Ninayoiweka hapa ni mada ya ukweli ambayo rafiki yangu aliniletea tuidisscus..sasa katika kuidiscuss kuna mawazo ambayo nilimpa na of course kuna mengine ambayo tulishindwa...
0 Reactions
69 Replies
5K Views
Ninaishi Arusha mtaa wa Ilkiurei,Mfanyakazi mmoja wa ndani hapa mtaani kwangu amekamtwa usiku wa leo majira ya saa saba na dk 40 akiwanga ndani ya nyumba anayofanya kazi kama H/G! Alikamatwa...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
I've been told by many of my friends and the most trusted people that "THERE MUST BE FIRST REJECTION WHERE THERE IS TRUE LOVE" about a week ago i met a girl at seminar somewhere,infact i was...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Hope you are all good as normal!wakuu,kuna binti mmoja nimetokea kumpenda na tayari nimemwambia kuhusu hisia zangu na amenikubalia.sasa linalonitia wasiwasi kuhusu huyu binti ni namna yake ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani, kwa takribani miezi saba nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja mwenye umri wa miaka 35, mwaka mmoja zaidi yangu! Ukweli mimi ni mwanafunzi na dada huyu ni mtumishi ktk idara ya...
0 Reactions
106 Replies
9K Views
Habari zenu ndugu zangu popote mlipo. Mimi ni mgeni ktk forum hii na nimekuwa nikivutiwa sana na hoja mbalimbali hapa jamvini. Kuna jambo nahitaji ushauri wenu. Mimi ni kijana (male)wa miaka 28...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
10 signs you're being cheated on Thinking your partner might be unfaithful can wreak havoc on relationships. But pretending everything’s fine when you just can’t shake that nagging...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom